Binti yangu hawezi kuzalia nyumbani wakati baba yake nipo! Hiyo haiwezekani! Na yeye anajua hilo. Nawaombeni wazee wenzangu kataeni ujinga huo wa mabinti kuzalia nyumbani, ni aibu! Wewe baba ambaye binti Yako anazalia nyumbani jitathimini, unapaswa kuwa mkali hutaki Binti yako azalie kwako Sasa akazalie wapi?,maana umri ukifika huyo Binti yako lazima tu atataka wanaume maana tendo la kujamiana ni asili,Cha kusikitisha ni kwamba waoaji siku hizi hawapo,na huyo Binti yako akikaa bila kuzaa wewe kama mzazi lazima uguswe tu,Kwa ufupi wa kuwazalisha wapo ila wa kuwaoa siku hizi hawapo.Tuwapende mabinti zetu hapo kwako ndio kwao tusiwanyanyapae kisa jinsi zao.