Acha matusi, kuwa na kipara ni maumbile tu. Pengine hata wewe ukifika umri huo itakuwa na kipara. Kuwa CHADEMA kusikufanye uwadharau watu wazimaSasa hiyo hazina yenu yenyu vipara inawafundisha nini kama hamjui hata wajibu wa msingi wa serikali inayokusanya kodi na tozo kutoka kwa raia wake?!
Amejificha kwenye kisingizio cha corona huku watu wanajaa uwanja wa taifa kuangalia Yanga na SimbaMh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Mipira, sherehe zote za uzinduzi wa miradi, sherehe za uhuru, nazo pia zinakutanisha watu wengi kwa pamoja risks za corona ni zilezile kwa mikusanyiko yote hii, kwa nini sasa mikusanyiko itakayohusu katiba mpya iwe ndiyo yenye risk kubwa zaidiWaziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.
Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana
Source: BBC Dira ya Dunia!
Ametafuta kichaka maana anajua katiba mpya itamng'oa mapema snNa uchaguzi uhairishwe na maendeleo yasitishwe kwa ajili ya corona
Mwaka 2020 tulipiga kura, tena kabla ya kupiga kura kulikuwa na kampeni nchi nzima karibia mwezi mzima Je Corona haikuwepo? Na je Mwaka 2025 kama bado itakuwepo hatutapiga Kura? Au Corona huwa inapenda zaidi kushambulia watu kwenye kura za katiba?
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Inapigiwa kura na nani wakati wananchi hawajui kilichomo ndani ya hiyo katiba? Huku ni kutafuta upenyo kuburuza watu pasipo kuzingatia matakwa yao.Mh. Warioba amesema hayo akihojiwa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Ni kweli lazima tuambiwe ni katiba ipi Rais alimwambia Warioba; je ni ile original ya Tume ya Warioba au ni ile iliyochakachuliwa na Bunge la Katiba?Inapigiwa kura na nani wakati wananchi hawajui kilichomo ndani ya hiyo katiba? Huku ni kutafuta upenyo kuburuza watu pasipo kuzingatia matakwa yao.
CCM is no longer the favorite of the Tanzanians at the time being, it has caused havoc in the country
Kura ya maoni kwa tume hii hii ya Mahera, usimamizi wa ma DED wao hawahawa na ulinzi wa ma polisi walewale?Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilizopo.
Kwa mfano kwenye Katiba Mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Ame copy lafidhi ya "bwana yule!" ...Dalesramu yangu!!"rock down"_ndio nini?! Ni lock down!
Pengine hujui hata tofauti ya rice na lice!
Kumbe kamanda unautambua uchaguzi eh? Safi sana🙏🙏🙏A lame excuse!!
Mfanye chaguzi halafu kura ya maoni ndio mje na hiyo hoja!!
Pathetic!