Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Huu mwandiko si wa mtu wa miaka 20+

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kweli dada mwambie ulimmiss sana shemeji yetu... Atume chochote kitu januari ngumu
 
Adui yako muombee njaa. Kukosekana hewani kidogo tu kashachanganyikiwa dada wa watu. Akimwambi its over itakuwaje.
 
Hannah tulia. Mfariji mtoa mada.
 
Hongera sana kwa kupata rafiki anayekujali! Mjali pia, mtunze, mthamini, usimuumize kwa namna yoyote ile. Ushauri wangu kwako, nadhani usikae bure!!! Endelea kum"text" hata kama hajibu! Onesha wasiwasi wako juu ya ukimya wake, mwambie ukimya wake umekuwa msumali wa moto kwako, unakutesa, unakunyima amani! Mwambie toka mmeanza urafiki amekuwa sehemu yako! Akiumwa, unaumwa! Muulize, Umepatwa na nini? Mwambie katika lolote analopitia, unamwombea aweze toka kwenye hali hiyo!! Narudia tena, usikae kimya!!! Hata asipokujibu, endelea kumtumia message, onesha Upendo wako kwake! Usipofanya hivyo anaweza hisi ulichojali ni pesa yake! Anaweza fikiri wewe ni mbinafsi na hukumhitaji maishani mwako!
 
Adui yako muombee njaa. Kukosekana hewani kidogo tu kashachanganyikiwa dada wa watu. Akimwambi its over itakuwaje.

Ntaelewa km its over na ntasonga mbele ila sio kukaa katika sintofahamu.
 
Mkuu jiandae kujibu vichambo[emoji3][emoji3][emoji3] Kutumiwa laki 7 alafu ghafla sponsor kakata mawasiliano mchezo.. Binti angeenda mpaka ubalozi

Sio kosa lenu kaka zangu mshazoea wenye njaa hata wale tunaoishi maisha yenu mnatuona tofauti so kuwaelezea tutachoka ni bora tuishi hivi hivi tu.
 
Hahahaha au sio kaka rikiboy[emoji23][emoji23]
Au tumpeleke ubalozi wake ashughulikiwe[emoji3][emoji3][emoji3] Sema asishtukie unampiga yani Vumilia tu dada ukute ndo mume kweli
 
mbona makasiriko wanaume kisa kapelka mbususu kwa mzungu na katuacha kina juma hapa na genye zetu

Dah kaka zangu wamepanick sanaa, ila sio mbaya ndio kaka zangu tena hamna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…