Mtawalaumu mabinti bure tuu shida ni wazazi wenyewe. Huwezi kuniaminisha kwamba binti yako wa kike anaanza kugegedwa wewe mzazi usijue. Na kama hujui basi wee hufai kuwa mzazi.Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani.
Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu.
Hili ni tatizo kubwa kwasasa wanawake wanapaswa kujitambua na kujua nyakati zimebadilika na suala la malezi ni jukumu zito. Msichana usipo jitambua ni mzigo kwa wazazi wako.
Naandika haya nikiwa Kama mzazi wakiume. Ninyi mabinti ninani aliyewaloga? Hata hivyo serikali inalojukumu la kuanzisha kampeni za uzazi wa mpango kunusuru mabinti na uchumi wao na wazazi wao
Kama baba kila mwisho wa wiki unapaswa kumkagua mtoto wa kike kama anabandiliwa au lah.