Ofcourse haina ukweli mkuu, nime speculate tu.Mkuu,
Ukishaweka "ange..' "ange..." nyingi, unafanya speculation, kitu ambacho hakimtendei haki Mzee Warioba.
Sema alialikwa wapi, alikwenda wapi.
Sema vitu vilivyotokea, vyenye ushahidi.
Hizo habari za "ange..." unaweza kutunga story yoyote ukaipachika hapo.
Ukiona hadi Jf wameondoa tetesi na kuwa habari kamili inamaana wamejiridhisha ni habari ya kweli.Ofcourse haina ukweli mkuu, nime speculate tu.
Naam,Jf wameondoka tetesi ina maana hii ni habari ya kweli na wamejiridhisha.
Makonda alikosoea sana kwa kitendo kile! Mungu amsamehee tu!!suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo mnadhan hzo kelele zenu zitaizuia DPW kuja kuoperate pale bandarini? BOGUS!Siwezi kushangaa kwa mtu wa aina yako kutoelewa kilichoandikwa.
wameuza Bandari za TANGANYIKA sbb haziwaumi na sio damu yao! Tulikosea sana kuwachukulia poa Wapemba wkt waliweka wazi tng zmn kuwa hawatutakiKila mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono mkataba wa kubinafisisha Bandari zetu zote Tanganyika halafu za Zanzibar zikiachwa
Mzee mbona unatishaMwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."
Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"
Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"
MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"
Jaji.
Kama ungesikiliza jana ile timu inayohusika na huo mkataba, ungepata majibu yote. Walieleza vzr tu.Tusaidie wewe mkuu maswali machache ya wapingaji ni kama ifuatavyo
Elimu yangu itakusaidia nini!?We umeishia la ngapi mkuu? Na vipi warioba kaongea nini?
Unafikiri msingi wa zogo la kumkataa mwarabu ni nini!?Mkuu watu wanazunguza hoja za kitaifa wewe unaleta mambo ya dini, udini. Pevuka katika mambo ya msingi Mkuu.
Ukiumwa huku umelala njaa husaidia kuharakisha kifo! Hivyo tulivyokuwa tunapasha misuli moto huku tukila organic foods kulituokoa wengi! Wenzetu pamoja na chanjo walikufa kwa mamilioni, hatuwezi kulinganishwa nao zaidi dunia ikaamua kuishi kama sisi🤣!Kudharauliana korona Tanzania kuliua watu wengi sana kwa ujinga na ubishi wetu korona ilitusaidia kitu kimoja tu kumuondoa yule fedhuli firauni Asante korona
Huyu Mzee Jaji Joseph Sinde Warioba ndiye nguzo pekee ya nchi hii aliyebaki mkweli wa kweliMwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."
Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"
Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu niseme tahadhari inayoendelea kutolewa na wadau isipuuzwe!"
MWALIKO NIMEUPOKEA LAKINI NITASHINDWA KUHUDHURIA KWENDA KULISEMEA JAMBO LENYE WINGI WA MASHAKA!"
Jaji.
Sasa wewe uliyesikiliza toa hayo majibu!.Kama ungesikiliza jana ile timu inayohusika na huo mkataba, ungepata majibu yote. Walieleza vzr tu.
Ndo walioleta Richmond na Dowans na Kagoda na kuuza madini kwa sent. Wakauza Loliondo, na sasa wanagawa bandari zetu zote, za bahari mpaka mitoniHawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Pumbavu zenu, hamfatilii mambo then mnakuja kubwabwaja hapa. Vichwa vyenu vimejaa usaha wenzetu.Sasa wewe uliyesikiliza toa hayo majibu!.
Kwahyo mnadhan hzo kelele zenu zitaizuia DPW kuja kuoperate pale bandarini? BOGUS!
Kabla ya kuwatukana hao wazee., mzee wako katufikisha wapi kama Taifa.Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Unajiona wa maana sana kuwatukana akiwemo Nyerere eti huna adabu na usiye na shukrani wewe .hujitambuiHawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Ni kweli ulivyo eleza na zaidi ya hapo Kuna hii epc + f ambapo 1 km itakuwa 2.5. Sasa sijui interest rate yake ni ngapi hapoMnazungumzia mkataba wa bandari tu kuna mingine ya TANESCO, TPDC, Kampuni ya Mafuta ; mashirika yote haya Samia ameidhinisha yaingie mikataba na UAE!
Huyu mama anauza nchi yetu kwa waarabu!