nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Bila shaka mratibu ni prince mwenyewe, huu upuuzi sasa naona unaendekezwa sana hapa nchini kisa ana backup.Jamaa hawataki Kwenda Mahakama wanataka bargain ya vichochoroni Kama ile alomfanyia Yule Tajiri anayetweet sana
Kama ana makosa na mna ushahidi kwanini mnaogopa kumpeleka mahakani?