Na hizi ndio NDOA ZENU: Mwamba kashaangukiwa na chuma kizito

Mimi mwakani nataka niongeze mke wa tatu. Baada ya miaka minne nikiwa hai, nafunga hesabu, wafike wanne.
 
acha kupotosha watu,kila mtu abet mech zake.
 
Hahahhahahha nimependa hapo kwa mstari wa mwisho
 
sikuona haja ya kutaja ualimu,,,


singo konki katika ubora wako siku ukinyofoka huo mguu ndo utajua umuhimu wa AISHA.
 
Najaribu kutafakari tu...

Tunayovumilia wanawake ni mengi kuliko mnayovumilia nyie....

  • Harufu ya pombe za late hours,
  • Harifu ya sigara
  • Michepuko na pattern za kutosha
  • Muda mwingi MPIRA, VITI VIREFU, STORY ZA MEN TALKS
  • Muda mwingi wa kulea kuanzia mimba mpaka mtoto na wanaume wengi wanaamini jukumu Lao ni KUTOA HELA TU BASI...

Mungu aiponye ndoa yao na KUWAJALIA UTULIVU NA MAISHA MEMA KATIKA KRISTO

Basi na nyie vumilieni kidogo...
 
Vijana wa sasa wanasema mhuni kachomwa pembe
 
Na sisi ambao ndoa zenu zimefanikiwa unatueleza nini? Au tukueleze uoe?
 
Labda useme kwa asimilia kubwa huwa hawana furaha
Ikiwa asilimia kubwa haina furaha basi kwenye research tunasema "The hyphaothesis is rejected" then ndoa HAINA MANUFAA TENAA KWA AFYA YA AKILI.

#YNWA
 
sikuona haja ya kutaja ualimu,,,


singo konki katika ubora wako siku ukinyofoka huo mguu ndo utajua umuhimu wa AISHA.
Babu yangu alipoteza bibi (mke) akiwa na miaka 60.
Mpaka na yeye anakufa akiwa na miaka 115 sikuona shida yake.
115 - 60 = 55
Aliishi miaka 55 pekee yake.

Nina ndugu zangu (wakina mama) kibaoo hawajaolewa na nawaona tu maisha yanaenda na hela zipo na WANATAFUTA hasaaa.

Na iko hivi....
Wapo kibao walioa na wakakimbiwa baada ya kupata Majanga.

#YNWA
 
Madam..
Hakuna dhambi inayouma kwa mwanaume kama KUCHAPIWA MKE.

HAKUNAA

#YNWA
 
Kama rafiki mwema....sikuona haja ya kutoa uzi wa rafiki yako kwa namna ya kumnanga......ndoa haina formula......ndio maana unaambiwa ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji......dunia duara, yaliyomkuta yanaweza kukukuta wewe.....na makubwa hata zaid yaliyomkuta yeye.....tuwe na huruma kwa wenzetu wanapopitia magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…