Niliongelea kauli ya general dada, pole kama nimekukwaza.Sio wote kaka yangu nadhan kwenye hiyo 10% nikawepo
Kwahiyo sasa hivi ukipata mzungu amekuelewa na ana mkwanja mrefu haukubali? Unaendelea kubaki na sisi akina mwajey wa buza? Kuonesha uzalendo?Hio ilikuwa long time kidogo enzi ningali kijana machachari
Ukikaa kujibu kila mtu humu itaingia wazimu mremboSio kila mtu ni muongo muongo km unavyonifikiria, nipo leave ya kazi na mshahara wangu unaingia km kawaida so umaskini wa kutupwa wa kupiga vizinga vya kishamba sina.
Kila la kheri naamini shemeji ni mzima ni dharura tu
Siku nyingine ukiulizwa kama una Western Ubionjibu ndio; hii sio benki eti lazima ufungue account au app kuwa lazima uwe nayo. Majina yako na inchi uliipao vinatosha kabisa
Hahahahah hutaki kuchezea fursa😅 kabisa dawa yako ni kutiwa pete tu!Hapana, kama nimeolewa sita cheat. Siwezi kucheat kwenye ndoa yangu labda aanze yeye[emoji23].
Ila eti sijaolewa halafu niteseke na fursa naziona?
Niliongelea kauli ya general dada, pole kama nimekukwaza.
Ninatambua kuna mabinti wanatambua thamani zao na hawana bei so pesa haiwasumbui hata kama hawana.
Pili ukubwa wa njaa za dada zetu sisi wanaume tunalijua vizuri zaidi.
Hii inawezekanaje? MkuuHapana, kama nimeolewa sita cheat. Siwezi kucheat kwenye ndoa yangu labda aanze yeye[emoji23].
Ila eti sijaolewa halafu niteseke na fursa naziona?
Ukikaa kujibu kila mtu humu itaingia wazimu mrembo
Asante umenyooka kama rula...which is good[emoji16][emoji16]Ni kweli hata mimi nina marafiki na ndugu naliona hilo tunahitaji kujaribu sana kujikwamua hata kwa vibiashara vidogo dogo ili tusiwe tegemezi, hao wazungu wenyewe si kwamba wana hela nyingi km watu wanavyodhami ila ni sababu tu wametengenezwa kua hardworkers tangia wakiwa wadogo..hukunikwaza chochote bro uliongea ukweli.
Asante umenyooka kama rula...which is good[emoji16][emoji16]
Sasa wanaume weusi ndio hamtutaki tena jmn?
Mguu unaendeleaje dada.
Sasa mimi na hiyo choice yako nakosa hiyo rangi tu jmnTunawataka tu jamani sema mimi dada yako napenda sana wake majamaa weupe[emoji16][emoji16], tena awe slim halafu tall hahaha navitiwa nao for sure no need to hide.
Itakua kafa na Corona maana inawaua sana...
Fanya mambo mengine...
Inasikitisha sana...Uwii km kafa bas alale mahali pema mkaka wa watu[emoji25]
Sasa mimi na hiyo choice yako nakosa hiyo rsngi tu jmn
Inasikitisha sana...
Column yakwanza sijapenda ulivyomchana ila ya pili umempa ushauri mzuri tu.Cha kwanza nilichokiona tu kwako una tatizo la njaa kwenye mahusiano sio rahisi kwa mtu wa kawaida kukwambia hilo ila most girls wanaowinda wazungu huwa ni sababu ya njaa tu na si kingine. Cha pili tuliza mshono.
Huyo jamaa atakutafuta tu usioneshe kuwa demanding sana huwa mambo yanaendaga smooth tu!
Column yakwanza sijapenda ulivyomchana ila ya pili umempa ushauri mzuri tu.
Sio kwamba mtu anaetafuta mtu wa nje ya nchi yake ana njaa km unavyosema bali yeye kasema anapenda mahusiano yake yawe na mtu wa aina ile