Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Kwanini mzazi akubali?



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Na wakiume wanaolelewa watoto wao kwa wazazi wao nao wakae wakijua inawauma sana wazazi wao!!Tusibaki kuwalaumu wakike tu kwa kuwa hawazai kwa uwezo wa Roho Mtakatifu bali kuna ushiriki wa jinsia Me pia!!!
Uko sahihi lakini nakuhakikishia mwenye wajibu wa kutopata mimba ni mwanamke, akiamua asizae HAZAI, na mwanaume hata ufanyeje ikiwa mwanamke hataki mimba huwezi kumbebesha, never!
 
nilibahatisha kupata kademu flani nikatupa kamba kakakubali kumbe kana ujauzito sahiz kanasema nikaoe nimekataaa katakata kulea mtoto wa mtu inauma sana kwa mzazi kulea watoto wawili 😁
 
Shukuru Mungu hayajakukuta tuu. Utalia na hautafanya chochote
 
Hapa TANZANIA watu wanachelewa kupevuka Akili kutokana na kulelewa na wazazi ambao hawana exposure kubwa ya Maisha then ukikosea Mfano binti kupewa Mimba , baada atumike Kama case study Basi ni lawama vilevile watu wengi hasa vijana wa kiume kichwani bado ni 0-0
 
We mhaya juzi umelalamika dada zako kuzalia nyumbani

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Dah aise bonge la aibu fukuza kabisa nyumbani aende kwa bwanaake
 
Acheni kabisa mimi kiukweli dada zangu ni moja kati ya watu wamenisababisha binti yangu nimlee kwa mapenzi yote udogoni ili akifikia umri wa kujitambua nimuwekee masharti magumu sana....dada wa kwanza alipata mtoto baada ya kumaliza form 6,mdogo ndio nikaingilia kati na kumfukuza nyumbani maana nmehangaika nae kumsomesha kwa jitihada zangu mpk kamaliza chuo kikuu,kakaa hom anasubiri matokeo mimba nikawaambia wazazi nyie tulieni niwaoneshee show huyu aende huko huko kwa aliyempa mimba hakuna kituo cha kulelea watoto wa watu hapa.
 

Mkuu mbna ulimfukuza mmoja tu?na maisha yake yakoje uko..
 
Sisi home tulizaliwa 6 wote wa kiume, watoto wangu wa kwanza ni wakiume pia (mapacha)..nipo naendelea kusikilizia ushuhuda.
 
Wakishaacha watoto nyumba huwa wanakuja mjini kuwataftia chochote kitu.ukienda mbele ukirudi nyuma hawa masingo mama hulea sana familia zao
sio wote Mpendwa wengi wanazingua,Ni kweli wapo wanaojari lakini wengi hawajari
 
Mkuu mbna ulimfukuza mmoja tu?na maisha yake yakoje uko..
Wa kwanza huyo ni dada mkubwa nnaemfuatia mm.,.ila huyo wa pili ni dogo kwa hiyo kwa sababu nilikuwa responsible kwake directly ndo maana wazazi walinipa baraka zote...kuhusu maisha yake ameshajifungua na yupo kwa bwan'ake anajitafuta huko
 
Ndoa mzigo? Weng hawana waoaji
 
Na hz tabia zinashamir miaka ya karibun
Zaman bint akiboronga anaweza tamani kufa maana c kwa kumuogopa faza kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…