Usiwe na wasiwasi, kama utaweza kumtumia normal text itakuwa vizuri.
Ninachojua hawa jamaa kama kuna namna hakuelewi anakuambia straight na uhusiano unakufa, hawarembi kama sisi na unafiki wetu.
Ameshakuelewa...Sasa hakutaki tena umempiga mzinga wa kijinga Sana
Ungempanga vizuri kwanza aje
Una njaa Sana ndio shida...wewe kulana na na sisi tusiohonga zaidi ya laki
Ng'ombe mko wengi ...wewe unafikiri alivunjika mtu vidole hapo? Au ni POP fake Ili atumiwe hela?We nae sijui unasoma huku umefunga macho? Kuna nilikompiga mzinga hapo? Kuna alikoombwa hela hapo? Tuwe na utulivu wa kuelewa mambo kbl hatjaongea basi.
Ng'ombe mko wengi ...wewe unafikiri alivunjika mtu vidole hapo? Au ni POP fake Ili atumiwe hela?
Wajinga ndio waliwao
Huyu Dada angekupata hata wewe angekuvuta hela fresh kabisaKubishana na mtu km ww ni kupoteza muda.
Huyu Dada angekupata hata wewe angekuvuta hela fresh kabisa
Tatizo wewe huna mia
Kudadadeki😅Ndio hivo, uwe na hela kwanza halafu ndio hisia zitajengwa hata kwa lazima.
Siwaachi tutapambana hata kwa ndele😅Wewe wasema.[emoji23][emoji23]
Za chaki hazitoshi. Hamna asiyetaka maisha mazuri aisee[emoji23][emoji23]. Yaani niteseke na chaki kusimama siku nzima na bado nikapambane kudandia daladala kwa dirishani kisa nabania pussy ambayo baada ya michosho ya daladala naenda kumpa Abdala anasimamia ukucha na kunibinua binua anavyotaka usiku mzima na bado hapo haimaanishi ha cheat ama nipo peke yangu? Hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]ila inaumaAtakutafuta leo. Si unaona ilikuwa ni weekend? Mpenzi wako alienda kwa mpenzi wake na simu anayotumia kuchat na wewe aliiacha nyumbani kwake akaondoka na nyingine ambayo sasa wewe hauna.
Usijali atarudi leo, muendelee mlipoishia.
Mimi napokea miamala kutoka Marekani kupitia hiyo world Remit huku Bongo unapokea kupitia Airtel money, na tigo nadhani.Hiyo world Remit mbona kwenye nchi zilizo kwenye orodha Tanzania haimo
Ulijisajili vipi?Mimi napokea miamala kutoka Marekani kupitia hiyo world Remit huku Bongo unapokea kupitia Airtel money, na tigo nadhani.
Unajuwa kusoma kiswahili?Ulijisajili vipi?
Hebu nisomeeeUnajuwa kusoma kiswahili?
Funguka mdada, umetumia C++ kuleta hoja yako[emoji23][emoji23][emoji23]Ila kitu nimegundua walaqhi' hakuna watu bitter na wanafque kama baadhi ya wabongo wenzetu, Mungu atusaidie tu hakika doh'..!![emoji119]
Huku TZ huna mtu wa kupunguza stress?[emoji23] Manake ili huyo white asikuumize kichwa waweza tafuta a friend with benefit huku unalisongesha na white!Yeah hilo nimelisoma kutoka kwao! Since mwanzo nilikua makini kulijua hilo kbl sijaingia kichwa kichwa na sikutaka kutumia effort yyt kumfanya awe interested so am sure your right mgoja nitajaribu kumtafuta kawaida.
Sawasawa,[emoji2]Kawaida tu kila mtu anamtazamo wake so sio mbaya kuongea kilichoujaza moyo wake[emoji28]