Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Matoto ya kiume ya sasa ni mapumbavu labda kazalisha mtoto wa watu then halina time hata kutoa huduma lipo maskani limeweka suruali chini ya kiuno sijui linavuta mabangi ..yaani kichwa empty kabisa halijui dhuluma linayofanya dhidi ya binti wa watu .

Matoto kama hayo ndo yanakuja kufa vifo vibaya kwani nyuma yao Kuna nafsi inasononeka dhidi ya usaliti mbaya ..

Ungemuacha akapata mtu atakaye muoa basi Tamaa za nn ni ushamba...Ndo maana maisha ya vijana yasiyo na future kuvaa uchafu uchafu kuvuta mabangi sijui nn kulewa bila ya sababu ,mara starehe za kijinga ni totally USHAMBA..Mtu mpaka akija jitambua miaka 45 huko basi anaishi kwa majuto kama alikuwa mvuta shisha na mlevi mda huo kashaanza kushambulia na TB na magonjwa ya mapafu ni majuto tu jamani vijana wenzangu.

Tuamkeni kuzalisha ovyo ni laana baada unaenda kuoa kwingine tufikirie mara 2 hali kama hizi ..Mtoto wa mtu kakuamini mpaka kavua nguo then unamuacha solemba nn tunatafuta kama sio laana?
Ila kuna watoto wa kike wengine ni vichwa maji hasa akishajiona ni mrembo anakuwa na kiburi haoleki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atiii
Am single ..am happy am enjoying my life...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye macho ya watu

Kwenye macho ya watu how? Hebu tujuze kidogo
 
Jirani, kuna watu hawataki kukaa na watoto wao, nafuu kwao ni watoto kulelewa na watu wengine na wao kutuma pesa tu. Kuna kundi hili la wakwepa majukumu na kundi lile lingine la walioleta watoto duniani wakati hawana uwezo wa kuwalea wala kuwahuduma sababu na wao hawajiwezi kabisa.
Jirani, hii kukwepa malezi inamadhara makubwa sana ambayo wazazi wengi tunasahau.
1. Kwanza mtoto analelewa na watu wenye tabia tofauti na mzazi wa mtoto.
2. Bond kati ya mzazi na watoto inapotea.
3. Upendo wa watoto kwa mzazu unapoteza ladha, hii maranyingi humfanya mtoto ajilazimishe kumpenda mzazi.
4. Mzazi kushindwa kuzifaham vizuri tabia za watoto wake.
5. Mzazi kushindwa kumsaidia ama kumfundisha mtoto wake yale yanayo faa na yasio faa.
6. Kupotea kwa uhuru kati ya mzazi na watoto wake.
7. Mtoto kukosa mtu sahihi wa kumshirikisha mabadiliko na changamoto wakati wa makuzi.
Nk:
 
Sahihi
 
Sahihi kabisa jirani. Wengine ni changamoto za maisha hawawezi kukaa na watoto wao, wengine kuna bad choices walifanya before zinawaweka mbali na watoto wao, wengine wanaamua tu hawataki kukaa na watoto wao wanawasukumia kwa watu wengine 😃 hawa ndio tatizo zaidi. (hawa ndio mimi huwaita wakwepa majukumu)
 
Peleka mtoto kwenu kama una uwezo wa kumuajiria na dada wa kazi,lakini pia kutuma hata sent kadhaa kwa wazazi hapo nyumbani.

Tusiwe wanafiki,chini ya blancket ya umasikini ni mateso mazito kwa wazazi,ni kuingilia uhuru wao pia.
 
Sometimes wanasaidia wazazi kuchangamka na kuwa active kutokuzeeka vibaya kikubwa watume matumizi Ila hekaheka za wajukuuu kwa wazazi kachumbari poa sana kwa upande wangu
 
Sometime raha na faraja kidogo tunazopitia katika maisha zinatusaulisha umuhimu wa nidhamu na bidii
Tusisubiri maumivu yatufunze
 
N
Nimeona ni Bora embu fikiria unao mabinti WATATU hujakaa sawa wanapata ujauzito , na mwingine na mwingine Tena kila mmoja zaidi ya mtoto mmoja embu pata hiyo picha afu ni maskani kwako weww mzee
Nafukuza wote
 
Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani.

Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu.

Hili ni tatizo kubwa kwasasa wanawake wanapaswa kujitambua na kujua nyakati zimebadilika na suala la malezi ni jukumu zito. Msichana usipojitambua ni mzigo kwa wazazi wako.

Naandika haya nikiwa kama mzazi wakiume. Ninyi mabinti ni nani aliyewaloga? Hata hivyo Serikali inalojukumu la kuanzisha kampeni za uzazi wa mpango kunusuru mabinti na uchumi wao na wazazi wao
Kuna maeneo hili janga...mojawapo ni Babati ,mkoani Manyara Nina ushahidi wa kiutafiti ilq siwezi kuweka bayana hapa! Ila kuna shida kubwa sana ya watoto nje ya ndoa katika maeneo ya Babati na viunga vyake!
Kuna haja wadau kuwekeza ktk Elimu ya ngono kule!
 
hali inasikitisha sana,swala la malezi naona ndo tatizo, mzazi ndo anapaswa kumuelimisha mtoto,jukumu la malezi kwa mtoto serikali hai husiki nalo kwani mzazi ndo anakaa na mtoto huyo,mzazi anapaswa kumweleza mtoto kila kitu kuhusu uzazi, zipo sababu nyingi zinazo pelekea swala hilo kutokea, mfano mtoto amezaliwa na singo maza unategemea ye afanyeje?,wazazi kutokuwa wakali wa kukemea maovu kwenye familia,mfano dada mkubwa amezalia nyumbani hakuna onyo lolote lilotolewa kwa ukali kwa hiyo wadogo zake watachukulia kawaida kuzalia nyumban maana watasema mbona flan kazalia nyumbani haja semwa wala kufukuzwa?,kingine mama kuwa na sauti kwenye familia hii ina changia sana kwani kila watakacho fanya watoto ata wakingia kifua.n.b. Babu zetu na bibi zetu walizuia tatizo la watoto wao kuzalia nyumbani kwa kuwa wakali,au mtoto kufukuzwa na kutengwa na familia kwa kuzalilisha ukoo ule ,kwa hiyo na wengine waliogopa kuzalia nyumbani wasitengwe,kufuzwa na kukosa waume.malez ni jukumu lako mzazi sio serikali.
 
Mzee ni mtihan but upande wang nna katiba ndan ya nyumba yang ambayo hata mke akitetea mtoto kwa ujinga au mamb kama hayo atahama na mtoto wake!! Lazima tuwe wakwel tu.. malez ya sasa ni ya hovyo mnoo, unakuta mama anamuita bint yake shogaa!!
Khaaaaa!
 
Back
Top Bottom