Pamoja na kwamba id ya mdau huyu imenipotea mbonini lon time na kuanza kuisahau kiasi flani !
Nwy nakutakia kila la kheri Ladyswit .
Happy Birthday mtoto wa geti kali sweetlady
CC: Mungi PakaJimmy Mzee wa Rula Lily Flower Crashwise Preta GanjaPlanter jouneGwalu BAK snowhite Fixed Point gfsonwin KakaKiiza Blaki Womani KOKUTONA Dark City Paw Moderator Mamzalendo
Happy birthday mke wangu wa zamani bado namlilia mwanangu uliyetoroka naye, Heaven on earth saidia katika hili damu ya familia isipotee
yupo wapi kwanza maana mwaka huu mzima sijamuona.
nataka nimpe bonge la hug
Nipe mimi baba yake kwa niaba....haya 1, 2, 3 waaaaaoooh!!!
ujue kweli hatujaonana siku mingi..happy birthday dear..i wish u all the happiness in this word!ubarikiwe utokapo na uingiapo uwe mama wa makumi elfu kwa kila ugusacho.....Mwaaaaaaaaaaaaaaah... Nimegundua siku hizi hunipendi ndio maana hujaniona mwaka mzima lol...
hahahaaa...... Huyo Muuza Sura hajui kuwa utamu wa birthday ni keki?
ujue kweli hatujaonana siku mingi..happy birthday dear..i wish u all the happiness in this word!ubarikiwe utokapo na uingiapo uwe mama wa makumi elfu kwa kila ugusacho.....
Asante sana Arushaone... Ila siku hizi nimeanza kujifunza kuruka fensi lol