Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
Keshapata mtaji,bora aaachane na hayo mambo basi!Habari za jioni wanajamvi.
Taarifa nilizozipata punde zinasema mfalme huyo wa taarabu anaacha rasmi mziki huo na kumrudia mungu.
Mungu amjaalie wepesi afanikiwe katika dhamira yake
UPDATES;
Mzee Yusuph ameamua kuachana ma Muziki na kumrudia Mungu wake na amewataka watu wote wamsamehe ili apate msamaha kwa Mola wake.
Mzee Yusuph Ameapa kuto kujihusisha na Muziki na kutaka Nyimbo zake zisipigwe tena kwenye Media zote. Mzee Yusuph alionekana analia kwa uchungu katika msikiti wa Bongoni Ilala na kujutia yale aliyokuwa akiyafanya enzi za Ujahili wake.
Allah akbarTAKBIIRR
Yote yanawezekana, maana hapo ibilisi ndio anarudi no.3 anavuta mafta anatia 4 akiitafta 5.. Ni hatar.. Ibilisi anafanya kila awezaloMpeni muda kidogo....huyu sina shaka atarudi kwenye mipasho yake hata mwaka hauishi.
Kwani siku zote alikuwa hajui? Mpaka akanasa?
UlizaHawa kina Kijoti kulikoni? Maana mimi kwenye taarabu sina ninalolijuwa na si mshabiki hata chembe wa muziki huu.
Niulize mara ngapi?Uliza
Hili si la kusikia, mimi kuna bar huyu jamaa alikuwa akifanya show zake ni lazima aje saa nne asubuhi wakati wa kufunga vyombo, atawasha udi zake hapo anaondoka basi kurudi kwake mashabiki wake wanasema anakuja usiku mkubwa na anaimba nyimbo mbili au tatu tu, sasa hilo nyomi ndio usiseme.Niliwahi kusikia yeye pia ni miongoni mwa waabudu shetani(devil worshipper). Nahisi hilo ndo linamfanya alie machozi au.....
Hivi msikiti wa Diamond ujenzi wake umefikia hatua gani?Kwa iman ya kiislam muziki ni dhambi