Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Aisee hii isikie kwa watu tu isikukute inauma sana basi tu ni wazazi hawana jinsi ila inauma na inaleta fedheha mnoo. Ifikie kipindi mabinti jamani wajielewe, muwapunguzie wazazi hii kitu, usomeshwe, utunzwe bado ulete mimba nyumbani aisee! 😡 !
Kwanini mzazi akubali?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Na wakiume wanaolelewa watoto wao kwa wazazi wao nao wakae wakijua inawauma sana wazazi wao!!Tusibaki kuwalaumu wakike tu kwa kuwa hawazai kwa uwezo wa Roho Mtakatifu bali kuna ushiriki wa jinsia Me pia!!!
Uko sahihi lakini nakuhakikishia mwenye wajibu wa kutopata mimba ni mwanamke, akiamua asizae HAZAI, na mwanaume hata ufanyeje ikiwa mwanamke hataki mimba huwezi kumbebesha, never!
 
nilibahatisha kupata kademu flani nikatupa kamba kakakubali kumbe kana ujauzito sahiz kanasema nikaoe nimekataaa katakata kulea mtoto wa mtu inauma sana kwa mzazi kulea watoto wawili 😁
 
Binti yangu hawezi kuzalia nyumbani wakati baba yake nipo! Hiyo haiwezekani! Na yeye anajua hilo. Nawaombeni wazee wenzangu kataeni ujinga huo wa mabinti kuzalia nyumbani, ni aibu! Wewe baba ambaye binti Yako anazalia nyumbani jitathimini, unapaswa kuwa mkali
Shukuru Mungu hayajakukuta tuu. Utalia na hautafanya chochote
 
Hapa TANZANIA watu wanachelewa kupevuka Akili kutokana na kulelewa na wazazi ambao hawana exposure kubwa ya Maisha then ukikosea Mfano binti kupewa Mimba , baada atumike Kama case study Basi ni lawama vilevile watu wengi hasa vijana wa kiume kichwani bado ni 0-0
 
We mhaya juzi umelalamika dada zako kuzalia nyumbani

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Dah aise bonge la aibu fukuza kabisa nyumbani aende kwa bwanaake
 
Acheni kabisa mimi kiukweli dada zangu ni moja kati ya watu wamenisababisha binti yangu nimlee kwa mapenzi yote udogoni ili akifikia umri wa kujitambua nimuwekee masharti magumu sana....dada wa kwanza alipata mtoto baada ya kumaliza form 6,mdogo ndio nikaingilia kati na kumfukuza nyumbani maana nmehangaika nae kumsomesha kwa jitihada zangu mpk kamaliza chuo kikuu,kakaa hom anasubiri matokeo mimba nikawaambia wazazi nyie tulieni niwaoneshee show huyu aende huko huko kwa aliyempa mimba hakuna kituo cha kulelea watoto wa watu hapa.
 
Mkuu mbna ulimfukuza mmoja tu?na maisha yake yakoje uko..
 
Sisi home tulizaliwa 6 wote wa kiume, watoto wangu wa kwanza ni wakiume pia (mapacha)..nipo naendelea kusikilizia ushuhuda.
 
Wakishaacha watoto nyumba huwa wanakuja mjini kuwataftia chochote kitu.ukienda mbele ukirudi nyuma hawa masingo mama hulea sana familia zao
sio wote Mpendwa wengi wanazingua,Ni kweli wapo wanaojari lakini wengi hawajari
 
Upo sahihi [emoji3581]!! But uzazi wa mpango ni suluhisho? Kwanza mabint weng wa sasa ukiwafuatilia san lifestyle zao na mentality zao ni kwamba wanaona ndoa ni mzigo, ndoa ni mateso.

Eventually wanaishia kutumika na kuzalishwa then baada ya hapo sasa... Utasikia anajivunia mitandaon kua... Single mama, mara utasikia am happy am single and am enjoying life!!!
Ndoa mzigo? Weng hawana waoaji
 
Na hz tabia zinashamir miaka ya karibun
Zaman bint akiboronga anaweza tamani kufa maana c kwa kumuogopa faza kule
 
Back
Top Bottom