Naandika haya kwa uchungu sana

Mkishauri wenzenu hivi, wapeni better options kama kutafuta hela na kuishi maisha yao kwa kuzingatia fact ya maisha kwamba si kila atakayetafuta hela atapata, hasa huku kwa third world dwellers, ndio maana kuna watu wameshazeeka hela hawana sababu ya uncertainties zilizopo kwa nchi masikini, kwa nchi zingine as long as unafanya kazi, pesa utapata.

Hizi options mnazowaoptia wenzenu za kuwapenda ndugu zao, kuwapenda wazazi na marafiki hazina msingi , kwasababu kwanza hao unaowapenda na kuwang’ang’ania wana watu wao wanaowapenda na kuambatana nao, you will one day try to fit in na kila mtu anakukataa yuko busy na mtuwe . Ndugu zetu/marafiki zetu wana waume/wake zao ambao usipokuwa makini utaanza kuwagombanisha ili uwe in control. Huwa tunawaona very toxic individuals sababu yenu yamewashinda. Kivipi uning’ang’anie mimi nduguyo wakati mi nina bwanaangu namng’ang’ania?

Kataa ndoa let’s be realistic and reasonable tufubdishane β€œthe art of being alone” na kutafuta hobbies.

Sitawafundisha kila kitu πŸ˜‚πŸ‘‹πŸ»
 
Hii ni mara ya tano nakuambia.
Jaribu kutuambia kwa ustaarabu habari za kufokeana si wengine hatuwezi tuna hasira za karibu...

Sio mara ya kwanza unafokea wenzako na ukiambiwa unadai wewe usikii
Your medicine is boiling
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ni ngumu sana kukuta kijana wa 2000 mwenye akili km wewe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nipekele Lugalo kawaambie nimewatukana!
 
Ntapigwa niachakae?
Ahahha unauliza majibu...
Unapigwa serious kuna watu hawapigi kuumiza ila wanapiga kuua....

Ongea sana ila ukijichanganya ukapita mitaa yetu huku.. utaelewa

Ila all ina all mtu anaye shauri tuachane na mwanamke sijui tupende wazazi wetu sijui tupende nini...
Wote wanaongea kutokana na hisia tu ya mda mfupi ndo mana wanasema """don't make a permanent decision based on temporary emotion"""
 
Mvurugo ushapita hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…