Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Hii mada ngumu sana aiseeeee ngoja niwe mpenzi msomaji tu, maana naona wanaume wamekua wakali kwa mabinti zao wakati wanasahau kwamba nawao wamewazalisha mabinti za wababa wengine.
Anyway...... sitaki kutukana mamba wakati bado sijavuka mto, zaidi ninajitahidi kuongea na binti zangu kuhusu mahusiano na siachi kuwaombea.
Sisi WANAUME utatulaumu bure mwisho wa siku anayebaki na msala ni binti
 
Wakishaacha watoto nyumba huwa wanakuja mjini kuwataftia chochote kitu.ukienda mbele ukirudi nyuma hawa masingo mama hulea sana familia zao
Si sawa usemalo. Nina mpwa wangu alizaa nje ya ndoa na tena mtoto ana sickle cell, lakini amemuacha nyumbani kwao, dada yangu na mumewe ndiyo wanalea. Wanapeleka hospitali kutwa. Yeye yupo mjini anahangaika kutafuta vibarua ambavyo nina uhakika ni dada yangu anamjazilizia ili apitishe mwezi.

Tatizo kuu ni binti kujidai kuwa anazaa na kwao wana uwezo wa kumtunza mwanae. Ukiwa na msimamo kama wangu hamleti. Maana akiibeba nahakikisha anaitoa kavu, unless anaichukua mimba itumzwe na aliyempa, au baba ya aliyempa au ndugu wa aliyempa; si kwangu!
 
Hii mada ngumu sana aiseeeee ngoja niwe mpenzi msomaji tu, maana naona wanaume wamekua wakali kwa mabinti zao wakati wanasahau kwamba nawao wamewazalisha mabinti za wababa wengine.
Anyway...... sitaki kutukana mamba wakati bado sijavuka mto, zaidi ninajitahidi kuongea na binti zangu kuhusu mahusiano na siachi kuwaombea.
Sisi tuliozalisha tunawatunza mpaka wanajitegemea sasa. Ni uhanithi kutupa damu yako mwanaume.
 
kuna wale wazazi wa kike wanaosaidiana na mabinti zao kutoa mimba ili mtoto aonekane kijana, kwa kweli sitapenda kuona wanangu wanazalishwa wakiwa nyumbani lakini ikitokea hivo kwa kweli atakwenda leba na huyo kijana nitawaozesha wakalee mtoto wao.
 
Back
Top Bottom