Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Neno Zito sana hili mkuu
Be blessed.
 
south africa wanamtani amekimbiza watu na sijui kama kijambio kitasalimika
 
Makonda ni "Vyeomania/powermania". Hivi kwa waraka ule wa Pompeo dhidi yake, EU ataruhusiwa kuingia?......hilo wazo la kwenda shule nami nakazia, anaweza kuwa transformed positively labda.
 
R.I.P Wilson Kabwe, former Mkurugenzi Wa Jiji la Dar...
Jamaa alinadiwa kama mpira wa kona.
Makonda alimnanga hadharani mchana kweupe.....

Mwendazake akadakia akisema ..."nimtumbue au nisimtumbue?"
Wananchi chawa.."Mtumbue...Mtumbue...Mtumbueee....."

Mwendazake " Nimemtumbua toka sasa..."
Mzee Kabwe akafa kwa presha siku mbili tatu baadaye.
 
Uzuri nchi hii sahivi tumeingia kwenye dunia ya kudhania kwa kuuana pindi tunapobadirisha utawala, onyo tu ni kwamba.. Ueni leo mko madarakani ila msisahahu huu utaratibu utaendelezwa vilivyo hata baada ya utawala wenu.

Familia zenu zitapata tabu sana na kusaga meno make mmeamua tuishi kwa visasi na damu

Msidhani kila mtanzania anamchukia Makonda ama anawapenda nyie, ipo siku na nyie mtafuatia
 
R.I.P Wilson Kabwe, former Mkurugenzi Wa Jiji la Dar...
Haya maisha jamani namkumbuka binti wa marehemu Wilson Kabwe bila kumung'unya aliukataa mkono wa Makonda......... mshenzy kabisa.

Nakumbuka alivyomwandama mtoto wa Freeman Mbowe kwa kumtangaza hadharani ni mgonjwa wa corona as if yeye ni daktari wa taifa... Makonda utalipia machungu yote uliotusababishia watanzania
 
Tanzania ni kubwa.
Kusema kitu ni kikubwa inategemea wewe ni mdogo kiasi gani....
Panya anamwona paka ni mkubwa...
Paka anamwona mbwa ni mkubwa...
Mbwa anamwona binadamu mkubwa....

NB: A Big fish in a little pond (Everything we hear is an opinion not a fact. Everything we see is a perspective not the truth)
 
Huwa kauli zako zina uhalisia , ngoja tusubiri
 
Utakufa kabla hujakiona. Pokea unabii huo.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
R.I.P Wilson Kabwe alikuwa mkurugenzi wa Jiji DSM alimbuliwa kwa sababu ya Makonda . Makonda damu za watu zinakuhangaisha na ujue baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan kesi za kudai magari yetu na pesa ulizoficha ndani kwako baada ya kutupora tutazitaka
 
Hata mimi nimeshangaa kusikia Maria ni Mnyarwanda wakati ni mjukuu wa bibi Likokola Njiro Arusha............... naona ile rangi na pua ndio vinawachanganya... by the way huyo Kagame ndio atapokea nunda kama Bashite? mtu kamwe hawezi changanua ubongo wake?
 
...
Kutishia kumuua au kumtesa kisaiokolojia bila kufuata sheria ni kutengeneza tatizo jingine kubwa zaidi siku za mbeleni. Serikali isitumie rasilimali zake katika kufanikisha michezo kama hii ambayo haina manufaa kwa nchi.
Na nchi yoyote ambapo kuna matatizo ya visasi, kuuana nk ilianza the same as we move, jambo lolote hujirudi hata kama ni kwa njia nyingine.

Mfano Sankara aliuawa zaidi ya miaka 30 huko but just see what happening majuzi, mtu kala kichapo cha miaka jera.
 
nani
mkhuu Britanicca ipo ivi,,kila unachopanda ndio utachovuna..
nature ndio ipo ivo..ushauri wako waweza kuwa mzuri ila is too late for him..
 
Mtajuana wenyewe na makonda wenu, msituchoshe, zamu ya kunyolewa imefika atie maji mapema kabla hajanyolewa upara
 
Akamatwe katili huyu kama ilivyokuwa kwa Sabaya sijui mamlaka zinasubiri nini!
 
Iliniuma sana maana marehemu nilibahatika kufanya nae kazi Mbeya na Mwanza. Siku anatumbuliwa nilipata psychological trauma 😡Makonda Lazima ajue Karma is real bro
Kwa kweli huyo mzee alikua mtu wa watu. Nahisi ni wivu tu wa huyo kijana, nadhani matako yamemuelemea.
 
Ni watu wa kanda gani waliumizwa na Magufuli? Na waliumizwaje? Naomba kufahamu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…