Naangalia kipindi cha Tv hapa anaongea Nakaaya Sumari

Sasa km Nancy ndo alimpora bwana dada ake iwejee amchukie?kumbe Nancy ana roho mbayaa hivi? Mbna hafananiii?? Anaonekana so innocent kumbe chuki na kisirani kimemkaa rohoni, lol.

Hao ndugu wanakosea sanaa, wafanye kuwapatanishaa hao watu, Nancy sio wa kumuacha Nakaaya ataabike kisa Mr Neghest.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli urunguu mtamuu woiiiih.
 
It was simple marriage and classic nilipenda Sana
Mwizi ni Nancy kamuibia dada Mtu bwana
Kaolewa ila si unamjua timu kujishtukia
Nancy aache roho mbayaa, amuinue dada ake, na huyo Luca kwann asijaribu kumshawishi mkewe wapatane na dada ake, lol
 
Sasa hv wamepatana ila hawako close kivillee
Sura sio moyo shogaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…