Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Umepiga penyewe. Mengine ni kupotezeana time. Atulize akienda ovyo linasanuka
 
One of the key lessons this life offers is " Nothing is permanent". Move on sister,your expectations will push you into more pain and disppointment. He was there for you and now you are no longer a priority. Accept is in your heart and look for other options. Life is never short of goof men. Pole sana dada.
 
Kuna wenzio WA KIUME wengi tu wanaolewa na kusukwa nywele na vibibi vya kizungu hapa Arusha kwa sababu ya NJAA.

Anyway pambana tupate Shemeji
 
Tulia basi dah
 
Column yakwanza sijapenda ulivyomchana ila ya pili umempa ushauri mzuri tu.

Sio kwamba mtu anaetafuta mtu wa nje ya nchi yake ana njaa km unavyosema bali yeye kasema anapenda mahusiano yake yawe na mtu wa aina ile
Sawa kabisa
 
Kwahiyo sasa hivi ukipata mzungu amekuelewa na ana mkwanja mrefu haukubali? Unaendelea kubaki na sisi akina mwajey wa buza? Kuonesha uzalendo?
Eeh nimegundua akina mwajey mna udongo special sana😅 ntakomaa nanyie kuonesha uzalendo
 
Naona mapenzi yamechukua sura mpya sikuhizi! 😅😅😅 Vijana mnadanga kwa kupokezana vijiti waume kwa wakike😅
 
Umepiga penyewe. Mengine ni kupotezeana time. Atulize akienda ovyo linasanuka

Kukutoa kwenye mindset yako inahitaji nguvu kubwa sana ambayo kwa ss hv sina...anyways asante kwa mawazo yako pia mkuu.
 

Thanks bro asante kwa ushauri wako[emoji120]
 
Kuna wenzio WA KIUME wengi tu wanaolewa na kusukwa nywele na vibibi vya kizungu hapa Arusha kwa sababu ya NJAA.

Anyway pambana tupate Shemeji

Dah maskini! Kumbe sababu ya njaa...Mungu awasaidie tu kwa mweli watoke kwenye hicho kifungo wasiwe watumwa wa ngono sababu ya njaa.
 
Dah maskini! Kumbe sababu ya njaa...Mungu awasaidie tu kwa mweli watoke kwenye hicho kifungo wasiwe watumwa wa ngono sababu ya njaa.

Mkuu Kwa hiyo huna holder temporal hapa Nyumbani , [emoji23]
 
Kumbe! Nilikua sijui kaka yangu sikuwah kupokea cm kutokea nje nadhani alielewa ndio maana akaamua kudownload tu hiyo worldremit.
Nasi ndio hivyo western union unaenda bank yoyote yenye hizo huduma unavuta mpunga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…