Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
- #201
SUPER GOD wa dini yeyote ile sifa zake kuu huwa ni zile zile.S
SUPER GOD WA DINI IPI SASA...MAANA KILA DINI INA SUPER GOD WAKE MKUU???
Mfano : Yeye ndiye muumba wa kila kitu, hajazaa wala kuzaliwa,haonekani kwa macho (ni roho).
Hizo baadhi tu ya sifa za SUPER GOD.
Awe kwenye dini yeyote ile ila kama ana sifa hizo basi ndiye mkuu