Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

Hawa hawana jipya tumewazowea na press zao za kulilia katiba mpya.
 
Upuuzi mtupu.
 

umeshaolewa au bado unaangaaka na bawaziri inayo kusumbua
 
Wewe ni graduate?
 
Maoni ya mjumbe wa sgang.
 
Magufuli angekuwepo hai ungeandika hiki ulichoandika?
 
Polepole hoja anazo, sasa wanaompinga wanamtukana tu hawajibu hoja
 
mi nashangaa,wanamzonga polepole kwa maneno,halafu hawajibu hoja zake,hapo ujue kawakaba kolodani kisawasawa!!jibuni hoja zake,sio porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…