Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Njaa za namna hii zilimfanya Binti mmoja (Changu) ka-beastilishwa na ku-knot na dog, sijui mnaikumbuka hii issue? Sema kipindi kile mitandao ilikuwa haija catch-up sana.

Duh,, ilikuaje hii
 
Huku TZ huna mtu wa kupunguza stress?[emoji23] Manake ili huyo white asikuumize kichwa waweza tafuta a friend with benefit huku unalisongesha na white!

Nakuaga na ka ubusy kidogo nikiwa kazini so hua inanisaidia kuto ji engage na mahusiano kuhusu friend with benefit...hahaha ngoja nichek upepo kwanza my friend.
 
Anaweza actually kuwa Mnigeria akiwa pale Enugu... Kuwa mwangalifu. Hapo Enugu kuna timu ya mpira mashuhuri inaitwa Enugu Rangers.

Hahaha sidhani km ni scammer sababu tumevideo chat zaidi ya mara1
 
Bibie huna subira na hutaki kupoteza muda? Tafuta mwingine basi.

Nilitaka kujua shida yaweza kua ni nini ndio maana niliomba ushauri wa wengi then nichambue.
 

Hahaha asante sana kwa ushauri mzuri nashukuru amenitafuta na amenipa reasonable reason nimemuelewa.
 
Hahaha asante sana kwa ushauri mzuri nashukuru amenitafuta na amenipa reasonable reason nimemuelewa.
VizUri sana sasa tafuta passport ujiandae na safari ya Norway !
 
Asanteni wote kwa ushauri wenu mzuri...amenitafuta jioni hii akasema alivunja screen ya simu yake na app zake hajaziconnect na computer na honest speaking hakua na namba yangu kichwani so hakua aikweza kufanya chchote na simu yake while anasikia notification zote.

Leo hii ndio kanunua simu nyingine and he send new box and a mirror selfie of his new phone so niweze kumuamini..i choose to beleive him for this, asanteni my dear.
 
Yes wa Norway watu poa sana , ni watu wanaopenda kujifunza tamafuni za jamii nyingine ... !

Kwa muda huu mfupi nineona ni mtu poa tu naomba Mungu aendelee hivi hivi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…