Naandika haya kwa uchungu sana

Kunywa maji kwa mangi, mwambie bill ntalipa mwisho wa mwezi 😀
 
ushauri mzuri, sema umefoka foka watu wanaona kama unawagombeza

weka hoja, acha wao waamue
 
This is why situmii JF often, ukisema tu uko under 25 basi kila mtu atajiona anajua zaidi yako na kupotezea ulichoandika no matter how critical. Inavyoonekana humu kumejaa wazee waliopigika kila kona ya maisha.
UPO SAHIHI MNO.
 
Kuna mmoja anaenda kulia kilio kikuu sio mda. Mke wake ana inginia mipango ya kutoloka na kumtekelezea mtoto wa mwaka mmoja.

Pia anasuka mipango ya kuuza vitu vya ndani ili apate naluli na kianzio asepe, hapa kila siku anaomba no. za madalali

Sasa sijui busara ni kumshtua au ni kuachana na mambo ya watu, ila inaniuma sana hii kitu.
 
Mama yako aliyekuzaa ni mwanaume???
 
Tulia, omba kwa kutumia imani yako ya jadi, utapata mwanamke uliyeandikiwa na Mungu, utaishi maisha mazuri kwa kuzingatia yale maneno. " mmekuwa mwili mmoja ".
 
Waliumbwa wa nini sasa? Hayo maisha yenyewe bila changamoto hayana ladha acha woga HAINA KUTIA HURUMA.
 

Mapenzi yamenibadilisha siku hizi sinaga ubabee

Nishakuwa guta yaache moyoni niyabebe baby

Mi ndio kuku wako ukitaka mayai niyatage semaaa

Na ukiona na ujinga we nisitiri usinibwage

Sina matamanio nishavukaga huko
Sitolivua vazi la heshima ulonivika kwa upendo

Sina matarajio ya kuondoka kwako, dunia ishabadili wengi waka vituko

Imagine listening to this yammy's song na uko single yereuwiiiiuu wasisitize kung'ang'aniana hahaaaa
 
Ndoa ni uwekezaji kwa mwanamke na kamari kwa mwanaume. Make your decision wisely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…