Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Sio wote kaka yangu nadhan kwenye hiyo 10% nikawepo
Niliongelea kauli ya general dada, pole kama nimekukwaza.
Ninatambua kuna mabinti wanatambua thamani zao na hawana bei so pesa haiwasumbui hata kama hawana.
Pili ukubwa wa njaa za dada zetu sisi wanaume tunalijua vizuri zaidi.
 
Hio ilikuwa long time kidogo enzi ningali kijana machachari
Kwahiyo sasa hivi ukipata mzungu amekuelewa na ana mkwanja mrefu haukubali? Unaendelea kubaki na sisi akina mwajey wa buza? Kuonesha uzalendo?
 
Sio kila mtu ni muongo muongo km unavyonifikiria, nipo leave ya kazi na mshahara wangu unaingia km kawaida so umaskini wa kutupwa wa kupiga vizinga vya kishamba sina.
Ukikaa kujibu kila mtu humu itaingia wazimu mrembo
 
Siku nyingine ukiulizwa kama una Western Ubionjibu ndio; hii sio benki eti lazima ufungue account au app kuwa lazima uwe nayo. Majina yako na inchi uliipao vinatosha kabisa

Kumbe! Nilikua sijui kaka yangu sikuwah kupokea cm kutokea nje nadhani alielewa ndio maana akaamua kudownload tu hiyo worldremit.
 
Hapana, kama nimeolewa sita cheat. Siwezi kucheat kwenye ndoa yangu labda aanze yeye[emoji23].

Ila eti sijaolewa halafu niteseke na fursa naziona?
Hahahahah hutaki kuchezea fursa😅 kabisa dawa yako ni kutiwa pete tu!
 
Niliongelea kauli ya general dada, pole kama nimekukwaza.
Ninatambua kuna mabinti wanatambua thamani zao na hawana bei so pesa haiwasumbui hata kama hawana.
Pili ukubwa wa njaa za dada zetu sisi wanaume tunalijua vizuri zaidi.

Ni kweli hata mimi nina marafiki na ndugu naliona hilo tunahitaji kujaribu sana kujikwamua hata kwa vibiashara vidogo dogo ili tusiwe tegemezi, hao wazungu wenyewe si kwamba wana hela nyingi km watu wanavyodhami ila ni sababu tu wametengenezwa kua hardworkers tangia wakiwa wadogo..hukunikwaza chochote bro uliongea ukweli.
 
Asante umenyooka kama rula...which is good[emoji16][emoji16]
Sasa wanaume weusi ndio hamtutaki tena jmn?
Mguu unaendeleaje dada.
 
Asante umenyooka kama rula...which is good[emoji16][emoji16]
Sasa wanaume weusi ndio hamtutaki tena jmn?
Mguu unaendeleaje dada.

Tunawataka tu jamani sema mimi dada yako napenda sana wake majamaa weupe[emoji16][emoji16], tena awe slim halafu tall hahaha navitiwa nao for sure no need to hide.
 
Cha kwanza nilichokiona tu kwako una tatizo la njaa kwenye mahusiano sio rahisi kwa mtu wa kawaida kukwambia hilo ila most girls wanaowinda wazungu huwa ni sababu ya njaa tu na si kingine. Cha pili tuliza mshono.

Huyo jamaa atakutafuta tu usioneshe kuwa demanding sana huwa mambo yanaendaga smooth tu!
Column yakwanza sijapenda ulivyomchana ila ya pili umempa ushauri mzuri tu.

Sio kwamba mtu anaetafuta mtu wa nje ya nchi yake ana njaa km unavyosema bali yeye kasema anapenda mahusiano yake yawe na mtu wa aina ile
 
Umenielewa vizuri sana mkuu...asante.
 
Back
Top Bottom