Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Huna hoja, nenda kakojoe ulale. Huna akili ya kujadiliana na mimi.

Basi nenda Kwa mwamposa akakuuzie mchanga wa upako au chupi za bahati ili upate uzao mwingi wenye baraka za bwana...teh teh teh...
 
Ningekuwa mimi ningepikia chakula mafuta yaliokaangiwa poku licha tu ya mafuta ningewawekea na poku.Lengo ni kufanya utafiti kuona kama wakila poku wanakufa au nini kinatokea
Hawawezi kufa mana hata kitimoto wameruhusiwa kula kama hakuna chakula kingine.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Basi nenda Kwa mwamposa akakuuzie mchanga wa upako au chupi za bahati ili upate uzao mwingi wenye baraka za bwana...teh teh teh...

Kwanza unapiga kelele hapa umekulaa. Ngoja ukose barka za mudi.
 
Halafu mimi waislam wa zamani nilikuwa nawakubali na kuwaheshimu sana. Walikuwa real, halafu hawana hiyana na wasio waislam. Wenyewe kazi yao ilikuwa kutenda wema tu. Lkn siku hizi kuna micharuko ambayo haijui dini walabkufuata maadili. Walevi tu. Lkn wanajifanya wafia dini. Bure kabisa.
Na hata sisi wakristo wa zamani tulikua tunawakubali sana,wao walikuwa Wana deal na dini Yao tuh,waliishi na sisi Kwa heshima na adabu, ulikua huwezi kuskia huu upuuzi wa hawa wakristo wa Sasa...

Then wakristo wa zamani hawakuwa mafala kama hawa wa Sasa eti waende Kwa mwamposa wauziwe mchanga,mara chupi za bahati,mara maji ya upako,au mara sijui papa aje awafungishe ndoa za wasen.ge wale hawa kuwa mafala kama hawa wa Leo.
 
Basi nenda Kwa mwamposa akakuuzie mchanga wa upako au chupi za bahati ili upate uzao mwingi wenye baraka za bwana...teh teh teh...
Screenshot_20240128-234504~2.png
 
Mbona sinza na tabata kwenye mabaa kumedororaa?
Subiri wakifungulia utaona kama utapata kitimoto tena
Siyo huko tuh, hata biashara yangu ya kitimoto haiendi kabisa... Wateja Wangu wote wamefunga..
 
Sidhan, yaani mvaa kobazi ale futari iliyoandaliwa na kafir? Hii ni maajabu
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili imeambatanishwa hapo juu.

MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu.

Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100 nyumbani kwake, Mtaa wa Mdote. Mgeni rasmi alikuwa Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif na ilihudhuriwa pia na Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo.

Nipashe

Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2950296
 
"watoto wa mama mdogo" wamekula chakula cha "makafiri"?

#Tumbo-halina-haya!
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom