Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Hakuna kiwango cha AC kuwashwa halafu izimwe. Hakuna kitu kilichotengenezwa na binadamu kisicho na madharaHii umetoa wapi boss? Maana ninavyojua AC ni hatari hata kwa mapafu achilia mbali mambo mengine so huwa zina tahadhari.
Atasinzia.Pale kwa dereva huwa hafungi kioo
Sawa mkuu.Hakuna kiwango cha AC kuwashwa halafu izimwe. Hakuna kitu kilichotengenezwa na binadamu kisicho na madhara
Kikawaida AC inatakiwa ifanyiwe maintainance kubwa angalau mara mbili kwa mwaka ili kupunguza hiyo athari.
Kama unaona AC ni hatari kwa mapafu yako achana ofisi zenye AC au mabasi yenye AC panda gonga nyundo cha muhimu kufika.
Fully air-conditioned buses waachie watu wanaotaka comfortability wakati wa safari nje kukiwa na joto kali
Mfumo huo upo sema unaona wa ndege upo sahihi ila changamoto yake ni kubwa watu wengi huwa wanakosa hewa na kupewa visaidizi mkuu bus nyingi mfumo wa AC haupo kulingana na idadi ya watu ndio maana unaona unakosa hewa haya matatizo hayapo kwenye body za Iriza.Ndege zina mfumo maalumu wa kuchakata, kuingiza oxygen na kutoa hewa chafu nje unaoitwa Environmental Control System(ECS).
Iko hivyo mkuu, ukiacha mabasi kuna majengo ofisi zao AC ni saa 24 mwaka mzimaUmesoma kwa ajili ya kujibu na sio kuelewa!!
Hiki ndicho kitu Yoda na genge lake hawajuiHakuna basi zinaruhusu haja kubwa!!
Machine za hewa zimepimwa kulingana na ukubwa uliopo..
Ni salama kabisa.
Sababu ya kusinzia ni kukosa hewa safiAtasinzia.
Yap. Hewa inachangia sana uchovu.Sababu ya kusinzia ni kukosa hewa safi
Sasa mtu hujawahi panda ndege, utaongeleaje kitu hujui🙆♂️🙆♂️🙆♂️Mkuu hizi changamoto za mifumo ya hewa hua unaiona kwenye Kimbinyiko na Najmunisa tu au hata ukipanda ndege za masafa marefu?
Ac ya gari inachukua hewa(ambayo ndani yake kuna oxygen) inaipooza. Baada ya kuipooza inaiingiza hewa hio ya baridi(ikowa na oxygen) ndani ya gari. Baadae inatoa hewa nje ya gari na kuipooza tena. Au inaendelea kuchukua hewa nje na kuipooza na kuingiza kwenye gari. Kusema kuwa huwa inazungusha hewa ile ile tu sio kweli.Sasa mkuu mimi sio engr sina uelewa wa haya mambo ila najua kuwa AC haina uwezo wa kuongeza oxygen mpya, sasa kama nilikuwa najidanganya na Ai nayo inasema uongo basi sawa.
Wewe mchina pori hakuna mtu anaweza kukaa kwenye kiti cha ofisi masaa mawili mfululizo hajaenda chooni, kunywa chai, kula, kuvuta sigara n.k hapo bado hujazingatia nyumba haziwi airtight kama bus za Wachina wako zinapofungwa vioo na milango.Iko hivyo mkuu, ukiacha mabasi kuna majengo ofisi zao AC ni saa 24 mwaka mzima
Hiki ndicho kitu Yoda na genge lake hawajui
baada ya kuona heding tu kabla sijafungua nikasema KUTAKUWA TU NA MPUUZI ATAKAETOLEA MFANO WA NDEGE, NA ATAKEJELI KWA KUSEMA UKIPANDA NDEGE UTAFUNGUA VIOO?😁, na nimewakuta 🙌😁 so bro utapata tabu sana kuwaelewesha, kitu ningependa wajue ni kuwa HEWA NDANI YA NDEGE HAITOKI NDANI TU BALI PIA INATOKA NJE(kwa maana ya mzunguko), kwa kifupi HEWA NDANI YA NDEGE IMEFANYWA IWE SAFI KWA 100%, na mvutaji anavuta hewa mpya kila pumzi, vp kuhusu hizi za KWENYE YUTONG ziko salama 100%? hapo ndipo wanapo chemshaBasi niseme mfumo madhubuti wa ECS
Una hoja...UZINGATIWE..!🤝Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Ni majengo yasiozingatia Afya mahala pa kazi.Iko hivyo mkuu, ukiacha mabasi kuna majengo ofisi zao AC ni saa 24 mwaka mzima
Hiki ndicho kitu Yoda na genge lake hawajui
Wewe hujaelewa ila sasa naona kama hutotaka kuelewa.Iko hivyo mkuu, ukiacha mabasi kuna majengo ofisi zao AC ni saa 24 mwaka mzima
Hiki ndicho kitu Yoda na genge lake hawajui
Umetumia AI ila ime "prompt" isivyo, nimetumia AI pia nikiilezea itumie taarifa za kisayansi na haya ndiyo majibu yake kwa kirefu.Nimemuiliza Ai.
standard automotive or residential air conditioning (AC) systems do not supply oxygen. They simply cool, heat, and circulate the existing air inside a space. Here's why:
❌ What AC Does Not Do:
- It doesn’t generate or add oxygen
- It doesn’t filter out carbon dioxide or other gases
- It doesn’t pressurize or regulate oxygen levels
✅ What AC Does:
- Cools or heats air using refrigerant and heat exchange
- Moves air through fans and ducts
- May filter dust or pollen (if equipped with basic filters)
🛫 Oxygen Supply Systems
If oxygen needs to be added — like in airplanes, hospitals, or high-altitude environments — that requires a dedicated oxygen system, not AC. For example:
So if you're ever customizing a vehicle or explaining HVAC specs to a customer, it's good to clarify that AC improves comfort, but oxygen control is a separate system entirely
- Aircraft ECS includes pressurized oxygen tanks or generators
- Hospitals use medical-grade oxygen delivery systems
- Some high-altitude vehicles or labs use oxygen enrichment systems
Hahaha eti Irizar ni ushamba tu unakusumbua mabasi yote viwango vya AC vinafanana iwe ni Irizar au YutongMfumo huo upo sema unaona wa ndege upo sahihi ila changamoto yake ni kubwa watu wengi huwa wanakosa hewa na kupewa visaidizi mkuu bus nyingi mfumo wa AC haupo kulingana na idadi ya watu ndio maana unaona unakosa hewa haya matatizo hayapo kwenye body za Iriza.
AC inazungusha hewa iliyopo ndani iliyoingia kupitia vents au tube au mfumo wowote kisha inaichakata. Tukijazana sehemu fulani kisha AC ikafungwa ila oxygen haitoshi, bado tutakuwa na tatizo la oxygen pamoja na uwepo wa AC.Ac ya gari inachukua hewa(ambayo ndani yake kuna oxygen) inaipooza. Baada ya kuipooza inaiingiza hewa hio ya baridi(ikowa na oxygen) ndani ya gari. Baadae inatoa hewa nje ya gari na kuipooza tena. Au inaendelea kuchukua hewa nje na kuipooza na kuingiza kwenye gari. Kusema kuwa huwa inazungusha hewa ile ile tu sio kweli.
Kwemye case ya ndege ni tofauti kwasababu ikiwa huko juu sana hakuna oxygen au kuna level ndogo ya oxygen huko angani.
Ni kweli, Yani unakaa ndani ya bas Hadi unakosa utulivu maana hewa ni nzito af wanasisitiza kufunga vioo.Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Wewe ndio umei promt AI vibaya na hitimisho lake linathinitisha hilo, hakuna mtu anayesema AC ya bus inasababisha hewa kukosekana ndani ya Bus bali kufunga vioo vyote vya bus eti AC itafanya hiyo kazi ya kuingiza Oxygen na kutoa hewa chafu nje.Umetumia AI ila ime "prompt" isivyo, nimetumia AI pia nikiilezea itumie taarifa za kisayansi na haya ndiyo majibu yake kwa kirefu.
Hii ni hoja ya kiufundi na kimsingi ya kisayansi kuhusu mifumo ya kiyoyozi (AC) kwenye mabasi ya abiria:
1. Mfumo wa Uzungushaji Hewa (Air Recirculation vs Fresh Air Intake)
- Mifumo mingi ya AC ya mabasi ya kisasaina modes mbili:
- Recirculation mode – inazungusha tena hewa ile ile ya ndani ya basi. Hii husaidia baridi kufanikishwa haraka na inapunguza matumizi ya mafuta kwa sababu mfumo haulazimiki kupooza hewa moto kutoka nje.
- Fresh air intake mode – huchukua hewa safi kutoka nje, kui-filter, kisha kuichanganya na hewa ya ndani.
- Kihandisi, mabasi ya masafa marefu huwa na mchanganyiko wa hewa safi na recirculated air (kwa mfano, 20–30% fresh air + 70–80% recirculation). Hii inalenga kudumisha kiwango cha oksijeni na kupunguza accumulation ya kabondioksaidi (CO₂).
2. Hatari ya Kushuka kwa Oksijeni Ndani ya Basi
- Kisayansi: Binadamu anapumua, hewa ya oksijeni (O₂) hupungua na kabondioksaidi (CO₂) huongezeka.
- Ikiwa basi litakuwa limefungwa kabisa na AC ikawa kwenye full recirculation kwa muda mrefu (bila fresh air intake), kiwango cha O₂ kinaweza kushuka taratibu huku CO₂ ikipanda.
- Dalili za viwango vya juu vya CO₂ (>1,000 ppm) ni uchovu, maumivu ya kichwa, kichefuchefu, na kupoteza umakini. Kwa viwango vya juu zaidi, inaweza kuleta madhara makubwa kiafya.
- Hata hivyo, mifumo ya mabasi ya abiria mara nyingi huundwa kuhakikisha kuna kiwango fulani cha hewa mpya kinachoingia, ili kuzuia tatizo hili.
3. Ushauri Kuhusu Matumizi ya AC Katika Mabasi ya Masafa Marefu
- Kitaalamu inashauriwa:
- AC iwe inafanya kazi muda wote wa safari ili kudumisha joto na unyevunyevu salama kwa abiria.
- Kwenye masafa marefu, mfumo uwe ume-set kwenye mixed mode (fresh air + recirculation). Hii inahakikisha kuna mzunguko endelevu wa hewa safi kuzuia upungufu wa oksijeni na kuondoa gesi chafu.
- Kuepuka full recirculation kwa masafa marefu (zaidi ya dakika 30–60 mfululizo) bila kuingiza fresh air.
- Wakati wa mapumziko (mfano basi likisimama kituo), madirisha au milango inaweza kufunguliwa kwa muda mfupi ili kuongeza hewa safi zaidi.
4. Hitimisho
- AC ya basi haisababishi hewa kukosekana endapo imewekwa kwa mpangilio sahihi, kwa sababu inaingiza kiasi cha hewa mpya.
- Hatari ipo tu endapo basi litakuwa kwenye 100% recirculation mode kwa muda mrefu bila fresh air intake.
- Kwa usalama wa kiafya na faraja ya abiria, inashauriwa AC iendelee kuwashwa safari nzima, lakini ikiwa katika mpangilio wa kuchanganya hewa ya ndani na hewa mpya ya nje.