Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mzee kwa maneno hayo tumekuelewa; yatosha kwamba ulihudhuria
 
Kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono mkataba wa kubinafisisha Bandari zetu zote Tanganyika halafu za Zanzibar zikiachwa
Mnazungumzia mkataba wa bandari tu kuna mingine ya TANESCO, TPDC, Kampuni ya Mafuta ; mashirika yote haya Samia ameidhinisha yaingie mikataba na UAE!
Huyu mama anauza nchi yetu kwa waarabu!
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Hao wazee walitimiza waliyoweza kutimiza... Wewe kwa umri huo unafanya nini??
 
Uhuru ni mzuri sana.
Miaka mitatu nyuma angepewa mwaliko kama huo angewahi ukumbini siku mbili kabla.
Mkuu,

Ukishaweka "ange..' "ange..." nyingi, unafanya speculation, kitu ambacho hakimtendei haki Mzee Warioba.

Sema alialikwa wapi, alikwenda wapi.

Sema vitu vilivyotokea, vyenye ushahidi.

Hizo habari za "ange..." unaweza kutunga story yoyote ukaipachika hapo.
 
If your reference ni Huyu, then sina cha kusema… Uko biased

Je katika eta ya Nyerere and when expansion ya port inafanyika warioba alikua nani
 
Huyu nae ni walewale,swala la kusemea ni lile lenye ukakasi,
Huyu ni Mmoja wa wanufaika wa mfumo wa majizi ya ccm,hapo utakuta vijukuu vyake vipo vinakula ajira tamu kwenye balozi,wizarani,
Kama anachukia,ajitoe kwenye ccm tuone kama ana ubavu!!
Hawa wazee ndio wanufsika sana wa cauntry capture,
 
Walioifanya Tanganyika koloni ni wazungu,wajeruman na waingereza,soma history vzr, waarabu unawachukia Kwa ukafir wako tuh
Waarabu tuliwaajiri kupigana na Wareno wakati wareno wakitaka kupora nchi na sio kufanya biashara waarabu wakatupigania miaka 200 walipowafukuza wareno wakatuona tunaupiga mwingi wakaamua kututawala sasa tunawaita tena kwa hiari watukomboe kwenye umasikini wetu wa akili na mali go figure time will tell always
 
Kudharauliana korona Tanzania kuliua watu wengi sana kwa ujinga na ubishi wetu korona ilitusaidia kitu kimoja tu kumuondoa yule fedhuli firauni Asante korona
 
Mnazungumzia mkataba wa bandari tu kuna mingine ya TANESCO, TPDC, Kampuni ya Mafuta ; mashirika yote haya Samia ameidhinisha yaingie mikataba na UAE!
Huyu mama anauza nchi yetu kwa waarabu!
Ameuza au wamepewa bure in mwenzake words bule bule alafu anfulahi na kukunua meno
 
Kila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono mkataba wa kubinafisisha Bandari zetu zote Tanganyika halafu za Zanzibar zikiachwa
Nitajie bandari moja tu Zanzibar ambayo hakuna mwekezaji kutoka nje.

Zanzibar bandari ni tatu, Malindi, Mangapwani, an Mpigaduru. Ipi ambayo hayupo muwekezaji kutoka nje?
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Eti Warioba na Nyerere ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofikia?! una upeo mdogo sana.

Wao kwa upande wao walifanya walichoweza mpaka pale walipoiacha, ajabu hawa walioachiwa, ndio wanaturudisha nyuma zaidi, mpaka kufikia hatua sasa wametupeleka utumwani.

Sasa kama Warioba na Nyerere kwako ni wapumbavu, hebu niambie, huyu aliyetupeleka utumwani tumwiteje?
 
Katiba ya warioba Iko wapi? Watu wanataka katiba mpya….

Hakuna alama, we are still using the same katiba ya 1977, unless hujui Maana ya alama

Alama ni kitu kilichopo na kinachoishi

Yake ilitupwa kaapun
Wacha kujitoa akili makusudi, hebu nenda kaisome ile rasimu ya Warioba, kisha uje hapa utuambie kama inafanana na hii Katiba mbovu tuliyonayo kwa ubora, au ile Katiba pendekezwa ya CCM.
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Mkuu Kenya haijawahi kuwa nchi ya kijamaa! Vipi maendeleo yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…