Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

S

SUPER GOD WA DINI IPI SASA...MAANA KILA DINI INA SUPER GOD WAKE MKUU???
SUPER GOD wa dini yeyote ile sifa zake kuu huwa ni zile zile.

Mfano : Yeye ndiye muumba wa kila kitu, hajazaa wala kuzaliwa,haonekani kwa macho (ni roho).

Hizo baadhi tu ya sifa za SUPER GOD.

Awe kwenye dini yeyote ile ila kama ana sifa hizo basi ndiye mkuu
 
Hapana umekariri mkuu...,...ZINATOFAUTIANA!!!!!!SIFA ZA MBAKASO NA SIFA ZA ALLAH NI TOFAUTI......NA SIFA ZA YEHOVA NA SIFA ZA ALLAH NI TOFAUTI......NA SIFA KRISHINA NA SIFA ZA SHIVO NI TOFAUTI MKUU....
 
We unajuaje Ni mmoja, unajuaje Ni Allah au yahweh, unajuaje Ni mwanaume au mwanamke, kwanini kisiwe kitu sio Mungu. Unasema vyote hivi kwa sababu ya dini yako kukuambia kwamba Mungu kaumba vyote na Ni mmoja. Ila katika historia ya wayahudi Yahweh alikuwa na partner wa kike lakini dini za kiyahudi na kikristo zimefuta hizi record. Wayahudi nao walikuwa na miungu mingi. Na hata shetani mwenyewe alikuwa nyoka, malaika na baadae sijui Simba sijui dragon. In short hamna mtu anajua kuhusu mwanzo wa dunia. Na dini hizi zimetengenezwa na jamii za kale ambazo hazikujua hata jua linaenda wapi usiku.. afu unategemea wao wawe na majibu ya kila kitu. Fikirieni bac
 
S

SUPER GOD WA DINI IPI SASA...MAANA KILA DINI INA SUPER GOD WAKE MKUU???
SUPER GOD wa dini yeyote ile sifa zake kuu huwa ni zile zile.

Mfano : Yeye ndiye muumba wa kila kitu, hajazaa wala kuzaliwa,haonekani kwa macho (ni roho).

Hizo baadhi tu ya sifa za SUPER GOD.

Awe kwenye dini yeyote ile ila kama ana sifa hizo basi ndiye
Vladmir umezaliwa mwaka gani mpaka historia ya dunia huijui.Hizi dini zenu mpya hazina hata miaka 3000 duniani ila Hinduism na budhasm zilikuepo
Nimezaliwa mwaka 1994,Wewe hiyo miaka 3000 iliyopita ulikuwepo tayari ? 😁😁😁

Any nafikiri si kila mtu anajua kila kitu na ndiyo maana tuko hapa kuelimishana na kukosoana kwa hoja zenye mashiko.

Sijawahi kujua hizo imani zingine zilianza lini tofauti na uisslam na ukristo ndiyo labda najua.

But nimejaribu ku-google inaonesha kwamba U-budha ulianza kama karne ya 5 hivi kabla ya Yesu kuzaliwa, na U-hindu ulianza kama kati ya miaka ya 25000-1500 kabla ya Yesu kuzaliwa.
 
Unajua unasema hivi katika karne ya 21 kwa sababu ya Sayansi na technology. Watu wakale waliamini kwamba miungu(mizimu ya mababu) ilikuwa inaisha kwenye mapango. Baadae wagiriki wakaja na Zeus ambae yupo juu ya mlima Olympus. Baadae wayahudi wakaja na Mungu aliyejuu mawinguni. Na saa hivi hayupo katika ulimwengu. Hii inaonyesha kwamba hizi dini zimetengenezwa kuwa na Mungu ambae haonekani na hawezi kuwa proven. Tumeambiwa yupo kila mahali at the same time hayupo ulimwenguni.. hahaha hizi dini zinajitahidi kumficha Mungu na kuwatishia watu Moto ambao haupo na watu wanaamini
 
Mkuu google inapotosha vitu vingi usiiamini....Wahindu na wabudha ndio dini kongwe duniani mkuu
 
Hapana umekariri mkuu...,...ZINATOFAUTIANA!!!!!!SIFA ZA MBAKASO NA SIFA ZA ALLAH NI TOFAUTI......NA SIFA ZA YEHOVA NA SIFA ZA ALLAH NI TOFAUTI......NA SIFA KRISHINA NA SIFA ZA SHIVO NI TOFAUTI MKUU....
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… MBAKASO ndiye Mungu wa dini gani mkuu ?

Na ukiachana na YEHOVA na ALLAHA, hayo kina KRISHINA na SHIVO wameuumba ulimwengu upi ? au wameumba nini kilicho hai ?
 
Unajua unasema hivi katika karne ya 21 kwa sababu ya Sayansi na technology. Watu wakale waliamini kwamba miungu(mizimu ya mababu) ilikuwa inaisha kwenye mapango. Baadae wagiriki wakaja na Zeus ambae yupo juu ya mlima Olympus. Baadae wayahudi wakaja na Mungu aliyejuu mawinguni. Na saa hivi hayupo katika ulimwengu. Hii inaonyesha kwamba hizi dini zimetengenezwa kuwa na Mungu ambae haonekani na hawezi kuwa proven. Tumeambiwa yupo kila mahali at the same time hayupo ulimwenguni.. hahaha hizi dini zinajitahidi kumficha Mungu na kuwatishia watu Moto ambao haupo
Mkuu google inapotosha vitu vingi usiiamini....Wahindu na wabudha ndio dini kongwe duniani mkuu
Ukweli kabisa. Lakini ukitaka ukweli internet unaupata tumia AI, tumia Wikipedia. Haziandiki uwongo na hazimtetei mtu.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… MBAKASO ndiye Mungu wa dini gani mkuu ?

Na ukiachana na YEHOVA na ALLAHA, hayo kina KRISHINA na SHIVO wameuumba ulimwengu upi ? au wameumba nini kilicho hai ?
MBAKASO NI MUNGU WA ULIMWENGU WA BARA AFRIKA ALIYEWAUMBA WAAFRIKA TU
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… MBAKASO ndiye Mungu wa dini gani mkuu ?

Na ukiachana na YEHOVA na ALLAHA, hayo kina KRISHINA na SHIVO wameuumba ulimwengu upi ? au wameumba nini kilicho hai ?
We huyo Allah unajuaje kakuumba sio Krishna. Una ushahidi gani.. ukipata Nipe. Ukileta Quran sijui Biblia na mi nakuambia kasome story za Zeus na Krishna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…