Hakuna sehemu Ngoma ilikuwa ngumu Kwa Karanga bali aliamua tu muishie hapo maana hakukuwa na uwezekano wa kuja kuelewana tena
Wewe unaongozwa na imani ambayo inakupa majibu mepesi kwenye maswali magumu kwahiyo ukikutana na mtu ambae anataka facts hamuwezi kuelewana
Kwahiyo mtu akiamua kusitisha mjadara na wewe haina maana kwamba ulishinda, ila kaona hakuna kitakachobadirika ata mjadili miaka miwili
Huitaji degree yoyote ile kuona kuwa kuna ukinzani kwenye nadharia ya kuamini kuwa kuna Designer/Mungu alieumba Dunia na vyote vilivyopo ila yeye hajaumbwa
Kama utaamini kuwa kuna Designer/Mungu ambae yeye hajaumbwa na ametokea tu from no where kwanini ushindwe kuamini kuwa ata Dunia na vyote vilivyopo pia vimetokea tu from no where
Story za kusema kuwa Mungu Hana chanzo ni Akili zilipoishia waliotunga story za kuhusu Mungu na sio kweli kwamba ndio uwezo wa Mungu kujipambanua umeishia hapo
Kulitakiwa kuwe na story ingine kuhusu chanzo cha Mungu, alikuwa wapi kabla ya kuumba Dunia na vyote vilivyopo, alifanyia wapi field yake hadi kuweza kuumba Kwa kusema tu ulimwengu complex kama huu ndani ya siku 7
Hawa waliotuletea habari za Mungu muweza wa yote, Muumba wa kila kitu, Mjuzi wa yote walijua kabisa kuwa kuna siku watu wataanza kujiuliza kuhusu huu ukuu ambao tumewambia sasa tutawajibu nini?
Tuwape maneno ya kuwajaza hofu, Mambo ya Moto wa milele,Mambo ya kufuru kuhoji ukuu wa Mungu,Mambo ya Dhambi,Mungu hachunguziki,Akili yako ilipoishia ndio ya Mungu inapoanzia na blaaa blaaa kibao
Kadri siku zinavyozidi kwenda namba ya watakaokataa hizi hadith itaongezeka sana maana kuna vitu vingi vinaendelea kujulikana katika huu ulimwengu tofauti na kipindi ambacho hizi hadith zinatungwa
Leo hii Dunia sio flat tena,katika solar system sayari zimeongezeka tofauti na zamani,imejulikana kuna galaxy kibao na inawezekana na huko pia kuna viumbe hai vinaishi,Leo hii inajulikana kuwa Jua halizami kwenye tope tena na mambo kibao
Dini zililetwa na watu/kundi la watu wenye Akili kuliko wengine kujaribu kucontrol watu na kuwapa faraja kipindi ambacho wanaona hawawezi tena kuvumilia changamoto za Dunia
watu wataendelea kuzaliwa katika uislam na ukiristo na ata Dini zingine ila watakuja kuaachana nazo kadri siku zinavyozidi kwenda na kuona kama ni Ujinga na hatimae watu wa Duniani wataongozwa na LAWS OF THE UNIVERSE sio Hadith za kufikirika tena
Kutatokea kundi la watu ambao wataanza kuishi pamoja kama mke na Mume wakiwa hawana Dini na kuzaa kizazi ambacho hakina Dini, taratibu na hatimae hizi Dini za mababu zitakuja kufa ata kama sio leo ila hizo siku zinakuja
Maana kuzaliwa katika Dini fulani uchaguzi wa mtoto bali waga ni uchaguzi wa wazazi, alie mkristo leo ni Kwa sababu kazaliwa na wazazi wakristo na alie Muslim ni Kwa sababu kazaliwa na wazazi waislamu hakuna uspesho wowote ule katika kuzaliwa kwenye hizi Dini mbili
Walio upande wa Islamic hujiona kama wako upande mzuri ndomana hujiita Dini ya haki, ila uhalisia hakuna chochote, walioandika Bible ndio hao hao walioandika Qur'an, na ndomana wamejitahidi sana kuedit sehemu nyingi ambazo kwenye Bible waga zina ukakasi
Wakachukua vingi ambavyo zipo kwenye agano la kale na kuvitoa pia vingi, wakachukua vilivyopo kwenye uyahudi, ni sawa Tu na mwanafunzi ambae anafanya mtihani kwa kupiga chabo mara nyingi hupata mark's nyingi
TAFADHARI SANA SITAKI COMMENT YANGU IGUSWE, DAMU ITAMWAGIKA