Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Hapana asife mapema apelekwe mahakamani ili naye aone mateso aliyosababishia wenzake japo hayatakua makubwa Kama Yale...muda huu nadhani anayakumbuka maneno ya chidi benz
AnaweA enda jela na akaishi ki VIP huyu

Acha Raia wadili na kitaa kama yeye alivyodeal nao kitaa
 
Uzuri nchi hii sahivi tumeingia kwenye dunia ya kudhania kwa kuuana pindi tunapobadirisha utawala, onyo tu ni kwamba.. Ueni leo mko madarakani ila msisahahu huu utaratibu utaendelezwa vilivyo hata baada ya utawala wenu.

Familia zenu zitapata tabu sana na kusaga meno make mmeamua tuishi kwa visasi na damu

Msidhani kila mtanzania anamchukia Makonda ama anawapenda nyie, ipo siku na nyie mtafuatia
Auliwe tu
 
Kama sio upinzani halisi wewe anzisha upinzani halisi, yaani mpinzani Kama Lissu, amekuwa kilema, Mbowe amefilisiwa, wekwa jera 8 months, kina Ben washazikwa, Mawazo alikatwakatwa Kama kuku, kina mdude alimanusra azikwe, bado unawabeza, basi anzisha chama chako ambacho kitakuwa upinzani pure, mbuzi wewe
Kwani ungemjibu kwa ID yako ile ile ya Erythrocyte tena kwa hekima bila matusi ndipo asingekuelewa?

Peace and Love, one TZ.
 
Asikubali kurudisha bastola, lazima aache alama kwenye ubongo wa bwege mmoja asije kukamatwa kizembe
 
Asikubali kurudisha bastola, lazima aache alama kwenye ubongo wa bwege mmoja asije kukamatwa kizembe
Mkuu unafikiri ni rahisi hivyo kuacha alama...
Ngoja nikupe info..
Juzi juzi alifuatwa na bwana mmoja akamwambia kama huwezi.. (kuna fix Bashite alimfanyia) nipe hata nusu ya hela.. Na hela yenyewe inakwenda around 140m.. Hatujui makubaliano yalikuwaje..
Ila Bashite anamkwepa sana na kuhama hama.. Na kumbe sio peke yake.. Watu wanaomtafuta hatujui idadi.. Bashite hana raha.. Sasa kuhusu bastola ni hivii

Wanaomtafuta wanazo.. tena wengine wanabeba mashine mabegani.. hicho kibastola hakifui dafu..
Simple aandae makubaliano ya namna ya kuweza kulipa baadhi ya mambo.. Sio kukimbia huku na huku..

Kama hawezi aombe awekwe ndani kwa muda hata miaka 4 wajuba watapunguza hasira
 
Mkuu lile kundi lake la wasiojulikana lilikuwa na watu hatari na wengi walikuwa polisi na baadhi ya wanajeshi (kisirisiri kama Dickson Linje na Makoye Nyengo). Hawa wapo na hawatashindwa kumpambania huko jela.

Angalia vifo katiri walivyofanyiwa Akina Ben saanane, Azory na watu kibao.

Pia yeye baada kuuwa watu na kuwatupa fukwe za coco beach alisimamia wazikwe bila uchunguzi.

Huyu auwawe TU. Full stop
Duh
 
Zamani nilikuwa napenda sana comments zako. Naona bado bado ukogo vile vile ni mwana democrasia haswa.

Nilivyoendelea kukuwa nikajua wapuuzi tunao wapigia kelele na kuwa pigani humu mitandaoni na mitaani kumbe wanakula sahani moja na upande wa pili. Staki tena haya mambo ni ya kujiumiza bure bora nibaki katikati.

Sisi tunapiga kelele wao wanajali matumbo yao na familiya yao.

Ukiendelea kukua kuna siku utajua hiki nilichokiandika.
Lucky
 
Kilamtu atakunywa pombe aloitegenneza mwenyeweee.
Asiwe mwoga hvyooo akaze moyo maana hata wenzake walikaza moyonwakati wa madhila yote
 
sikuwahi na sitawahi kuwa mpambe wa mtu..

ukifanya jambo sahihi nitakuunga mkono, ukienda alijojo nakupiga mawe pia..

mimi ni mpenzi wa sera za kikatili kwa watu wapumbavu, ila sishabikii tabia za hovyo kwenye jamii...Makonda kama Makonda kwenye utaratibu wa ubabe kwa watendaji na watu wapumbavu alikuwa sahihi... ila Makonda kama Makonda kwenye tabia zake binafsi na kulewa madaraka kiasi cha kwenda nje ya key naye ni MPUMBAVU tu...
😂😂 mtu wa mstaari na aseme sasaaa
 
Mke wa Bashite ni mmeru na sasa wapo maeneo ya kwa msola njiro Arusha.

Eti rwanda 😂
By the way Bashite ameanza kupiga kelele kwasababu ameshapata taarifa kuwa file lake lipo kwenye final stage kabla halijafika kwa DPP.

NB: britanicca ungefanya citation kuwa huu uzi wako ni copy and paste kutoka Twitter kwa fbuyobe.
Sijacipu popote ni mawazo yangu leta uzi huo hapan
 
Mie namshauri tu kwamba akubali kuyarudia yale maisha yake ya awali kabisa! Amrudishie kila mmoja alimdhulumu, awalipe fidia wote aliwaumiza na kuwamba radhi Watanzania na wote aliowatendea maovu hata kama kufanya hivyo atafilisika kila kitu lakini hiyo ndio njia pekee itakayomuacha salama na kumrudishia Amani ya mwili na Roho!
 
Jamaa hawataki Kwenda Mahakama wanataka bargain ya vichochoroni Kama ile alomfanyia Yule Tajiri anayetweet sana

Wakishirikiana na Mambosasa ,

Najua unajua mengi , ila umri wa kustaafu ndiyo huo tena.

Vipi bado upo Moscow ..? njoo nyumbani upumzike kupisha huo msukosuko na Ukraine.
 
Wanalipwa ndo maana kelele mingi, tunajuwa ukweli kuwa hao wapenda mabadiliko nao wana maboss ambao wako upande wa pili, hatuhangaiki tena.

Kwa ufupi upinzani ni ka genge ambako kqzi yake ni kuisaidia serikali kufanya mambo yake.

Lazima vikelele kelele viwepo.ndo nchi ibaenda.

Bure kabisa
Una miguu mizuri [emoji39][emoji39]
 
Ushauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako!

Hama Nchi Kwa Muda watu uliowatesa ni wengi ila kwakuwa tumeambiwa samehe 7 mara 70 tumeshasamehe ila Kwa Usalama wako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa zimetulia,


Kuna Mawili
- Kuna Kupoteza maisha kutoka Kwa hao watesi

- Au Kuna kufungwa Kabisa maana wapo wenye vielelezo vyote juu yako!

Najua a safari yako ya Kwenda ufaransa ilifeli Kwa kutokana na kigezo ulichoombea asylum haitafutwi hivyo!

Kuna mtu mmekaa wote kwenye gari Masaa 4 mbezi beach alitumwa Kwa kazi maalumu kukushauri baadhi ya mambo kuhusu wewe na Jamaa wa VX na wanachama wa mambo fulani ukaonekana kuogopa ila alivyoondoka ukashupaza shingo tena!

Mifumo Duniani kote ipo hata Kama Serikali ipo.

Nakusihi tena usisahau kufuatilia hayo mambo ama by December 2023 tutakuja kusema habari nyingine Mdogo wangu ! Anza maisha upya nchi yeyote

Ukifika huko wala usihangaike nao uwawezi tena kwakuwa huna cheo!

Pia salimisha ile bastora umiliki wake haujahakikiwa


Britanicca
Binafsi namshauri asihame. Kama ni kufa kila mtu atakufa. Kama kufungwa, unaweza kufungwa lakini kweli uliyoisimamia. Deng Xiaoping aliwahi kupelekwa jela na "watu wachafu" lakini haikumzuia kuingia Ikulu ya China baadae. Just chill Makonda. They've power, you've people!
 
Back
Top Bottom