Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

Ukosefu wa Ajira umekuwa changamoto kubwa. Vijana wanaanza kuweweseka mitaani kama huyu mleta mada.
 
Mzee mi sijasoma niwe fundi elimu yangu ni kubwa sana
Sasa ndio mmeagizwa badala ya kulala Gheto na kulalama muende VETA muwe mafundi wazuri na muanzishe viwanda vya bidhaa mbalimbali mtengeneze fursa za ajira ili watu kama wewe wasibebe zege bali wabebe laptops.
 
Sifanyi hizo mishe za kishamba Mimi ni brand
 
Maisha yana mengi sana mkuu. Siku hizi siwezi judge mtu maana kila mtu ana story na sababu za kuwa jinsi alivyo

Kuna experiences huwa sitaki kuzikumbuka
 
Kama Taifa na sisi Jamii ni aibu na upuuzi wa hali ya juu kukusomesha kwa kodi zetu alafu kuacha kutumia nguvu kazi hio na kukufanyisha kazi ambayo tungekuwa na akili na busara tungetumia cranes au hata Pulleys ya kuhakikisha zege hiyo inafika ghorofani bila kuharibu afya za mwanajamii...

Unabeba Zege unapewa buku kumi kwa siku ingawa unaharibu afya au risk ya kutenguka kiuno ili BIMA (Taifa) likugharamikie mamilioni....

We have lost the Plot as a Country...; Na mchina akija akifanya hizi kazi huku tunalalamika kazi zetu zile za kina DP World Bandarini tunasema hatuwezi watufanyie... ili walete mashine watugawie faida
 
Jamaa hayupo jf mchane waziwazi kuwa huko ndio hukutana na mengine
 
Kabisa mkuu
 
Pesa ipo nyingi sana labda we ndio punga
Siwezi kuwa punga maana siogopi maisha.

Ila wewe ni prospective punga, pale utapokutwa na dilemma ya either kubeba zege ama kupakatwa ili ule, chances are you will opt for the latter in the name of kulinda brand.
 
Sifa ya mapunga ni kuzungumzia upunga pole sana mkuu Kwa yaliyokukuta
 
maelezo yako yamekaa kinafiki, unawaponza vijana wenzio. unawapa morali ya uongo! lakin safi we linda brand meen!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…