Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

Sasa hiyo hazina yenu yenyu vipara inawafundisha nini kama hamjui hata wajibu wa msingi wa serikali inayokusanya kodi na tozo kutoka kwa raia wake?!
Acha matusi, kuwa na kipara ni maumbile tu. Pengine hata wewe ukifika umri huo itakuwa na kipara. Kuwa CHADEMA kusikufanye uwadharau watu wazima
 
Warioba tunamheshimu sana, Ajiepushe kujiingiza kwenye vitu vitakavyomvunjia heshima yake.

Yaani rais kakubali kwa Warioba ila sisi anatwambia siyo kipaumbele chake?
 
Warioba kamchukulia mama kama CONWOMAN tu
 
😁😁😁
1638862392951.jpg
 
Mh. Warioba amesema hayo akihojowa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Amejificha kwenye kisingizio cha corona huku watu wanajaa uwanja wa taifa kuangalia Yanga na Simba
 
Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilixopo.

Kwa mfano kwenye katiba mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Source: BBC Dira ya Dunia!
Mipira, sherehe zote za uzinduzi wa miradi, sherehe za uhuru, nazo pia zinakutanisha watu wengi kwa pamoja risks za corona ni zilezile kwa mikusanyiko yote hii, kwa nini sasa mikusanyiko itakayohusu katiba mpya iwe ndiyo yenye risk kubwa zaidi
 
Mh. Warioba amesema hayo akihojiwa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
Inapigiwa kura na nani wakati wananchi hawajui kilichomo ndani ya hiyo katiba? Huku ni kutafuta upenyo kuburuza watu pasipo kuzingatia matakwa yao.

CCM is no longer the favorite of the Tanzanians at the time being, it has caused havoc in the country
 
Inapigiwa kura na nani wakati wananchi hawajui kilichomo ndani ya hiyo katiba? Huku ni kutafuta upenyo kuburuza watu pasipo kuzingatia matakwa yao.

CCM is no longer the favorite of the Tanzanians at the time being, it has caused havoc in the country
Ni kweli lazima tuambiwe ni katiba ipi Rais alimwambia Warioba; je ni ile original ya Tume ya Warioba au ni ile iliyochakachuliwa na Bunge la Katiba?
 
Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema kimsingi Rais Samia anakubali kwamba Katiba mpya inahitajika lakini siyo sasa kutokana na changamoto zilizopo.

Kwa mfano kwenye Katiba Mpya ni lazima ipigwe kura ya maoni lakini kwa hii changamoto ya Corona haitawezekana

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Kura ya maoni kwa tume hii hii ya Mahera, usimamizi wa ma DED wao hawahawa na ulinzi wa ma polisi walewale?
 
Back
Top Bottom