Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Acha kujifanya humjui Buyobe..
ADA891AF-0149-4959-AAE1-D4D2F539BD11.jpeg
 
sikuwahi na sitawahi kuwa mpambe wa mtu..

ukifanya jambo sahihi nitakuunga mkono, ukienda alijojo nakupiga mawe pia..

mimi ni mpenzi wa sera za kikatili kwa watu wapumbavu, ila sishabikii tabia za hovyo kwenye jamii...Makonda kama Makonda kwenye utaratibu wa ubabe kwa watendaji na watu wapumbavu alikuwa sahihi... ila Makonda kama Makonda kwenye tabia zake binafsi na kulewa madaraka kiasi cha kwenda nje ya key naye ni MPUMBAVU tu...

Makonda ameua wengi, na kuharibu maisha ya watu wengi sana,

Hastahili huruma kwa yeyote,,
 
Ushauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako!

Hama Nchi Kwa Muda watu uliowatesa ni wengi ila kwakuwa tumeambiwa samehe 7 mara 70 tumeshasamehe ila Kwa Usalama wako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa zimetulia,

Kuna Mawili
- Kuna Kupoteza maisha kutoka Kwa hao watesi

- Au Kuna kufungwa Kabisa maana wapo wenye vielelezo vyote juu yako!

Najua a safari yako ya Kwenda ufaransa ilifeli Kwa kutokana na kigezo ulichoombea asylum haitafutwi hivyo!

Kuna mtu mmekaa wote kwenye gari Masaa 4 mbezi beach alitumwa Kwa kazi maalumu kukushauri baadhi ya mambo kuhusu wewe na Jamaa wa VX na wanachama wa mambo fulani ukaonekana kuogopa ila alivyoondoka ukashupaza shingo tena!

Mifumo Duniani kote ipo hata Kama Serikali ipo.

Nakusihi tena usisahau kufuatilia hayo mambo ama by December 2023 tutakuja kusema habari nyingine Mdogo wangu ! Anza maisha upya nchi yeyote

Ukifika huko wala usihangaike nao uwawezi tena kwakuwa huna cheo!

Pia salimisha ile bastora umiliki wake haujahakikiwa

Britanicca
Nashauri haya yanayomtokea Makonda na yaliyompata Sabaya yawe ni case study katika vyuo vya uongozi wa taifa maana watanzania wote wameshuhudia before their naked eyes the quick rise and fall ya hawa ndugu kwa kulevya na madaraka. Personally , sina ushauri wa namna ambayo anaweza kukimbia maswahibu yanayomzunguka kwani jukumu la kujihakikishia usalama wake na familia yake liko mikononi mwake.
 
We suffer more often in imagination than in reality - Seneca

Ifike mahali kama nchi tujaribu kukomaa na kuachana na hizi siasa mufilisi za kuviziana na kukomoana kama tuko Sicily au Colombia. Paul Makonda amefanya makosa mengi sana na ambayo yana ushahidi, hivyo apelekwe mahakamani ili liwe fundisho kwa wengine.

Kutishia kumuua au kumtesa kisaiokolojia bila kufuata sheria ni kutengeneza tatizo jingine kubwa zaidi siku za mbeleni. Serikali isitumie rasilimali zake katika kufanikisha michezo kama hii ambayo haina manufaa kwa nchi.

Kama mahakamani anaitwa na anatunisha misuli, wenye mamlaka hawachukui hatua wanamaanisha nn?

Ina maana watu wadeal naye moja kwa moja, yaani wamchane chane kwa hasira wamgawane kama mishikaki, yaaani wamle nyama kama mishikaki kabisa, ndo hasira zao zitaisha.

Kwa ujumla pona ya makonda ilikuwa akawekwe tu sehemu salama jela, nje ya hapo hana maisha,
 
Zamani nilikuwa napenda sana comments zako. Naona bado bado ukogo vile vile ni mwana democrasia haswa.

Nilivyoendelea kukuwa nikajua wapuuzi tunao wapigia kelele na kuwa pigani humu mitandaoni na mitaani kumbe wanakula sahani moja na upande wa pili. Staki tena haya mambo ni ya kujiumiza bure bora nibaki katikati.

Sisi tunapiga kelele wao wanajali matumbo yao na familiya yao.

Ukiendelea kukua kuna siku utajua hiki nilichokiandika.
Huyo ni msukule achana nae hajielewi
 
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.

Ni wazi ana mwisho mbaya sana

Sioni kama ataponea kokote

Hata akikimbia nchi hitmen wako kibao dunia hii akipewa dollar 20k anamaliza mambo chap!!

Jamaa alikuwa Nazi kweli kweli yaangi thugocracy practitioner [emoji2]

Sitoshangaa akiwa hitter somewhere why not!? ..yeye mwenyewe hitted people from nowhere!! And felt proud about it .

Atajiju
20k dollar nyingi sana, 50,000/- inatosha kummaliza. Police wenyewe wanataka aliyeuwawa atoe ushahidi so ukimuua TU basi
 
Visasi CYO POA hatujui siasa sitapindukaje mbeleni hili taifa tutaliaribu wenyewe kwa kuvisiana na kutengeneza visasi

Makonda ajaitaidi amalizane na wanaomdai na kuwaomba radh Kama alivyofanya mwenzio kheri james
Visasi havinaga mshindi tusiruhusu jamii yetu iingie kwenye visasi tutakuwa hatuna tofauti na mafioso.....
Kama Mako ana makosa ashtakiwe tu
 
Ushauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako!

Hama Nchi Kwa Muda watu uliowatesa ni wengi ila kwakuwa tumeambiwa samehe 7 mara 70 tumeshasamehe ila Kwa Usalama wako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa zimetulia,

Kuna Mawili
- Kuna Kupoteza maisha kutoka Kwa hao watesi

- Au Kuna kufungwa Kabisa maana wapo wenye vielelezo vyote juu yako!

Najua a safari yako ya Kwenda ufaransa ilifeli Kwa kutokana na kigezo ulichoombea asylum haitafutwi hivyo!

Kuna mtu mmekaa wote kwenye gari Masaa 4 mbezi beach alitumwa Kwa kazi maalumu kukushauri baadhi ya mambo kuhusu wewe na Jamaa wa VX na wanachama wa mambo fulani ukaonekana kuogopa ila alivyoondoka ukashupaza shingo tena!

Mifumo Duniani kote ipo hata Kama Serikali ipo.

Nakusihi tena usisahau kufuatilia hayo mambo ama by December 2023 tutakuja kusema habari nyingine Mdogo wangu ! Anza maisha upya nchi yeyote

Ukifika huko wala usihangaike nao uwawezi tena kwakuwa huna cheo!

Pia salimisha ile bastora umiliki wake haujahakikiwa

Britanicca
Huyu Jibwa mwache ajifie mwenyewe!! Damu ya Ben Saa8 haimwachi popote atakapokwenda. Oh Nimesahau mwambie aende ulaya akutane na mkono wa Marekani huyu muuaji mkubwa! Ama kweli kufa kwa nyani miti yote huteleza!
 
Pia mimi nafikiria yule mwenda wazimu asingekufa taifa letu tungekuwa na Hali Gani?

Ilifikia kina masanja mkandamizaji kunadi wapinzani wasipite kwenye madaraja au barabara zilizojengwa awamu ya Tano.

Tushukuru mungu alisikia kilio chetu.

Hata mie ni muhanga was mwenda zake
Ww ni muhanga wa akili yako fupi usisingizie bana
 
We suffer more often in imagination than in reality - Seneca

Ifike mahali kama nchi tujaribu kukomaa na kuachana na hizi siasa mufilisi za kuviziana na kukomoana kama tuko Sicily au Colombia. Paul Makonda amefanya makosa mengi sana na ambayo yana ushahidi, hivyo apelekwe mahakamani ili liwe fundisho kwa wengine.

Kutishia kumuua au kumtesa kisaiokolojia bila kufuata sheria ni kutengeneza tatizo jingine kubwa zaidi siku za mbeleni. Serikali isitumie rasilimali zake katika kufanikisha michezo kama hii ambayo haina manufaa kwa nchi.
Kwani yeye alimpeleka nani mahakamani si aliwatesa na kuwauwa wengine, kipimo umpimiacho mtu hicho ndicho utapimiwa
 
Back
Top Bottom