Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Nikweli Inauma Sana mabinti hawajui tuUkitaka kuona mzazi anavyoumia na kuaibika ni binti azalie nyumbani. Wazazi wengi huwa wanaumia sana ni basi tuu.
Upo sahihi ✔️!! But uzazi wa mpango ni suluhisho? Kwanza mabint weng wa sasa ukiwafuatilia san lifestyle zao na mentality zao ni kwamba wanaona ndoa ni mzigo, ndoa ni mateso.Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani, Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu...
😪😪😪 Inauma mkuuKiukweli haipendezi hata kidogo kuwa na tumifugo tofauti tofauti hapo nyumbani,ikibid hata wawekeeni uzazi wa mpango mpaka pale watakapopata wa kuwaoa...
🤣🤣🤣🤣AtiiiUpo sahihi ✔️!! But uzazi wa mpango ni suluhisho? Kwanza mabint weng wa sasa ukiwafuatilia san lifestyle zao na mentality zao ni kwamba wanaona ndoa ni mzigo, ndoa ni mateso. Eventually wanaishia kutumika na kuzalishwa then baada ya hapo sasa... Utasikia anajivunia mitandaon kua... Single mama, mara utasikia am happy am single and am enjoying life!!!
Nimeona ni Bora embu fikiria unao mabinti WATATU hujakaa sawa wanapata ujauzito , na mwingine na mwingine Tena kila mmoja zaidi ya mtoto mmoja embu pata hiyo picha afu ni maskani kwako weww mzeeUpo sahihi ✔️!! But uzazi wa mpango ni suluhisho? Kwanza mabint weng wa sasa ukiwafuatilia san lifestyle zao na mentality zao ni kwamba wanaona ndoa ni mzigo, ndoa ni mateso. Eventually wanaishia kutumika na kuzalishwa then baada ya hapo sasa... Utasikia anajivunia mitandaon kua... Single mama, mara utasikia am happy am single and am enjoying life!!!
😆😆🤣🤣🤣🤣Atiii
Am single ..am happy am enjoying my life...😂😂😂😂😂kwenye macho ya watu
Mzee ni mtihan but upande wang nna katiba ndan ya nyumba yang ambayo hata mke akitetea mtoto kwa ujinga au mamb kama hayo atahama na mtoto wake!! Lazima tuwe wakwel tu.. malez ya sasa ni ya hovyo mnoo, unakuta mama anamuita bint yake shogaa!!Nimeona ni Bora embu fikiria unao mabinti WATATU hujakaa sawa wanapata ujauzito , na mwingine na mwingine Tena kila mmoja zaidi ya mtoto mmoja embu pata hiyo picha afu ni maskani kwako weww mzee
Yaan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Atiii
Am single ..am happy am enjoying my life...😂😂😂😂😂kwenye macho ya watu
Mkuu unasomeka. Lakini (samahani) swali moja ndugu kIdogo nje ya mada. Hivi ugonjwa Kagera umeshaeleweka?Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani, Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea...
Ni balaa mkuuMzee ni mtihan but upande wang nna katiba ndan ya nyumba yang ambayo hata mke akitetea mtoto kwa ujinga au mamb kama hayo atahama na mtoto wake!! Lazima tuwe wakwel tu.. malez ya sasa ni ya hovyo mnoo, unakuta mama anamuita bint yake shogaa!!
Inatakiwa tuite kikaoBinti yangu hawezi kuzalia nyumbani wakati baba yake nipo! Hiyo haiwezekani! Na yeye anajua hilo. Nawaombeni wazee wenzangu kataeni ujinga huo wa mabinti kuzalia nyumbani, ni aibu! Wewe baba ambaye binti Yako anazalia nyumbani jitathimini, unapaswa kuwa mkali
Haipo kama uwazavyo mzee!! Kwanza hakuna malezi bora kama ya baba na mama hata kama hamuishi pamoja but mna take care mtoto au watoto. Hawa single mama unaosema huku mjin kwanza wanatmbeka kinyama ili mradi aweze kujikimu na mahitaj yake pamoja na mtoto au watoto. Kiujumla wanapitia mazingira magumu ili wapate pesa!!!Wakishaacha watoto nyumba huwa wanakuja mjini kuwataftia chochote kitu.ukienda mbele ukirudi nyuma hawa masingo mama hulea sana familia zao
Bado mkuuMkuu unasomeka. Lakini (samahani) swali moja ndugu kIdogo nje ya mada. Hivi ugonjwa Kagera umeshaeleweka?
Na mtoto wa kiume hawezi kuleta mtoto wake kwangu, haiwezekani! Akalelee mtoto wake huko, silei ujinga mieNa wakiume wanaolelewa watoto wao kwa wazazi wao nao wakae wakijua inawauma sana wazazi wao!!Tusibaki kuwalaumu wakike tu kwa kuwa hawazai kwa uwezo wa Roho Mtakatifu bali kuna ushiriki wa jinsia Me pia!!!