Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣Hata mm nilikuwa najiuliza kwann Ids ni zilezile kwa mambo yale yale?...Toka 2016 nijiunge rasmi humu ndani. Watu wanalipwa kumpambania mtu mtandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Hata mm nilikuwa najiuliza kwann Ids ni zilezile kwa mambo yale yale?...Toka 2016 nijiunge rasmi humu ndani. Watu wanalipwa kumpambania mtu mtandaoni
1. MnyetiMakonda haruhusiwi kuingia US, kwa sababu ya "kuwanyima watu haki ya kuishi".
Muuaji mnamshauri akimbie bila ya kufikishwa mahakamani? Siungi mkono yeye kuviziwa mafichoni, lakini ni halali kabisa kwa yeye kukamatwa na kufikishwa mahakamani ili ajibu tuhuma dhidi yake.
Waliopo kwenye vyombo vya dola, wanaeleza kwamba mtu huyu aliongoza kikundi cha kuwateka, kuwaua na kuwapoteza watu waliokuwa wakimkosoa marehemu na serikali yake, na kwamba kikundi hicho kiliaminika na kupewa nguvu na marehemu kuliko taasisi rasmi ya TISS. Kikundi hiki kiliwajibika moja kwa moja kwa marehemu. Kikundi hiki, kwa kauli za Siro, zaidi kilifahamika kama "Watu Wasiojulikana", japo walikuwa wanajulikana.
Huyu ni vema akamatwe mapema, ajibu tuhuma dhidi yake, awataje watu wake aliokuwa akiwatumia kuendesha uharamia. Mmoja tunaambiwa yupo mahabusu kule Kusini mwa nchi kwa kosa la kumpora fedha mfanyabiashara na kisha kumwua.
Sabaya wakati akiwapora watu fedha kwa nguvu, alikuwa akiwaambia kuwa, hii inaitwa Makonda style! Sabaya naye ni shahidi muhimu dhidi ya Makonda.
Sanane kapotezwa
Azory kapotezwa
Kanguye kapotezwa
Lisu alimanusura
Mo alitekwa na kuachiwa
Roman alitekwa na kuachiwa
GSM waliporwa mamilioni ya pesa kwa vitisho mbalimbali
Mengi aliporwa mamia ya mamilioni kwa kudanganywa
Familia ya Chacha kule Mwanza waliporwa kiwanja Capripoint
Kuna watu wengine waliporwa fedha kwa ahadi kuwa ataongea na marehemu walegezewe kodi na wawe karibu na Serikali.
Makonda atendewe haki, asiviziwe mitaani, apelekwe mahakamani kama alivyofanyiwa Sabaya, akajibu tuhuma mbalimbali, ikiwemo za mauaji. Makonda ni mwovu mkubwa, kwa kiasi kikubwa, zaidi ya Sabaya. Mwanafunzi wake wa uovu, Sabaya, yupo jela, mwalimu wake yupo huru. Hii siyo haki.
Jana wa vx sio harakaharaka??Jamaa wa VX na wanachama wa chama fulani? Code ngumu hii
Unasema "tumeishasamehe", wewe na nani? Nani amekutuma kutoa msamaha?Ushauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako!
Hama Nchi Kwa Muda watu uliowatesa ni wengi ila kwakuwa tumeambiwa samehe 7 mara 70 tumeshasamehe ila Kwa Usalama wako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa zimetulia,
Kuna Mawili
- Kuna Kupoteza maisha kutoka Kwa hao watesi
- Au Kuna kufungwa Kabisa maana wapo wenye vielelezo vyote juu yako!
Najua a safari yako ya Kwenda ufaransa ilifeli Kwa kutokana na kigezo ulichoombea asylum haitafutwi hivyo!
Kuna mtu mmekaa wote kwenye gari Masaa 4 mbezi beach alitumwa Kwa kazi maalumu kukushauri baadhi ya mambo kuhusu wewe na Jamaa wa VX na wanachama wa mambo fulani ukaonekana kuogopa ila alivyoondoka ukashupaza shingo tena!
Mifumo Duniani kote ipo hata Kama Serikali ipo.
Nakusihi tena usisahau kufuatilia hayo mambo ama by December 2023 tutakuja kusema habari nyingine Mdogo wangu ! Anza maisha upya nchi yeyote
Ukifika huko wala usihangaike nao uwawezi tena kwakuwa huna cheo!
Pia salimisha ile bastora umiliki wake haujahakikiwa
Britanicca
Atapona, haya kam shoot sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kulia lia tafuta helaHuyu ni WA kufa mapema maana ndio alikuwa msimamizi mkuu was genge la wasiojulikana.
Pia ndiye aliyesimamia kupigwa risasi Tundu Lissu.
Hawezi kupona atamfuata shetani mwenzie kule kuzimu.
Mkuu lile kundi lake la wasiojulikana lilikuwa na watu hatari na wengi walikuwa polisi na baadhi ya wanajeshi (kisirisiri kama Dickson Linje na Makoye Nyengo). Hawa wapo na hawatashindwa kumpambania huko jela.Hapana asife mapema apelekwe mahakamani ili naye aone mateso aliyosababishia wenzake japo hayatakua makubwa Kama Yale...muda huu nadhani anayakumbuka maneno ya chidi benz
We suffer more often in imagination than in reality - Seneca
Ifike mahali kama nchi tujaribu kukomaa na kuachana na hizi siasa mufilisi za kuviziana na kukomoana kama tuko Sicily au Colombia. Paul Makonda amefanya makosa mengi sana na ambayo yana ushahidi, hivyo apelekwe mahakamani ili liwe fundisho kwa wengine.
Kutishia kumuua au kumtesa kisaiokolojia bila kufuata sheria ni kutengeneza tatizo jingine kubwa zaidi siku za mbeleni. Serikali isitumie rasilimali zake katika kufanikisha michezo kama hii ambayo haina manufaa kwa nchi.
Wewe Ni fortunatus BUYOBE au umecopy na Kuna kupaste hapa from Twitter? britaniccaUshauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako!
Hama Nchi Kwa Muda watu uliowatesa ni wengi ila kwakuwa tumeambiwa samehe 7 mara 70 tumeshasamehe ila Kwa Usalama wako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa zimetulia,
Kuna Mawili
- Kuna Kupoteza maisha kutoka Kwa hao watesi
- Au Kuna kufungwa Kabisa maana wapo wenye vielelezo vyote juu yako!
Najua a safari yako ya Kwenda ufaransa ilifeli Kwa kutokana na kigezo ulichoombea asylum haitafutwi hivyo!
Kuna mtu mmekaa wote kwenye gari Masaa 4 mbezi beach alitumwa Kwa kazi maalumu kukushauri baadhi ya mambo kuhusu wewe na Jamaa wa VX na wanachama wa mambo fulani ukaonekana kuogopa ila alivyoondoka ukashupaza shingo tena!
Mifumo Duniani kote ipo hata Kama Serikali ipo.
Nakusihi tena usisahau kufuatilia hayo mambo ama by December 2023 tutakuja kusema habari nyingine Mdogo wangu ! Anza maisha upya nchi yeyote
Ukifika huko wala usihangaike nao uwawezi tena kwakuwa huna cheo!
Pia salimisha ile bastora umiliki wake haujahakikiwa
Britanicca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Skuizi Mo haonekani kabisa kijiweni kwetu mitaa ya masaki..[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dr ukorofi huo.Laiti ningejua mzee anatembea na Defibrator nisingejimwambafai.
huyo mke wa Makonda sio mnyarwanda kwao ni hapo murukulazo anakozaliwa mbunge msataafu Kashazawako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa zimetulia,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makonda muoga mno anaogopa mashoga
vitendo hivi ni moja ya vitendo vilivyoonyesha ulevi wa hali ya juu kwenye madaraka... Lakini vilidhihirisha ushamba wa hali ya juu kwa watu wetu tunaowapa madaraka
Hahahahaahha wapo kwenye payroll?? Noma kweli luckylineWanalipwa ndo maana kelele mingi, tunajuwa ukweli kuwa hao wapenda mabadiliko nao wana maboss ambao wako upande wa pili, hatuhangaiki tena.
Kwa ufupi upinzani ni ka genge ambako kqzi yake ni kuisaidia serikali kufanya mambo yake.
Lazima vikelele kelele viwepo.ndo nchi ibaenda.
Bure kabisa
Ulitaka wabadili ID na wabadili msimamo. Halaf muanze kusema watu mi wanafiki hawaeleweki!? Binadamu mna matatizo sanaHata mm nilikuwa najiuliza kwann Ids ni zilezile kwa mambo yale yale?...Toka 2016 nijiunge rasmi humu ndani. Watu wanalipwa kumpambania mtu mtandaoni
Odds zipo kwa mhindi Sasa lazima madereva aliweKijana ameshachelewa, alikosa washauri na bado hana washauri.... Aliamini baada ya kifo cha mzee ndugu zake kutoka nyumbani wangeshika usukani, wakafeli na usukani ukaangukia kwa wenyewe...
Wakajaribu kumtisha mama awaogope na kuwasikiliza wakiamini atakuwa anawaogopa kwa uongo wa kumtishia kiti chake na influence ya ukanda, Mama chini ya Wasaigon na Chalinze akawa strong akilindwa na wenyewe...
Vijana wa mjini wameachiwa wamkung'utishe kimyakimya kimtaamtaa kama yeye alivyokuwa akideal nao gizani, nao sasa wanamalizana naye gizani.....kwa sasa yupo kizuizini Dar es salaam.
Kosa la ndugu zetu wa kanda ile, walijioverestimate na kushindwa kufanya proper calculation ya mifumo na mizizi yake....wenzao wanastrong hold maeneo nyeti na influence kubwa maeneo hayo, lakini ndugu zetu walivimbiwa na kuchokonoa kila mahala kiasi cha kufanya sasa isemwe, "No trust to them again"
Wewe unamdanganya mwenzio jinai haifi. Huyu tunaye tu lazima mkono wa sheria umwangukie asagike tikitiki.Ushauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako!
Hama Nchi Kwa Muda watu uliowatesa ni wengi ila kwakuwa tumeambiwa samehe 7 mara 70 tumeshasamehe ila Kwa Usalama wako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa zimetulia,
Kuna Mawili
- Kuna Kupoteza maisha kutoka Kwa hao watesi
- Au Kuna kufungwa Kabisa maana wapo wenye vielelezo vyote juu yako!
Najua a safari yako ya Kwenda ufaransa ilifeli Kwa kutokana na kigezo ulichoombea asylum haitafutwi hivyo!
Kuna mtu mmekaa wote kwenye gari Masaa 4 mbezi beach alitumwa Kwa kazi maalumu kukushauri baadhi ya mambo kuhusu wewe na Jamaa wa VX na wanachama wa mambo fulani ukaonekana kuogopa ila alivyoondoka ukashupaza shingo tena!
Mifumo Duniani kote ipo hata Kama Serikali ipo.
Nakusihi tena usisahau kufuatilia hayo mambo ama by December 2023 tutakuja kusema habari nyingine Mdogo wangu ! Anza maisha upya nchi yeyote
Ukifika huko wala usihangaike nao uwawezi tena kwakuwa huna cheo!
Pia salimisha ile bastora umiliki wake haujahakikiwa
Britanicca
Kwenye Instagram ya Makonda si ameorodhesha makundi yanayotaka kumtoa roho? Alitengeneza maadui ndani na nje ya siasa kwa hiyo akipata matatizo huwezi kujua ni kundi lipi limemletea matatizo. Ahame tuu nchi, serikali haiwezi kumsaidia wala kumlinda. Na huwezi kuilaumu serikali kwa lolote litakalotekea kwa sababu Makonda anaishi uraiani kama raia mwingine yoyote.We suffer more often in imagination than in reality - Seneca
Ifike mahali kama nchi tujaribu kukomaa na kuachana na hizi siasa mufilisi za kuviziana na kukomoana kama tuko Sicily au Colombia. Paul Makonda amefanya makosa mengi sana na ambayo yana ushahidi, hivyo apelekwe mahakamani ili liwe fundisho kwa wengine.
Kutishia kumuua au kumtesa kisaiokolojia bila kufuata sheria ni kutengeneza tatizo jingine kubwa zaidi siku za mbeleni. Serikali isitumie rasilimali zake katika kufanikisha michezo kama hii ambayo haina manufaa kwa nchi.
Hii swala ya kuchukia kanda moja haina maana. Na haya mambo ya kisasi usidhani yataisha au hao unaodhani wameshika maeneo nyeti wataendelea kuyashika. Ni heri Makonda akamatwe apelekwe katika vyombo vya sheria. Nakiri Makonda alijisahau, alidhani yeye ni yeye. Lakini kwa nimjuavyo Makonda ndivyo alivyo, ni mtu wa kupenda kutumia majina ya wakubwa ili kupata akitakacho.
Hii tabia anayo hata kabla hajawa na madaraka ya Ukuu wa Wilaya au Mkoa. Amekuwa akijisiia kuwa na kikundi cha maovu. Akishitakiwa atapata muda wa kujutia matendo yake mabaya na yaliyo kinyume cha sheria ktk jamii.
Ila na hao watu wanaodhania sasa wameshika nchi muda wao unahesabika, hivyo wasijisahau na kuwa kama Makonda, mambo ubadilika. Visasi ni vibaya. Ila sheria ikitumika ni haki sahihi.
Tuepushe nchi yetu isiwe kama Ethiopia, ambayo sasa watu ni kulipizana visasi. Kabila moja lilijisahau na kushika kila kitu, leo wengine wanalipiza. Matokeo yake kabila linaloonewa sasa likaingia vitani. Na makabila mengine yakaamka nayo kugombea keki ya nchi.
Huu ndo ubaya wa visasi. Hakuna atakae tawala milele. Ukitenda baya kwa mwenzio wapo watakao kutenda pia. Hivyo wasijisahau wakadhani sasa nchi ipo mikononi mwao.