Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand


Usomi gani unao, mbona uandishi wa kidato chapili?
 
Mkuu na mimi nilikuwaga na mawazo kama yako lakini maisha ndio yanakupangia wewe uwe nani ufanye nini, leo hii mimi na shule yangu ni saidia fundi natumwa hovyo huko masite na mitusi juu, wengine wanakejeli kwamba nani alikwambia ukimbie shule wasijue shule ninayo ila nimeamua kushuka ili nipate chochote niendelee kuwa hai hapa duniani.
 
We ni haki yako
 
omba MUNGU yasikukute,otherwise kama unaishi ghetto kwa dada ako umepewa stoo huko uwani unalala kama mbwa, huwazi kodi wala chakula, bills za maji umeme anamaliza shemeji ako
Hasira za nini beba zege mshamba wewe kukuambia ni haki Yako mishipa inaanza kukutoka beba zege kama punda kwani nimekukataza pambana na Hali Yako ngedere pori wewe
 
Hasira za nini beba zege mshamba wewe kukuambia ni haki Yako mishipa inaanza kukutoka beba zege kama punda kwani nimekukataza pambana na Hali Yako ngedere pori wewe
Ni bora nibebe zege kuliko kwenda kukaa alipoolewa dada angu
 
Saiv unasubir ukoko kama mbwa huko stoo ulikopewa na shemeji ako
Mzee umechanganyikiwa au mbona hueleweki unachoongea au zege limekudatisha duuh maana mara ukoko mara stop mara shemeji yaani husomeki unachokiongea🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila kweli Kuna kazi hata wasio soma awawezi kufanya haswa iyo ya kubeba zege. Wale unao waona ni wazoefu na Wana vikundi vyao.
Na Mimi kazi ya ulinzi wa getini au kulinda chochote siwezi kufanya.
 
Ila kweli Kuna kazi hata wasio soma awawezi kufanya haswa iyo ya kubeba zege. Wale unao waona ni wazoefu na Wana vikundi vyao.
Na Mimi kazi ya ulinzi wa getini au kulinda chochote siwezi kufanya.
Hiyo picha kama ni wewe... Umebarikiwa Uzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…