Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Na wakiume wanaolelewa watoto wao kwa wazazi wao nao wakae wakijua inawauma sana wazazi wao!!Tusibaki kuwalaumu wakike tu kwa kuwa hawazai kwa uwezo wa Roho Mtakatifu bali kuna ushiriki wa jinsia Me pia!!!
Lakn madem ndyo wakuu ktk hl
 
Pole Sana mkuu
 
Ukitaka kuona mzazi anavyoumia na kuaibika ni binti azalie nyumbani. Wazazi wengi huwa wanaumia sana ni basi tuu.
Kabisa Mkuu.

Mara nyingine anaumia sana ila anashindwa kumwambia binti yake kwsbb unakuta huyo binti ndio anadanga na kuleta pesa ya matumizi nyumbani

Kwakweli wawapunguzie mzigo wazazi
 
Kabisa Mkuu.

Mara nyingine anaumia sana ila anashindwa kumwambia binti yake kwsbb unakuta huyo binti ndio anadanga na kuleta pesa ya matumizi nyumbani

Kwakweli wawapunguzie mzigo wazazi
Noma sana😁
 
Kwanini mzazi akubali?



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sasa utafanyaje mkuu, tuseme utamfukuza amfuate aliyempa mimba ambaye amemkataa, huyu mwanao ataenda wapi? je utapata usingizi huku hujui hatma ya uliyemfukuza kuwa anaishi vipi na mimba yake? basi unakuta hasa sisi wamama huruma inakujia unamuacha tu. Tatizo ni hawa wadada wajitambue...
 
nikweli
 
Wa kwanza huyo ni dada mkubwa nnaemfuatia mm.,.ila huyo wa pili ni dogo kwa hiyo kwa sababu nilikuwa responsible kwake directly ndo maana wazazi walinipa baraka zote...kuhusu maisha yake ameshajifungua na yupo kwa bwan'ake anajitafuta huko
Sema yupo kwa shemeji

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nitunze maneno kwanza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kuona mzazi anavyoumia na kuaibika ni binti azalie nyumbani. Wazazi wengi huwa wanaumia sana ni basi tuu.
NItasikitika kama amepata ujauzito akiwa shuleni maana atafukuzwa na mipango yake itakuwa imeharibika.

Sitaona aibu yoyote nitamsapoti aje asimame mwenyewe kulea mtoto wake.

AIbu itakuja pale ambapo atakuwa hajatulia anaendelea kurukaruka ihali ana mtoto wa kulea.

Kama amemaliza sekondari akaamua kuzaa atajua yeye. Aibu ya nini?
 
Wanaume wengi siku hizi wamepoteza Uanaume.

Zamani Binti Et umkute anawaza kuzalia nyumban??..anajua kitakachompata.


Alafu Mabinti wameamua kua na urafiki wa Afya na Mama zao 🤣🤣.

Vijana wa kiume pia, wanaenda kavukav tuu kama kawaida ,wakiwapa mimba wanazikataa.


Mabinti nao, kakosa kazi, kakosa Mume, kakosa Ndoa, aaahhh Wazazi wake wanamuambia, Binti yetu, tuletee hata mjukuu!!


By the way,,.mambo yakishatokea yametokea.
Umfukuze ?? Akahangaike ?.
 
Sasa unakuta umemlea wewe mpaka amekuwa mtu mzima halafu badala ajitambue kama amezaa azae na Mwanaume anayeweza kumuhudumia hata ikibidi aishi nae au ampangie chumba

Lakini umemlea yeye then anaenda kupata mimba anakuletea mtoto wake hapo umlelee mtoto

Kwanini akupe hayo majukumu? Na mara nyingine unakuta yeye na mzazi mwenzie hawaprovide chochote kwako.
 
Mtoto wake atalea yeye mwenyewe akiwepo hapo nyumbani kwangu. Sikatai kuna gharama nitaingia lakini nitahakikisha anajitambua na kuweza kumhudumia mwanae.
Hataondoka na kuniachia mtoto haitatokea labda atoroke aniachie.
 
Tatizo hili
 
Kuzalia home kunamfedhehesha mzazi, haijalishi upo primary, secondary au chuo kikuu.
 
Kwahiyo mzigo ni kwa watoto wa upande wa kike tu!!!
Basi sawa.
Ndiyo mzigo ni kwa watoto wa upande wa kike, kwasababu mtoto kwa upande wa kiume ana endeleza ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…