Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Ulifanya vyema ingawa mzazi alikua anaona kama unamnyima haki ya kua na wajukuu zake.Kabla sijaoa nilikua singo baba with 5 kids.
Sasa hii kiti ilikua inamtesa sana mama yangu akitaka niwapeleke watoto wangu kwake akawalee na niwe namtumia mahitaji tu.... aiseee nilimkatalia na nikamwambia hawa ni watoto wangu na niwajibu wangu kuwalea mimi mwenyewe.
Basi mama yangu alikua anaumia sana, ila nashkuru mungu wote walikua vyema na aliekua mdogo wakati huo leo yupo class 7 wakati wakubwa zake wapo chuo huo.
Ila badae nilio na nikaongeza wengine 3...🙈
Ila kaka hongera 😂..umetimiza neno