Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Asante jwa ushauri pia ila si kila wazungu wanawazaga marinda tu hiyo ni tabia ya mrmtu ndio masna hata kuna kaka zangu wa nchini wanafanya hiyo michezo.
Ila asilimia kubwa ndio tabia zao kufukua mitaro jiandae kisaikolojia
 
Anaweza actually kuwa Mnigeria akiwa pale Enugu... Kuwa mwangalifu. Hapo Enugu kuna timu ya mpira mashuhuri inaitwa Enugu Rangers.
 
Do some efforts za kumtafuta acha tuu kumtext whatsapp,,,mpigie simu hata kama ni gharama
 
Daah we jamaa
 
Njaa za namna hii zilimfanya Binti mmoja (Changu) ka-beastilishwa na ku-knot na dog, sijui mnaikumbuka hii issue? Sema kipindi kile mitandao ilikuwa haija catch-up sana.
 
Bibie huna subira na hutaki kupoteza muda? Tafuta mwingine basi.
 
Hii mambo bana ukichukulia seriaz waeza lia aisee[emoji28] kuna pimbi moja iko Belgium iliwahi kuniweka kwa hii plan nikaona kweli Yesu ni mwokozi wa Maisha yangu!

Tumepitia mengi kama taifa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka vibaya...Ilikufanyaje Extro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie simu ya kwaiada mida unayohisi anakuwa nyumbani mostly...

Lakini mada isiwe "kwanini hujibu txt zangu".. manaake communication skills za madem zeru wakibongo tunazijuwa

Zungumza naye mambo ya kawaida tu, kama kumjulia hali.. kumpa story mbili tatu, since umehisi huyo jamaa ni intervert wewe ndio inabidi kujitahidi ku push convo kwa kutafuta topic ambazo wote mtakuwa interested nazo! ..


Kuna nchi nyingine huko hawatumii WhatsApp heavily kama sisi huku.. so hiyo inaweza kuchangia pia.

Nakumbuka kuna wazungu kadha huko U.s mimi ndio niliwa shawishi tutmie WhatsApp badala ya skype!


Ukishindwa kudeal na huyo introvert mtafuta mtu 1 anaitwa Extrovert ni expat atakusaidia zaidi !
 
Upo kwa your mid 20's
 
Subiria mwezi mmoja upite,ukiona kimya mtafute; asipopatikana tupo hapa wazungu weusi
 
Ila kitu nimegundua walaqhi' hakuna watu bitter na wanafque kama baadhi ya wabongo wenzetu, Mungu atusaidie tu hakika doh'..!![emoji119]

Sanaaa jamani why are we this bitter? Hii kitu tukiiendekeza inaweza kutufanya tukawa maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…