Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

1. Mnyeti
2. Makonda
3. Sabaya
4. Polis aliyemnyoshea pistol Nape
5. Dickson Linje huyu yupo kibaha
6. George Makoye Nyengo

Hawa ni baadhi ya watu walikuwa wanaunda kundi la wasiojulikana.
 
Unasema "tumeishasamehe", wewe na nani? Nani amekutuma kutoa msamaha?
 
Huyu ni WA kufa mapema maana ndio alikuwa msimamizi mkuu was genge la wasiojulikana.

Pia ndiye aliyesimamia kupigwa risasi Tundu Lissu.

Hawezi kupona atamfuata shetani mwenzie kule kuzimu.
Atapona, haya kam shoot sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kulia lia tafuta hela
 
Hapana asife mapema apelekwe mahakamani ili naye aone mateso aliyosababishia wenzake japo hayatakua makubwa Kama Yale...muda huu nadhani anayakumbuka maneno ya chidi benz
Mkuu lile kundi lake la wasiojulikana lilikuwa na watu hatari na wengi walikuwa polisi na baadhi ya wanajeshi (kisirisiri kama Dickson Linje na Makoye Nyengo). Hawa wapo na hawatashindwa kumpambania huko jela.

Angalia vifo katiri walivyofanyiwa Akina Ben saanane, Azory na watu kibao.

Pia yeye baada kuuwa watu na kuwatupa fukwe za coco beach alisimamia wazikwe bila uchunguzi.

Huyu auwawe TU. Full stop
 

Daima kumbuka hili: If you live like a dog you will die like a dog!

Tafsiri rahisi ni kwamba..ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga.

Makonda yote anayoyapitia kwa sasa hakuna la bahati mbaya!

It is very easy for the oppressor to forget. It is never easy for the victim to forget. Kuna wengi huyu kijana ali turn maisha yao upside down. kuna watu walipoteza uhai wao simply because mawazo au vitu walivyoviamini vilipingana na wenye madaraka. Kuna waliopoteza wapendwa wao, wazazi, watoto, marafiki nk.

Unfortunately, hawana pa kusemea. hawana instagram. hawana facebook. hawana twitter. Wamemwachia Mungu wao afanye maamuzi.

Kama hizo mahakama zingekuwepo na zinatoa haki, hakika Makonda asingefanya aliyoyafanya. Kwa hiyo kuwaambia victims wake waende mahakamani..ni kama kuwasimanga. maana hata wewe sidhani kama unaamini mahakama zetu zinaweza kutenda haki pale mwenye fedha au madaraka akivunja sheria. Zikitenda haki ni selectively kwa wale waliopishana kauli na watawala.

Daima naamini kwamba Mungu ni wa wote. Wenye nacho na wasio nacho. Majira huyapanga apendavyo.

wasalaam,
 
Wewe Ni fortunatus BUYOBE au umecopy na Kuna kupaste hapa from Twitter? britanicca
 
wako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa zimetulia,
huyo mke wa Makonda sio mnyarwanda kwao ni hapo murukulazo anakozaliwa mbunge msataafu Kashaza
 
Visasi CYO POA hatujui siasa sitapindukaje mbeleni hili taifa tutaliaribu wenyewe kwa kuvisiana na kutengeneza visasi

Makonda ajaitaidi amalizane na wanaomdai na kuwaomba radh Kama alivyofanya mwenzio kheri james
 
Hahahahaahha wapo kwenye payroll?? Noma kweli luckyline
 
Odds zipo kwa mhindi Sasa lazima madereva aliwe
 
Wewe unamdanganya mwenzio jinai haifi. Huyu tunaye tu lazima mkono wa sheria umwangukie asagike tikitiki.
 
Kwenye Instagram ya Makonda si ameorodhesha makundi yanayotaka kumtoa roho? Alitengeneza maadui ndani na nje ya siasa kwa hiyo akipata matatizo huwezi kujua ni kundi lipi limemletea matatizo. Ahame tuu nchi, serikali haiwezi kumsaidia wala kumlinda. Na huwezi kuilaumu serikali kwa lolote litakalotekea kwa sababu Makonda anaishi uraiani kama raia mwingine yoyote.
 
Mkuu umeandika vizuri sana. Hakika nchi yetu ilipitia mahali pagumu sana. Viongozi walioko madaraka hawatakiwi kuendeleza hili. Mwendazake aliumiza baadhi ya watu wa kanda fulani akifikiri ndio kutibu shida aliyohisi ipo. Hata hivyo, kujumuisha watu wa kanda fulani kwenye adhabu moja kisa wapo wawili ama watu wenye shida sio suluhu. Matokeo yake wale waovu waliungwa mkono na wale wema na jiwe akaonekana mpumbavu na mbaguzi. Hili la sasa la kutaka kuhusisha maovu ya mwendazake na watu wa kanda fulani ni makosa yale yale. Ni ushauri sahihi kwamba tusiendelee na huu utaratibu. Wale wenye makosa washughukikiwe na wabebe msabala wao na sio kuwaunganisha watu wote wenye vinasaba na mhalifu kwamba nao ni wahalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…