Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

"...serve as attachment of muscles and ligament..." kwan mkia hauna muscles and ligament?
Pilodonial sinus unayoongelewa ww ni hii;

View attachment 2608429

Na ndio, nimesema binadamu hajawahi kua na mkia. Tunaongelea binadamu hapa. Ila anaweza akawa nao conditions zikiruhusu.
Bado hujaelewa, ipo hivi Coccyx/tailbone kwenye mwili wa mtu unatumika kama attachment tu ya muscles& ligament, Which means Coccyx haihusiani kabisa na mkia.

Conditions gani zikiruhusu mtu anaweza kuwa na mkia?

Na, Je umekubali kwamba Evolution Theory imedanganya iliposema watu zamani walikua na mikia?
 
Anajicontradict mwenyewe huyo., Mimi aliniweka kwenye ignore list baada ya ngoma kuwa ngumu.
Hakuna sehemu Ngoma ilikuwa ngumu Kwa Karanga bali aliamua tu muishie hapo maana hakukuwa na uwezekano wa kuja kuelewana tena

Wewe unaongozwa na imani ambayo inakupa majibu mepesi kwenye maswali magumu kwahiyo ukikutana na mtu ambae anataka facts hamuwezi kuelewana

Kwahiyo mtu akiamua kusitisha mjadara na wewe haina maana kwamba ulishinda, ila kaona hakuna kitakachobadirika ata mjadili miaka miwili

Huitaji degree yoyote ile kuona kuwa kuna ukinzani kwenye nadharia ya kuamini kuwa kuna Designer/Mungu alieumba Dunia na vyote vilivyopo ila yeye hajaumbwa

Kama utaamini kuwa kuna Designer/Mungu ambae yeye hajaumbwa na ametokea tu from no where kwanini ushindwe kuamini kuwa ata Dunia na vyote vilivyopo pia vimetokea tu from no where

Story za kusema kuwa Mungu Hana chanzo ni Akili zilipoishia waliotunga story za kuhusu Mungu na sio kweli kwamba ndio uwezo wa Mungu kujipambanua umeishia hapo

Kulitakiwa kuwe na story ingine kuhusu chanzo cha Mungu, alikuwa wapi kabla ya kuumba Dunia na vyote vilivyopo, alifanyia wapi field yake hadi kuweza kuumba Kwa kusema tu ulimwengu complex kama huu ndani ya siku 7

Hawa waliotuletea habari za Mungu muweza wa yote, Muumba wa kila kitu, Mjuzi wa yote walijua kabisa kuwa kuna siku watu wataanza kujiuliza kuhusu huu ukuu ambao tumewambia sasa tutawajibu nini?

Tuwape maneno ya kuwajaza hofu, Mambo ya Moto wa milele,Mambo ya kufuru kuhoji ukuu wa Mungu,Mambo ya Dhambi,Mungu hachunguziki,Akili yako ilipoishia ndio ya Mungu inapoanzia na blaaa blaaa kibao

Kadri siku zinavyozidi kwenda namba ya watakaokataa hizi hadith itaongezeka sana maana kuna vitu vingi vinaendelea kujulikana katika huu ulimwengu tofauti na kipindi ambacho hizi hadith zinatungwa

Leo hii Dunia sio flat tena,katika solar system sayari zimeongezeka tofauti na zamani,imejulikana kuna galaxy kibao na inawezekana na huko pia kuna viumbe hai vinaishi,Leo hii inajulikana kuwa Jua halizami kwenye tope tena na mambo kibao

Dini zililetwa na watu/kundi la watu wenye Akili kuliko wengine kujaribu kucontrol watu na kuwapa faraja kipindi ambacho wanaona hawawezi tena kuvumilia changamoto za Dunia

watu wataendelea kuzaliwa katika uislam na ukiristo na ata Dini zingine ila watakuja kuaachana nazo kadri siku zinavyozidi kwenda na kuona kama ni Ujinga na hatimae watu wa Duniani wataongozwa na LAWS OF THE UNIVERSE sio Hadith za kufikirika tena

Kutatokea kundi la watu ambao wataanza kuishi pamoja kama mke na Mume wakiwa hawana Dini na kuzaa kizazi ambacho hakina Dini, taratibu na hatimae hizi Dini za mababu zitakuja kufa ata kama sio leo ila hizo siku zinakuja

Maana kuzaliwa katika Dini fulani sio uchaguzi wa mtoto bali waga ni uchaguzi wa wazazi, alie mkristo leo ni Kwa sababu kazaliwa na wazazi wakristo na alie Muslim ni Kwa sababu kazaliwa na wazazi waislamu hakuna uspesho wowote ule katika kuzaliwa kwenye hizi Dini mbili

Walio upande wa Islamic hujiona kama wako upande mzuri ndomana hujiita Dini ya haki, ila uhalisia hakuna chochote, walioandika Bible ndio hao hao walioandika Qur'an, na ndomana wamejitahidi sana kuedit sehemu nyingi ambazo kwenye Bible waga zina ukakasi

Wakachukua vingi ambavyo zipo kwenye agano la kale na kuvitoa pia vingi, wakachukua vilivyopo kwenye uyahudi, ni sawa Tu na mwanafunzi ambae anafanya mtihani kwa kupiga chabo mara nyingi hupata mark's nyingi

TAFADHARI SANA SITAKI COMMENT YANGU IGUSWE, DAMU ITAMWAGIKA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bado hujaelewa, ipo hivi Coccyx/tailbone kwenye mwili wa mtu unatumika kama attachment tu ya muscles& ligament, Which means Coccyx haihusiani kabisa na mkia.

Conditions gani zikiruhusu mtu anaweza kuwa na mkia?

Na, Je umekubali kwamba Evolution Theory imedanganya iliposema watu zamani walikua na mikia?
Conditions kama hao watu wanaozaliwa na mkia wakiwa superior katk kuishi, tuseme mfano wawe resistant kwa magonjwa. Baada ya vizazi vingi baadae utakuta wamebaki wao tu. Au ukifanya selective breeding au ukiengineer genes zao...

Evolution haisemi kua binadamu aliwahi kua na mkia.
 
Skia nikwambie
Unaongelea karne nyingi kabla ya kuzaliwa kwa kristo. Jiulize technology Yao ilikuwa level gani, sheria zao zilikuwaje, na hivyo. Kingine mambo ya miungu haijaanza kwenye ukristo sijui uhindi. Umeanza miaka ya kale wakati binadamu ni wawindaji maporini. Issue Ni kwamba mtu anakuwa ana maswali mengi kuhusu ulimwengu ambayo kwa kipindi kile angefikiria Sana na kupoteza mda kuliko kuwaza Mambo ya msingi Kama kusurvive kutoliwa na wanyama wakali na kupata chakula. Hivyo bac..waliaminisha watoto miungu ipo kwenye mapango ambao wazee tu wanaingia ..baadae vijana wakavamia mapango na wakaona ni uwongo tu..wakaja wagiriki wakaweka miungu yao juu ya mlima Olympus lakini watu washapanda milima yote na hamna miungu kule. Waviking wakasema miungu yao ipo sayari jirani ya Asgard. Watu wametembea sayari zote solar system bila kuniona hiyo miungu. Wayahudi wakaja na Yahweh mawinguni..nae wazungu wametengeneza ndege tunavuka mawingu kila siku hatuoni Mungu. Hivyo wakaamua kumficha kabisa na kusema hayupo ulimwenguni. Jiulize why wanamficha, wanamficha ili kuweza kuweka sheria zozote na kusema ni za Mungu coz nani atabisha Sasa, afu wanakupromise zawadi na adhabu baada ya kufa coz wanajua hamna mtu anarudigi kwa hiyo inabidi tu uamini coz unaogopa kitachokukuta usipoamini na hivyo wanaendelea kukucontrol unakuwa mtumwa wa dini Yao. Lakini now nchi zilizoendelea zimegundua huu upuuzi na Sasa zinaishi maisha kuboresha binadamu anavyoishi na sio kushika maadili ya mababu wa jamii fulani huko mbali ambao hawakujua hata Kama dunia ndo inazunguka jua.
In short no spirituality sijui idealism. Sayansi imeshatuonyesha everything ni kwenye ubongo. Ubongo wako ukiharibika huwezi waza huwezi fanya chochote. Hamna Cha roho ni ubongo..na ukifa unaoza.
sawa, lakini kama ni hivo basi itabiti usiseme kuwa "vitabu vya dini vimewafanya watu kuwa wajinga" bali inaonesha ujinga ulikuwepo tangu zamani hata kabla ya hizo Biblia na Qur'an kuja.

Mfano nimekupa hao wanafalsafa wa ugiriki ya kale walioamini kwenye Idealism kuwa THE SOURCE OF ALL KNOWLEDGE IS FROM GOD
 
Bado hujaelewa, ipo hivi Coccyx/tailbone kwenye mwili wa mtu unatumika kama attachment tu ya muscles& ligament, Which means Coccyx haihusiani kabisa na mkia.

Conditions gani zikiruhusu mtu anaweza kuwa na mkia?

Na, Je umekubali kwamba Evolution Theory imedanganya iliposema watu zamani walikua na mikia?
Kuna law inaitwa "The law of use & dis-use of something" ndiyo iliyotuingiza mkenge siku zile hatujielewi 😅😅😅
 
Hakuna sehemu Ngoma ilikuwa ngumu Kwa Karanga bali aliamua tu muishie hapo maana hakukuwa na uwezekano wa kuja kuelewana tena

Wewe unaongozwa na imani ambayo inakupa majibu mepesi kwenye maswali magumu kwahiyo ukikutana na mtu ambae anataka facts hamuwezi kuelewana

Kwahiyo mtu akiamua kusitisha mjadara na wewe haina maana kwamba ulishinda, ila kaona hakuna kitakachobadirika ata mjadili miaka miwili

Huitaji degree yoyote ile kuona kuwa kuna ukinzani kwenye nadharia ya kuamini kuwa kuna Designer/Mungu alieumba Dunia na vyote vilivyopo ila yeye hajaumbwa

Kama utaamini kuwa kuna Designer/Mungu ambae yeye hajaumbwa na ametokea tu from no where kwanini ushindwe kuamini kuwa ata Dunia na vyote vilivyopo pia vimetokea tu from no where

Story za kusema kuwa Mungu Hana chanzo ni Akili zilipoishia waliotunga story za kuhusu Mungu na sio kweli kwamba ndio uwezo wa Mungu kujipambanua umeishia hapo

Kulitakiwa kuwe na story ingine kuhusu chanzo cha Mungu, alikuwa wapi kabla ya kuumba Dunia na vyote vilivyopo, alifanyia wapi field yake hadi kuweza kuumba Kwa kusema tu ulimwengu complex kama huu ndani ya siku 7

Hawa waliotuletea habari za Mungu muweza wa yote, Muumba wa kila kitu, Mjuzi wa yote walijua kabisa kuwa kuna siku watu wataanza kujiuliza kuhusu huu ukuu ambao tumewambia sasa tutawajibu nini?

Tuwape maneno ya kuwajaza hofu, Mambo ya Moto wa milele,Mambo ya kufuru kuhoji ukuu wa Mungu,Mambo ya Dhambi,Mungu hachunguziki,Akili yako ilipoishia ndio ya Mungu inapoanzia na blaaa blaaa kibao

Kadri siku zinavyozidi kwenda namba ya watakaokataa hizi hadith itaongezeka sana maana kuna vitu vingi vinaendelea kujulikana katika huu ulimwengu tofauti na kipindi ambacho hizi hadith zinatungwa

Leo hii Dunia sio flat tena,katika solar system sayari zimeongezeka tofauti na zamani,imejulikana kuna galaxy kibao na inawezekana na huko pia kuna viumbe hai vinaishi,Leo hii inajulikana kuwa Jua halizami kwenye tope tena na mambo kibao

Dini zililetwa na watu/kundi la watu wenye Akili kuliko wengine kujaribu kucontrol watu na kuwapa faraja kipindi ambacho wanaona hawawezi tena kuvumilia changamoto za Dunia

watu wataendelea kuzaliwa katika uislam na ukiristo na ata Dini zingine ila watakuja kuaachana nazo kadri siku zinavyozidi kwenda na kuona kama ni Ujinga na hatimae watu wa Duniani wataongozwa na LAWS OF THE UNIVERSE sio Hadith za kufikirika tena

Kutatokea kundi la watu ambao wataanza kuishi pamoja kama mke na Mume wakiwa hawana Dini na kuzaa kizazi ambacho hakina Dini, taratibu na hatimae hizi Dini za mababu zitakuja kufa ata kama sio leo ila hizo siku zinakuja

Maana kuzaliwa katika Dini fulani uchaguzi wa mtoto bali waga ni uchaguzi wa wazazi, alie mkristo leo ni Kwa sababu kazaliwa na wazazi wakristo na alie Muslim ni Kwa sababu kazaliwa na wazazi waislamu hakuna uspesho wowote ule katika kuzaliwa kwenye hizi Dini mbili

Walio upande wa Islamic hujiona kama wako upande mzuri ndomana hujiita Dini ya haki, ila uhalisia hakuna chochote, walioandika Bible ndio hao hao walioandika Qur'an, na ndomana wamejitahidi sana kuedit sehemu nyingi ambazo kwenye Bible waga zina ukakasi

Wakachukua vingi ambavyo zipo kwenye agano la kale na kuvitoa pia vingi, wakachukua vilivyopo kwenye uyahudi, ni sawa Tu na mwanafunzi ambae anafanya mtihani kwa kupiga chabo mara nyingi hupata mark's nyingi

TAFADHARI SANA SITAKI COMMENT YANGU IGUSWE, DAMU ITAMWAGIKA
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
Mkuu, Sijasema Nimeshinda au nimeshindwa mjadala........

Mimi ni miongoni mwa watu wasioamini blindly,.... Na hata Imani ya dini yangu imehimiza kwenye kutumia akili.

Hivyo basi, basi elewa kwamba hakuna binadamu yoyote kwenye Dunia hii mpaka leo tunapozungumza ambae anaweza kuja na facts 100% bali kuna sehemu akili na elimu tuliyonayo inaishia hapo.

Hiyo Sayansi yenyewe kuna muda inakwama na inakua Imani kama Imani zingine(Ndiyo maana theories nyingi zinakua na statement"It's believed that Billions of years ago") Kutokana na ukweli kwamba akili na elimu tuliyonayo ipo limited.

Hivyo Sayansi pia kuna muda inakua Imani kama ilivyo Imani ya Dini.
 
Kuna law inaitwa "The law of use & dis-use of something" ndiyo iliyotuingiza mkenge siku zile hatujielewi 😅😅😅
Hahhh, sasa shida ndiyo mtu anaamini hiyo theory 100% tena anaambiwa jinsi viumbe walivyokua miaka Billions iliyopita, ukimuuliza uthibitisho hana... {Kama siyo Imani,ni Nini hii?

Then utasikia, eti wao wanataka facts hawataki kuamini tu...... Na facts zenyewe ndiyo hizo.
 
Kabla sijaanza kumjibu Kiranga Hoja zake, nataka kwanza niwaulize swali wewe na SimbaMpole123 .

Kuna nadharia ya uwepo wa jamii za siri Duniani kama Freemason & Illuminati.

Na jamii hizo zimejulikana sana kwenye kuu-control ulimwengu uende vile wao wanataka na pia kuwapa wanachama wao mafanikio kama utajiri n.k lakini kwa njia ya kafara za damu ya watu.

Jamii hizi zimeonekana kuwepo kote duniani mpaka hapa TANZANIA wanasema kuna jengo lao liko hapo POSTA DAR ES SAALAM kama ndiyo HQ kwa upande wa Tanzania.

Tumeshuhudia watu mbali mbali wakihusishwa na hizo imani ikiwemo marehemu Steven Kanumba, Sir Andy Chande ambae pia alifanikiwa kuwa kiongozi mkubwa tu ndani ya jamii hiyo.

Sasa mimi nime-base zaidi kwa hawa ambao walifanikiwa kutoka salama huko na wamefanikiwa kuwa hai hata sasa na wamekuja kusimulia maovu yote yaliyoko huko kama Kafara, magic power n.k

Mfano wa watu hao ni PASCHAL CASSIAN ambae pia alikuwa mshindi wa bongo star search 2009, amesema mengi sana kuhusu freemason na mpaka sasa bado anasema na ni kwa sababu pia yeye amewatumikia.

Swali langu kwenu nyie Kiranga na SimbaMpole123 , Je mnaamini katika uwepo wa nguvu hizo za majaabu kuwa zipo au hamwammini kabisa mnaona ni uzushi tu wa kinadharia
 
Hii mbona haipingiki. Ila haya yalitokea kabla ya binadamu kuwepo. Tokea maendeleo ya binadamu yaanze hakujawahi kufurika dunia nzima. Story ya Noah imeibwa kutoka dini nyingi tu nenda Google search Flood myths utaziona zipo nyingi zote zinafanana na ya Noah. Kwa sababu historia ya Misri inaonyesha muendelezo na kipindi hicho wanachosema kulikuwa na mafuriko mbona misri kulikuwa na falme inaendelea. Na nchi zingine duniani historia Yao haikuingiliwa na mafuriko yaliyouwa watu na wanyama wote isipokuwa watu wanane cjui. Hii story Ni ya kuhadithia mtoto kulala sio tukio la kihistoria.
Mkuu,naomba kujua

Ikiwa Dunia hapo mwanzo ilikua maji then baadae ndiyo kukajitenga kama tuonavyo milima,ardhi n.k

Binadamu walitokea wapi?

Walikuja baada ya maji kujitenga na kuona atmosphere hii ya sasa naamini

Je walitokea wapi na nani aliwaleta

Na kwa nini leo tupo weusi na weupe

Lakini makabira tofauti tupo?

Kama asili yetu 1 why tusingekua rangi moja,lugha moja na kabila moja

Wapi tulitoka na wapi tulianzia na nani alituleta humu duniani?
 
Samahani mkuu Wakati tunaendelea kumsubiri jamaa aje akupe majibu kulingana na uelewa wake

kama hutojali naomba kufahamu haya maswali ulivowauliza watu wa Dini walikujibu majibu gani?
 
Kabla sijaanza kumjibu Kiranga Hoja zake, nataka kwanza niwaulize swali wewe na SimbaMpole123 .

Kuna nadharia ya uwepo wa jamii za siri Duniani kama Freemason & Illuminati.

Na jamii hizo zimejulikana sana kwenye kuu-control ulimwengu uende vile wao wanataka na pia kuwapa wanachama wao mafanikio kama utajiri n.k lakini kwa njia ya kafara za damu ya watu.

Jamii hizi zimeonekana kuwepo kote duniani mpaka hapa TANZANIA wanasema kuna jengo lao liko hapo POSTA DAR ES SAALAM kama ndiyo HQ kwa upande wa Tanzania.

Tumeshuhudia watu mbali mbali wakihusishwa na hizo imani ikiwemo marehemu Steven Kanumba, Sir Andy Chande ambae pia alifanikiwa kuwa kiongozi mkubwa tu ndani ya jamii hiyo.

Sasa mimi nime-base zaidi kwa hawa ambao walifanikiwa kutoka salama huko na wamefanikiwa kuwa hai hata sasa na wamekuja kusimulia maovu yote yaliyoko huko kama Kafara, magic power n.k

Mfano wa watu hao ni PASCHAL CASSIAN ambae pia alikuwa mshindi wa bongo star search 2009, amesema mengi sana kuhusu freemason na mpaka sasa bado anasema na ni kwa sababu pia yeye amewatumikia.

Swali langu kwenu nyie Kiranga na SimbaMpole123 , Je mnaamini katika uwepo wa nguvu hizo za majaabu kuwa zipo au hamwammini kabisa mnaona ni uzushi tu wa kinadharia
Nguvu ya ajabu ipi?

Freemason idea yao ni kuunganisha dini zote, sharti moja kubwa la kuwa Freemason ni lazima uamini Mungu au nguvu fulani ya asili, ambayo mimi naiita Mungu wa watu wasioweza kutumia neno Mungu.

Sasana mimi kama atheist mtu nisiyeamini Mungu wala hiyo nguvu, siwezi hata kuruhusiwa kuwa Freemason, Mkristo na Muislamu wako karibu na Freemasons kuliko mimi, kwa sababu angalau wao wanafikia vigezo vya kujiunga na Freemasons, mimi hata sifikii vigezo.

What's your point? Unapotaja nguvu ya ajabu una mana gani? Ajabu ni nini? Kitu gani ni cha ajabu na kipi si cha ajabu ila wewe hujawahi kukielewa tu? Unajuaje hii nguvu ya ajabu na hii si ya ajabu ila hujaijua tu?
 
The power behind human ability, that is what I mean !

Do you belive in existance of such kind of power ?
 
What power? Human ability, to the extent that we can explain, has been explained by biology, history, psychology, chemistry, physics etc.

And the extent that we do not understand, we have to investigate and understand factually as much as possible, not just believe.

What is this power you are talking about?
 
NInachozungumza unakielewa vizuri ni vile tu unambie hutaki kuamini katika uwepo wa nguvu hiyo.

Mimi nilitaka unambie kama unaamini uwepo wa hiyo nguvu au huamini uwepo wake.

Nimekupa mfano wake kuwa ni Magic power hujaelewa,nikakwambia the power behind human ability hujaelewa pia, sasa nikuelekeze kwa lugha ipi mkuu ?

Nimekwambia mfano Freemason na illuminati wanajisema kuwa nguvu hiyo wanayo/wanaimiliki pia lakini bado hujaelewa pia.

Any way niseme kwa mara nyingine labda kwa mfano Mwingine.

Unaamini uwepo wa nguvu za kichawi duniani ? au unaamini kuwa kuna uchawi duniani ?

Nataka jibu moja la ndiyo tu au hapana .
 
Mimi sikubali katika kuwapo kwa supernatural power yoyote, kuna natural power ambayo watu hawajaielewa inaitwa supernatural power/ magic etc.

Kuna watu wanapenda iwepo supernatural power/ magic etc, wao wakiona kitu chochote wasichokielewa, badala ya kukichunguza wakielewe in terms of natural powers, wanakimbilia kusema hii ni supernatural power.

Wale babu zetu walivyooneshwa redio na wazungu, wakasikia mtu anaongea kutoka katika redio, waliona kama uchawi, wakati si uchawi, ni sayansi tu ambayo hawakuijua.

Sasa na wewe unaposema huu ni uchawi, unajuaje ni uchawi kweli na si kitu ambacho hukielewi tu kama hao babu zetu?

Nimekuuliza unajuaje hii ni supernatural power, na si natural power ambayo wewe hujaijua tu?

Hujanijibu.
 
Kabla sijaanza kumjibu Kiranga Hoja zake, nataka kwanza niwaulize swali wewe na SimbaMpole123 .

Kuna nadharia ya uwepo wa jamii za siri Duniani kama Freemason & Illuminati.

Na jamii hizo zimejulikana sana kwenye kuu-control ulimwengu uende vile wao wanataka na pia kuwapa wanachama wao mafanikio kama utajiri n.k lakini kwa njia ya kafara za damu ya watu.

Jamii hizi zimeonekana kuwepo kote duniani mpaka hapa TANZANIA wanasema kuna jengo lao liko hapo POSTA DAR ES SAALAM kama ndiyo HQ kwa upande wa Tanzania.

Tumeshuhudia watu mbali mbali wakihusishwa na hizo imani ikiwemo marehemu Steven Kanumba, Sir Andy Chande ambae pia alifanikiwa kuwa kiongozi mkubwa tu ndani ya jamii hiyo.

Sasa mimi nime-base zaidi kwa hawa ambao walifanikiwa kutoka salama huko na wamefanikiwa kuwa hai hata sasa na wamekuja kusimulia maovu yote yaliyoko huko kama Kafara, magic power n.k

Mfano wa watu hao ni PASCHAL CASSIAN ambae pia alikuwa mshindi wa bongo star search 2009, amesema mengi sana kuhusu freemason na mpaka sasa bado anasema na ni kwa sababu pia yeye amewatumikia.

Swali langu kwenu nyie Kiranga na SimbaMpole123 , Je mnaamini katika uwepo wa nguvu hizo za majaabu kuwa zipo au hamwammini kabisa mnaona ni uzushi tu wa kinadharia
Hakuna nguvu ya maajabu hapo. Freemasons are just regular people wanainuana wao kwa wao. Wanatoa misaada ktk jamii na kuperform some rituals. Hio ya kwamba wana control dunia is ridiculous..
 
Hakuna jipya utakalolisema na kudhihaki juu ya mitume ya Mungu ambalo baba zako waliokutangulia katika kukufuru hawakulisema.

Maneno yako yananikumbusha habari ya Qawm ya thamud pindi walipoletewa Muonyaji miongoni mwao walimkanusha na kusema haya uliyoyasema wewe ila leo hii tembea katika jangwa la Arabia uone ulikuaje mwisho wao.

Quran
Al-Qamar 54:23-26

كَذَّبَتْ ثَمُودُ بِٱلنُّذُرِ

Thamudi waliwakanusha Waonyaji.

فَقَالُوٓا۟ أَبَشَرًا مِّنَّا وَٰحِدًا نَّتَّبِعُهُۥٓ إِنَّآ إِذًا لَّفِى ضَلَٰلٍ وَسُعُرٍ

Wakasema: Ati tumfuate binaadamu mmoja katika sisi? Basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu na kichaa!

أَءُلْقِىَ ٱلذِّكْرُ عَلَيْهِ مِنۢ بَيْنِنَا بَلْ هُوَ كَذَّابٌ أَشِرٌ

Ni yeye tu aliye teremshiwa huo ukumbusho kati yetu sote? Bali huyu ni mwongo mwenye kiburi!

Basi we mwamini huyo mwarabu sawa.
 
Back
Top Bottom