Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani.
Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu.
Hili ni tatizo kubwa kwasasa wanawake wanapaswa kujitambua na kujua nyakati zimebadilika na suala la malezi ni jukumu zito. Msichana usipojitambua ni mzigo kwa wazazi wako.
Naandika haya nikiwa kama mzazi wakiume. Ninyi mabinti ni nani aliyewaloga? Hata hivyo Serikali inalojukumu la kuanzisha kampeni za uzazi wa mpango kunusuru mabinti na uchumi wao na wazazi wao