Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Biblia imenyooka wapi?kitabu Gani Cha Mungu kina versions?

Mara Agana jipya,mara agano la kale,mnachofanya siku zote ni kukifanyia modifications kitabu chenu ili kiweze eti kwenda na wakati, that's why hata Sasa mmepewa ruksa ya kufunga ndoa midume Kwa midume mpigane mashine,Kuna kitabu Gani hapo Sasa .
Screenshot_20240331-104840.png
Screenshot_20240331-104928.png

Ndugu zako hao hapo...
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Biblia imenyooka wapi?kitabu Gani Cha Mungu kina versions?

Mara Agana jipya,mara agano la kale,mnachofanya siku zote ni kukifanyia modifications kitabu chenu ili kiweze eti kwenda na wakati, that's why hata Sasa mmepewa ruksa ya kufunga ndoa midume Kwa midume mpigane mashine,Kuna kitabu Gani hapo Sasa .

Nenda kafanye utafiti zaidi. Maana inaonekana bado huna elimu ya kitabu hiki kitakatifu.
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Mkuu inahitaji utambuzi na hekima. Hebu ona mtu anakuja anawaambia mfunge kuto kula mpaka mkufe. Halafu watu wanakubali wakati kufunga ni ibada ya faragha pia huelekezwi na mtu.
Lingine yee anayesema mfunge hafungi.
Utambuzi Gani unatakiwa kujua kuwa huyu fala ananipiga?Mtume na nabii mnyakyusa,out of nowhere kaibuka tuh anajiita Mimi ni Mtume,mara anaanza kukuuzia maji ya upako,mara mwingine anakuambia anafufua watu,wengine wanakuambia wanaponya vipofu na wagonjwa,na mnaona jamaa zenu wanavipigwa them unasema eti unatakiwa hekima?hekima Gani Sasa,haya papa kakuambia kuwa ufunge ndoa uolewe na dume mwenzako,Bado haustuki tuh kuwa hiyo dini ni miyeyusho?
 
Nenda kafanye utafiti zaidi. Maana inaonekana bado huna elimu ya kitabu hiki kitakatifu.
Utafit Gani Mimi nifanye,sisi waislam tunaamini kuwa Injili ni kitabu Cha Mungu,ila kitabu Hiko kimetiwa.mikono na watu waovu na kuongeza.swaga Zao, kuendelea kukumbatia kitabu ambacho kimeshachezewa ni kujiongopea Wewe mwenyewe tuh.
 
Utambuzi Gani unatakiwa kujua kuwa huyu fala ananipiga?Mtume na nabii mnyakyusa,out of nowhere kaibuka tuh anajiita Mimi ni Mtume,mara anaanza kukuuzia maji ya upako,mara mwingine anakuambia anafufua watu,wengine wanakuambia wanaponya vipofu na wagonjwa,na mnaona jamaa zenu wanavipigwa them unasema eti unatakiwa hekima?hekima Gani Sasa,haya papa kakuambia kuwa ufunge ndoa uolewe na dume mwenzako,Bado haustuki tuh kuwa hiyo dini ni miyeyusho?

Haya ni mambo ya imani, hivyo hayahitaji hisia wala hasira. Ndiyo maana nasema wanahitaji hekima na utambuzi
 
  • Thanks
Reactions: 511
Sasa huoni huu NI wakati muafaka kwa WAKRISTO wenye kujitamhua KUWAPIGA VITA HAWA MATAPELI

Wenye masikio na wasikie yale ambayo roho inasema. Hii ni vita ya kiroho, na si ya kimwili. Hatuwezi kuitisha maandamano eti tuwapinge matapeli wa imani. Watapingwa kwa utambuzi wa kweli wa biblia.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Ingependeza Sana kuweka Ushahidi WA kauli zako otherwise inavunja nguvu Kuona wakristo wengi hawana elimu ya kawaida kabisa ktk midahalo.
Kabla ya Muhammad, kaaba jengo lililotunza sanamu 360 liliitwa Beit-Allah, au "Nyumba ya Allah.

Huyu alikuwa mungu maalum wa kabila la Wakureshi naye alikuwa na mabinti watatu maalum. Ukilinganisha na nguzo 4 kati ya 5 za Uislam, watu wa Maka kabla ya Muhammad walifunga kwa pamoja siku moja, walitoa sadaka kwa maskini wao, walisali wakielekeza nyuso zao Maka, na walifanya hija ('Umrah) Maka. Mohammad aliendeleza ibada za kipagani za kikureshi.
 
Utafit Gani Mimi nifanye,sisi waislam tunaamini kuwa Injili ni kitabu Cha Mungu,ila kitabu Hiko kimetiwa.mikono na watu waovu na kuongeza.swaga Zao, kuendelea kukumbatia kitabu ambacho kimeshachezewa ni kujiongopea Wewe mwenyewe tuh.

Fuata injili, kitabu cha Mungu. Achana na kile kilichotiwa mikononi mwa watu waovu.
 
Utafit Gani Mimi nifanye,sisi waislam tunaamini kuwa Injili ni kitabu Cha Mungu,ila kitabu Hiko kimetiwa.mikono na watu waovu na kuongeza.swaga Zao, kuendelea kukumbatia kitabu ambacho kimeshachezewa ni kujiongopea Wewe mwenyewe tuh.
images (11).jpeg
 
Haya ni mambo ya imani, hivyo hayahitaji hisia wala hasira. Ndiyo maana nasema wanahitaji hekima na utambuzi
Sasa inatakiwa Imani Gani kujua Gwajima anaposema anafufua wafu kuwa ni uongo?unataka Iman Gani kujua kuwa mwamposa anaposema kuwa yeye ni Mtume ni uongo?mlivyo mafala anawauzia mchanga yeye anaenda kujenga hotels mwanjelwa Huko,nyinyi mnashangilia tuh,teh teh teh
 
Hizo zipo nyiingii tuh,utajaza server ya JF yote kupost hizo tunazifahamu kabla yako na Wala hazitushughulishi,na ww ukweli moyoni mwako unajua,so hapo ni kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe.
a4981bdebef82cc6ed0d305a86b3385e.jpg
 
Sasa inatakiwa Imani Gani kujua Gwajima anaposema anafufua wafu kuwa ni uongo?unataka Iman Gani kujua kuwa mwamposa anaposema kuwa yeye ni Mtume ni uongo?mlivyo mafala anawauzia mchanga yeye anaenda kujenga hotels mwanjelwa Huko,nyinyi mnashangilia tuh,teh teh teh

Bro tunaposema imani uwe unaelewa. Kwenye waebrania, Paul anasema ni taraja la mambo yajayo na ingawa huyaoni. Embu wazia wale vijana toka familia masikini wanavyodanganywa kwamba ukijilipua unakwenda mbinguni moja kwa moja. Nao wanaamini kwamba ni kweli, kumbe ni imani ya uongo.
 
Kwani Zanzibar hakuna wakristo??

Hao wanaokula HADHARANI na kupigwa huko SI ni jamaa zenu makafiri,the teh teh,,, makafiri wamejaa Huko Zanzibar wanatafuta mabwana WA kizungu ili waolewe nao watekeleze amri ya PAPA.

Kwa hiyo mashoga waislam hawapo?
 
Kwani Zanzibar hakuna wakristo??

Hao wanaokula HADHARANI na kupigwa huko SI ni jamaa zenu makafiri,the teh teh,,, makafiri wamejaa Huko Zanzibar wanatafuta mabwana WA kizungu ili waolewe nao watekeleze amri ya PAPA.
4011164bf1a42c85c53e57ed883d76ac.jpg
 
Back
Top Bottom