Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Wapemba ni waharifu wale, wanajua kabisa hata kitabu chao hakiwapi haki ya kuchapa watu bakora mwezi wa ramadhani! Ni uhalifu tu upumbavu uliowajaa

Hayupo MUNGU wa kweli kuwaamrisha watu wachapwe bakora sababu tu wao hawakufunga! Na mbaya kabisa si wa imani yao
 
Yesu alikuwa anafunga siku arubaini hivi wewe unafunga kama Yesu?.
 
Makafiri waache kujipendekeza,wao Wana dini Yao na sisi tuna dini yetu,waache shobo.
Nyie acheni Shobo kuingilia uhuru wa watu katika kula..

Mngejifunza kuishi kama wakristo.. naamini kusengekuepo na chuki na kuua kujilipua hata ugaidi pia..

Dini gani inayofundisha kumchukia binadamu mwenzako..

Usipende usitupende sisi tutaishi kwa upendo na kila mtu hivyo ndivyo tunafundishwa.
 
Na hao waislamu wakala hiyo futari? Hawapo serious.
 
Msabato na muslim wanaelewana sana, ila Muslim na Mkatoliki na Msabato na Mkatoliki hawaivi sijui kisa ni yule mbuzi katoliki!!!
 
Nijifunze kuishi kama mkristo?

Mimi siyo fala, niambiwe eti nifunge ndoa za jinsia Moja then nichekelee...

Au niende Kwa mwamposa niuziwe mchanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…