Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

MKuu yawezekana mzungu kaona mizinga imeanza mapema,
Unaweza kuwa hukuomba Hela ila swala la kuvunja vidole wiki Moja baada ya mahusiano linafikirisha sana.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Si haba kwa kweli namshukuru Mungu kwa hilo ninaangalika[emoji23][emoji23]
Sawa ila wanawake mlio wengi huwa mnaji-overrate sana. Demu wa kawaida sana lakini yeye anajiona bonge la shori. I hope you are not one of them. Kila la heri na shemeji yetu kutoka Oslo.
 
MKuu yawezekana mzungu kaona mizinga imeanza mapema,
Unaweza kuwa hukuomba Hela ila swala la kuvunja vidole wiki Moja baada ya mahusiano linafikirisha sana.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Ajali haina kinga hata mimi niliipata unexpected na nilimwambia nimevinjika vidole baada ya kutoniona online muda mrefu so sikuona sababu ya kumficha after all nilimpa tu taarifa sio kwa expectations za kupewa hela ikatokea akaamua kwa matakwa yake mwenyewe kunipa hiyo hela... wewe ukijua a na mdada ndani ya week hlf usinuone online almost siku nzima na si kawaida yake ukamuuliza akakwambia yuko hospital kapata ajali ni amekuomba hela?? Tuwe tunafikiriaga positive sometimes.
 
Sawa ila wanawake mlio wengi huwa mnaji-overrate sana. Demu wa kawaida sana lakini yeye anajiona bonge la shori. I hope you are not one of them. Kila la heri na shemeji yetu kutoka Oslo.

Ulitaka nikujibu ni sasa bro? After all uzuri wa mtu uko machoni mwa mtu.
 
Naelewa MKuu Sema hapa natumia uzoefu sababu dada zangu wabongo sisi Sio wageni wenu,
Kutongozana asbh halafu jioni ukafiwa mama mzazi au baba akalazwa ICU KESHO yake Huwa ni kawaida , naweza kuwa nakosea ila kinongobongo wengi wako hivyo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba mwanzo wa kujuana zungu likaomba utupu wako ulitumie, nawe ukalitumia......Afrika ni afrika tu

Mmh ndugu yangu umesoma kwa makini kweli? Au niseme ukiwa unasoma kitu unasomaga kwa utulivu? Jaribu kua unasoma kwa umakini kuepuka fedheha ndogo ndogo.
 
Ivi mwanaume kuwa seriously ni kumpa mwanamke pesa ???namanisha kumuhudumia kifinancial kama akiwa na shida au akikutumia sms unajibu ontime au upendo wa dhati ni nini???
 
Hujadanganya ni kweli kabisa ila binafsi sipendag kujishushia hadhi hata km ningepata shida ya hela ningeomba kaka zangu, marafiki ninaowafahamu au mzazi sio mtu niliejuana nae ndan ya muda mfupi hivyo ni kujifedhehesha na kujiteremsha.
 
Uko na attitude nzuri kuhusu maisha ,endelea Hivyohivyo, itakupa faida huko mbele.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ivi mwanaume kuwa seriously ni kumpa mwanamke pesa ???namanisha kumuhudumia kifinancial kama akiwa na shida au akikutumia sms unajibu ontime au upendo wa dhati ni nini???

Kumjali, ni nadra sana kwa nature ya mwanaume yeyote duniani kumjali mwanamke asiye na interest nae hata kidogo, fatilia details ndogo ndoga hapo utaelewa achana na swala la hela kwanza angalia kumjibu mtu kwa wakati, kumjulia mtu hali hata km umechoka vp ila upate muda wa kuongea nae hata kidogo kujua siku yake imeenda vipi, kwa mfano alivyouliza unakuaga unakaa bored km huna chchote cha kuangalia basi bora nikupe netflix ikuweke busy kwa muda huu ili usiwe bored kaka hata km ni wewe mwanamke usie na muda nae kabisa umfanyie yote haya ili iweje tena bila kukuomba? Km mwanaume nadhan utakua umenielewa.
 
Sawa ongeza umakini mkuu.
 
Mmh ndugu yangu umesoma kwa makini kweli? Au niseme ukiwa unasoma kitu unasomaga kwa utulivu? Jaribu kua unasoma kwa umakini kuepuka fedheha ndogo ndogo.

Basi sawa ma sista, nitakuwa nimeelewa vibaya......nisamehe
 
Ulitaka nikujibu ni sasa bro? After all uzuri wa mtu uko machoni mwa mtu.
Ulivyojibu umejibu sahihi kabisa. Niliamua kuongezea tu observation yangu kuwa wanawake wengi huwa wanajioverrate. By the way mwanamke mzuri wa kuvutia kila mtu atamuona ni mzuri tu. Haya mambo ya kusema uzuri upo machoni mwa mtu ni porojo tu.
 
Vipi akija na Akataka game(kutest mtambo) , upo tayari kwa Commissioning? Au ndio yale yale ya Mpaka nyumbani uje wakujue na tufunge pingu za Maisha kwanza ndio mchezo ufuate
 
Vipi akija na Akataka game(kutest mtambo) , upo tayari kwa Commissioning? Au ndio yale yale ya Mpaka nyumbani uje wakujue na tufunge pingu za Maisha kwanza ndio mchezo ufuate

Hayo maswali ni too personal ningependa ibaki confidential as long as mlengwa mwenyewe ni mimi mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…