Mzee Warioba: Siyo lazima Mbunge aitwe Mheshimiwa

Mzee Warioba: Siyo lazima Mbunge aitwe Mheshimiwa

Mzee wetu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba amesema kulazimisha watu wakuite wewe kuwa ni mheshimiwa mbunge, mheshimiwa waziri ,mheshimiwa diwani huko ni kuweka matabaka kwenye jamii ya watanzania.

Hii inapingana na Naibu Spika alivyogombana na Mbunge wa Mbeya Mjini Mbilinyi. Tulia alilazimisha kuitwa Mheshimiwa Naibu Spika

Hakika mzee Warioba ni tegemeo la watanzania kwa busara.

Chanzo dakika 45 itv.
manundu kama namuona alivofura
 
Mzee wangu usitaje wabunge ama Bunge, kuna jamaa atakurukia kama mwewe !!

Hata hivyo hii nchi waheshimiwa sidhani kama wapo, na kama wpo hawafiki hata 4 - wengine kama sisi tu !! maanake matendo yao na mienendo yao si ya kuheshimiwa hata kidogo sasa utawaitaje waheshimiwa ?
 
Hawana sifa ya kuitwa hilo jina.
 
Kwanza 99% wameingia bungeni kinyemera tu, unatarajia nini....wote wanaume na wanawake wanatembea wamesimamisha matako kama nge wakiingia ukumbini wanagonga meza tu.
Kuna mbunge mmoja yeye ndiyo kaingia kwa mara ya kwanza uchaguzi wa 2020.

Aliingizwa na jiwe na akapewa kazi maalum ya kuangalia shughuli fulani za mteuzi wake.

Siku alipo sikia kuwa jiwe kafa ukoo mzima ulilia utadhani wana undugu na huyo jiwe.

Ndugu zake huyo mbunge wanasema kabisa kuwa sasa ndoto za ndugu yao mbunge mteuliwa sasa ndiyo zimekwisha.
 
Mafi yao
 
Wewe na yeye mzee Warioba nani anajua zaidi mambo ya kiutawala?

Huyo mzee ni waziri mkuu mstaafu unaleta usukununu wako hapa?
Amesema enz zake kabla mambo hayajabadilishwa..nenda kasome ndiyo urudi hapa na mdomo kama chuchunge
 
Hapa umeongea ki emotional zaidi.
Mbunge Hana thamani mbele ya mjeda labda hao Askari wanaowabambikizia kesi.
M jwtz ni mtu mkubwa Sana.
Mbunge hawezi pigiwa salute na mjeda hujui unachokiongea Ila DC rc anasalimiwa
Labda nirudie tena!! Askar hupigia saluti gari ya mbunge yenye kupeperusha bendera! Unaifaham heshima ya bendera yetu? Unajua kwanini mbunge anapewa?
 
Mbona viongozi wa dini anaitwa kwa Cheo Chao kisha jina.
Mf: Mchungaji D, Askofu D, shehe D nk.
Kwani Hawa wabunge tusiwaite Mb. K na sio kulazimisha tuanze na Mheshimiwa wakati wengine hawana hiyo heshima
Heshima wanazo na ndiyo maana wapo pale bungeni!! Jiulize kwanini mbunge ndiye wazir na siyo katibu mkuu wa idara wala wa chama?
 
Ni mwendawazimu pekee ndiye anayeweza kuamini kuwa unaheshimiwa kwa sababu umejiita au umeitwa mheshimiwa.

Mwalimu Nyerere, mpaka leo kila mtu anamheshimu lakini hakuwahi kuitwa mheshimiwa, na alikuwa hataki kabisa.
Mawazo yako hayo!! Jipige kifua na useme umethubutu
 
wa kuheshimiwa ni yupi aliyempa mwenzake cheo na ama aliyepewa cheo na mwenzake. Nadhani imefika kipindi ambacho uijinga na upumbavu ambao tumekuwa tunauendeleza tuuache. Waheshimiwa ni sisi wananchi tunaowapa hao watu nafasi za kutukuwakilisha na bado tukawalipa mishahara,posho na bado tukawalipia magari na mafuta na wakaja kutudanganaya na mfuko wa jimbo na wakati pesa zote hizo ni zetu ambao tunalipa kodi
Umeanza vyema harakat!! Endeleza sasa uungwe mkono
 
Back
Top Bottom