Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Bila hivyo utaletewa watoto..Bila hivyo😆
Sio kila kitu cha kusema "tumwachie mungu" inabidi uwe na msimamo.
Hata mwenyewe ajue ni vipi atajitunza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila hivyo utaletewa watoto..Bila hivyo😆
Mama yake Obama nae alikuwa kiruka njia,maana nae alikuwa na wanaume 3-4 tofauti.Ila uzuri wake yeye alikuwa na kipato.
😂😂😂🤝🤝🤝 Good...Silei ujinga mie
Sisi WANAUME utatulaumu bure mwisho wa siku anayebaki na msala ni bintiHii mada ngumu sana aiseeeee ngoja niwe mpenzi msomaji tu, maana naona wanaume wamekua wakali kwa mabinti zao wakati wanasahau kwamba nawao wamewazalisha mabinti za wababa wengine.
Anyway...... sitaki kutukana mamba wakati bado sijavuka mto, zaidi ninajitahidi kuongea na binti zangu kuhusu mahusiano na siachi kuwaombea.
Mi kwa upande wangu sigusii kabisa kuhusu mtoto...Pamoja na yote nisiache kukumbusha:
"Barack Obama alizaliwa na kulelewa na bibi yake mzaa mama yake."
Tumhofie mola ndugu zangu.
Si sawa usemalo. Nina mpwa wangu alizaa nje ya ndoa na tena mtoto ana sickle cell, lakini amemuacha nyumbani kwao, dada yangu na mumewe ndiyo wanalea. Wanapeleka hospitali kutwa. Yeye yupo mjini anahangaika kutafuta vibarua ambavyo nina uhakika ni dada yangu anamjazilizia ili apitishe mwezi.Wakishaacha watoto nyumba huwa wanakuja mjini kuwataftia chochote kitu.ukienda mbele ukirudi nyuma hawa masingo mama hulea sana familia zao
Sisi tuliozalisha tunawatunza mpaka wanajitegemea sasa. Ni uhanithi kutupa damu yako mwanaume.Hii mada ngumu sana aiseeeee ngoja niwe mpenzi msomaji tu, maana naona wanaume wamekua wakali kwa mabinti zao wakati wanasahau kwamba nawao wamewazalisha mabinti za wababa wengine.
Anyway...... sitaki kutukana mamba wakati bado sijavuka mto, zaidi ninajitahidi kuongea na binti zangu kuhusu mahusiano na siachi kuwaombea.
Mi kwa upande wangu sigusii kabisa kuhusu mtoto...
Hapa naangalia huyu akiyeleta mtoto
Ni kweli mkuu ila inauma sana tena sana..Mambo mengine haya ni ya kuomba Mungu atupishilie mbali.
Mazingira yanaweza kuwa tofauti hadi ukashangaa.
Waliona mbali sana waliotambua kutokuwatukana mamba kabla ya kuvuka mto.
Ni kweli mkuu ila inauma sana tena sana..
Pia ukali unahitajika hapa
HahaFukuza wote hao hakuna kulea ujinga ulipo peleka uchi na kutiwa mimba utarudi uko uko, nyumbani kwangu sitaki fedhea na aibu
Ukweli mtupuUkitaka kuona mzazi anavyoumia na kuaibika ni binti azalie nyumbani. Wazazi wengi huwa wanaumia sana ni basi tuu.
Wakiwa huku wanaongea sanaHuyo member ni team kataa ndoa na nyie ndo wale mnaosema mnazalisha tu ila hamuoi. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu aiseee