Jibu Ndio na Kwa mujibu wa Quran hapa ndio anafukuzwa humo peponi alipokuwa anaishi Baada ya kupinga amri ya Mungu ya kumsujudia AdamSwali langu kwako.
Kama aliyeasi alikuwa ni jini siyo malaika, ina maana malaika na majini wote walikuwepo mbinguni na walikuwa wamechangamana pamoja ?
Si ndiyo hapo sasa.Na hapohapo unajiuliza kama kweli Mungu anataka watu tumuelewe, kwanini atumie lugha ya mafumbo?
Hapo ndipo unapojifungia uwezo wa kufikiri.Nafikiri kutumia akili za mwanadamu kumtafakari Mungu ni kukimbiza upepo.
Akili za Mungu hazichunguziki. Isaya 40:28
Duuh...Jibu Ndio na Kwa mujibu wa Quran hapa ndio anafukuzwa humo peponi alipokuwa anaishi Baada ya kupinga amri ya Mungu ya kumsujudia Adam
Qurani 7:18
Akasema: Toka humo, nawe umekwisha fedheheka, umekwisha fukuzwa. Hapana shaka atakaye kufuata miongoni mwao, basi nitaijaza Jahannam kwa nyinyi nyote.
Quran 7:19
Na wewe, Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani hii, na kuleni humo mpendapo. Wala msiukaribie mti huu, mkawa katika wale walio dhulumu.
Duuh...Swali zuri
Kama sisi Ni wa thamani mbona shetani ?
Ni kweli sisi ni wathamani lakini tu wa thamani na wenye nguvu katika yeye (tukifuata matakwa yake) nje ya hapo were useless rejea hadithi za nuhu na gomola. Aliteketeza kwa sababu hawakua na thamani tena
Pili shetani yupo ili kutu challenge kama kama Mungu alivyoamua mwenyewe kuwa tupitishwe kwenya majaribio makali na watakao shinda ndio wakwake.
Tatu rejea mfano wa baba na watoto wanne katika challenge ya kujificha.
Ndio anawapenda sana ila kaamua kuwapa challenge yeye kama baba.
Hiki kitu tunafanya hata kwenye familia zetu Kuna na wapa hard condition wanangu ili wawe bora zaidi na ngangari japo nawapenda
Karibu
Kwa hiyo unataka kunambia kuwa, Mababu zetu walikuwa wakiiomba miungu alafu miungu nayo inaomba kwa Mungu mkuu (muumbaji) ndiyo maombi yao yanajibiwa au ?Lakini nguvu inayotenda kazi ni moja tu kwa imani yoyote. Ni Mungu muumba.
Umaweza ukawa na imani yako leo na ukapokea nguvu ya Mungu yuleyule muumba.
Ni somo refu na pana lakini ukweli ndip huo. Hata mchawi anaenda kwa nguvu ileile ya Muumba. Ndio maana kwa mawazo maovu ya wanadamu kuna maarifa Mungu amewafungia wanadamu.
Ova
We subiri tu aanguke, mwenzako anaachana na Imani potofu na kujiendeleza kisayansi na kitechnolojia na waafrika tukibaki na huu uwoga wetu wa kifikra tutaishia tu kuwekewa satellite na kutengenezewa chanjo.Yes Roman empire ilielezwa kwenye kitabu Cha Danieli.
Ila Marekani na Anguko lake Kwa tafsiri yangu binafsi, naona Ufunuo 17&18....
Marekani itaanguka na kuwa nchi ya kawaida although sijajua lini .
Huu ni uwongo bhan..Ni uchaguzi. Hicho ulichonacho ndicho uliomba kwa Mungu.
Kumbuka kuomba sio kupayuka na kukesha makanisani ukisali.
Hii ndo inaonyeshwa kwamba haya sio maneno ya Mungu Bali Ni story za binadamu.Si ndiyo hapo sasa.
Ma siyo hivo tu, kwanini atugawe katika makundi (dini mbali mbali) alafu atupe vitabu vyenye stori tofauti kumuhusu.
Mfano : Stori zilizoko kwenye Biblia hazifanani sana na zilizoko kwenye Qur'an, unakuta kisa kile kile kimoja kinaelezewa tofauti na upande mwingine.
Mfano: Sababu ya Lucifer kuasi, kwenye biblia ni tofauti kabisa na kwenye Qur'an.
Sababu ya Kaini kumuua Habili kwenye biblia ni tofauti kabisa na ya kwenye Qur'an.
Mahali ilipokuwa Bustani ya Eden kwa mujibu wa Biblia ni tofauti kabisa na kwenye Qur'an.
Aliyetaka kuchinjwa na Ibrahim kama Sadaka, aliyeatajwa kwenye biblia ni tofauti kabisa na kwenye Qur'an.
Sasa kama lengo la Mungu ni sisi tumjue kiusahahihi, kwanini sasa kutugawanya dini tofauti, vitabu tofauti ?
kuna watu hawamjui Mungu na ni matajiriNi uchaguzi. Hicho ulichonacho ndicho uliomba kwa Mungu.
Kumbuka kuomba sio kupayuka na kukesha makanisani ukisali.
Hii inaonyesha hamna tofauti ya kuomba na kutokuomba kwa sababu kitu kinaweza tokea au kisitokee Ni juhudi tu ndo zinaleta maendeleo. Ndo maana wazungu wanajenga viwanda wakati waafrica wanajenga makanisa.kuna watu hawamjui Mungu na ni matajiri
kuomba sio kupata
Lazima kuna namnaa ama sivyo basi binadamu wote sio sawa
Ndio maana nikasema KUMBUKA kuomba sio kukesha na kupayuka makanisa.kuna watu hawamjui Mungu na ni matajiri
kuomba sio kupata
Lazima kuna namnaa ama sivyo basi binadamu wote sio sawa
Kwako ni uongo kulingana na ulichonacho yaani unachofahamu.Huu ni uwongo bhan..
Uwongo kabisa huu π π π
au sio, amna noma mtu wanguNdio maana nikasema KUMBUKA kuomba sio kukesha na kupayuka makanisa.
Halafu wengi mnadhani kusema unamjua Mungu ni kutamka jina lake na kuingia majengo ya ibada.
Huyo unasema hamjui Mungu ndio anamjua zaidi ya wewe ukeshae majengo ya ibada.
Utafiti wa kijiolojia. Kuelewa Hali ya kihistoria ya udongo na mawe duniani. Wanaweza jua kwa kutafiti Kama sehemu fulani mda fulani kulitokea kitu fulani Kama Ni mafuriko tetemeko au mmomonyoko. In short hamna evidence ya dunia nzima kujaa maji na hiki kitu hakiwezekani kifizikia na kibioloji
Kwa ufupi chief Mangungo atakuwa na afadhali kuliko uelewa ulonao katika hili.Kwa hiyo unataka kunambia kuwa, Mababu zetu walikuwa wakiiomba miungu alafu miungu nayo inaomba kwa Mungu mkuu (muumbaji) ndiyo maombi yao yanajibiwa au ?
Mimi kunambia kuwa watu wanaoishi maisha mazuri au ya shida ni maamuzi yao, hapa nakataa.Kwako ni uongo kulingana na ulichonacho yaani unachofahamu.
Kwangu ni ukweli 100% utake ama usitake. Ova
Mi naamini sio juhudi tu kuna jambo tu lipo ndio maana Asia wanaamini sana kuhusu Fate/Destiny yani haya maisha ni kama yamepangwa nahisi ndio mana kuna watu wanafanya unabii wa yajayoHii inaonyesha hamna tofauti ya kuomba na kutokuomba kwa sababu kitu kinaweza tokea au kisitokee Ni juhudi tu ndo zinaleta maendeleo. Ndo maana wazungu wanajenga viwanda wakati waafrica wanajenga makanisa.