Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Kuna mtu mmekaa wote kwenye gari Masaa 4 mbezi beach alitumwa Kwa kazi maalumu kukushauri baadhi ya mambo kuhusu wewe na Jamaa wa VX na wanachama wa mambo fulani ukaonekana kuogopa ila alivyoondoka ukashupaza shingo tena!
Kama kuna watu wamepoteza wapendwa wao kuoitia yeye basi hayuko salama
 

Chagua upande Bidada,, kukaa katikati ni kukosa uelekeo...

Wasaidie Wadanganyika.
 
Street justice haijali sheria wala tatizo mbeleni, jino kwa jino tuu
 
Wewe Le Mutuz wewe, leo hii unamgeuka jamaa yako?🤣
 
Hizi busara hazina maana; Bashite ashughulikiwe kichwa chini miguu juu kama alivowatendea wengine, shubaaamit!😁
 
Makonda kusamehewa ni Kama mbigu na ardhi hata akae miaka 20 hakuna atakayemsamehe yule mbwa
 
Makonda kajiingiza 18 zao. It's just a matter of time. Kwa 5 doors zake alizoitangazia dunia, ameingia na kurahisisha kazi. Omba Rehema za Mungu damu za watu zinazomiuta ardhini mithili ya Kaini uziepuke. Mali za watu na dhuluma Mungu asikumbuke. Kila auaye kwa upanga hufa kwa upanga. Kejeli za Makonda kwa Mkuu wa KKKT madhabahuni hazitaenda bure. Pole.
 
Du…kweli Makonda jua limemchwea!
Hata Riz alimtuhumu madawa ya kulevya!
Kibao kimegeuka.
Ataponaje?
Kwani uongo ? Kuna mambo mengi gamjui;. Majuzi tu kuna maofisa fulani walikamata gari imejaa ngada; tamaa ikawajaa waladokoa kidogo; mzigo ulivyofika polisi ikaonekana sio wote waliokamata mzigo wakawekwa ndani; mpkana ninapozungumza hapa aliedokoa mzigo ni marehemu na nyepesi nyepesi zinasema ulikuwa mzigo wa mzee
 
Makonda hawezi kupata visa ya Ulaya Maghribi na EU nzima labda aende Belarus na Urusi.

Sasa akiondoka zile raha alizotwambia anakula atazilia na huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…