MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
-
- #141
Ulimsikiliza jana kwenye kipindi?Kwa hiyo nancy kumiliki bongo five, nyota na net sumari tayari ashakua milionea hadi kumsaidia dada yake? Nani kakuambia nakaaya ana maisha mabaya? Aliyumba kidogo sababu ya ajali aliyopata, ilimuweka muda mrefu kitandani.
Mwingine hapo anakuambia Nancy ni mtoto wa pili. Jf kuna uongo mwingi sana
Ila we Mzee si utulize fuvu kwanza ..maswali gani haya ππππ.... Wameliwa wote... Wakijichanganya atakula na mdogo wao wa mwisho....Kwahiyo mnataka kusema....Huyo Luca ametembea nao wote? #ngono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shika nawee, tatizo unakuja motoo, hebu njoo kwa hatua bhanaa.Udugu shika adabu yako, mimi mjini hapa nina heshima zangu.
Haya umeshindaa uduguu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo nancy kumiliki bongo five, nyota na net sumari tayari ashakua milionea hadi kumsaidia dada yake? Nani kakuambia nakaaya ana maisha mabaya? Aliyumba kidogo sababu ya ajali aliyopata, ilimuweka muda mrefu kitandani.
Mwingine hapo anakuambia Nancy ni mtoto wa pili. Jf kuna uongo mwingi sana
Kwani huyo Luca ni mtu wa Songea?Ila we Mzee si utulize fuvu kwanza ..maswali gani haya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].... Wameliwa wote... Wakajichanganya atakula na mdogo wao wa mwisho....
Mtoto wa nakaaya kai ana miaka 10, amezaa na SamKivipi bro? Ulimsikiliza jana kwenye kipindi? Alisema alikua ana nyanyaswa na mzazi mwenzake ...akamtaja jina ..akasema anaitwa MARIOO
[emoji1787][emoji1787] sema sa ivi nini sina kwere nawe. Upo vizuri, umeplay part yako mimi kuwa na cute wife hadi leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shika nawee, tatizo unakuja motoo, hebu njoo kwa hatua bhanaa.
Kile ambacho hujakisia ndio uhalisia.Ulimsikiliza jana kwenye kipindi?
Sam ndio nani tena? Mbona hakumtaja jana kwenye kipindi? Ujue nyie mnatuchanganya....tufuate ya nani sasa....Ya NAKAAYA aliyesema mzazi mwenzake anaitwa MARIOO? Au Yako ...kwamba mzazi mwenzake anaitwa SAM? Aaah sio kweli bhana!!!Mtoto wa nakaaya kai ana miaka 10, amezaa na Sam
Alafu usiniulize sana maswali sipo humu kuweka wazi maisha ya watu naowafahamu
Kule inapoendaga siku zoteπππImeenda wapi π
kwa lugha nyepesi ni kwamba, kuwa single mother, ukiondoa wale waliokuwa kwenye ndoa yakatokea matatizo, hawa wenye midomo ya wiziwizi, maana yake alizini bila condom na mtu asiye mme wake. ni pepo na ujinga mkubwa sana kwa wanawake siku hizi kutegesha mimba kwa mwanaume wanayemtaka ili apatiepo kipato kwa lugha ya child support. foolish kabisa.Dah hivi hii story ya huyu Dada wa kuitwa NAKAAYA SUMARI ( Mr Politician Song) ni ya kweli? Au anaongeza na maudambwiudambwi.....
Namcheki hapa muda huu via Zamaradi tv
413
View attachment 2677599
Ni dada yake mzazi, baba mmoja mama mmojaMr politician~ilimpeleka Town huyu mdada.....Naona alipotoka chadema na kuhamia ciciem akapotea kabisa.
Hivi Ana undugu na Nancy Sumari?
Unazingua ujue π miss u πKule inapoendaga siku zoteπππ
Nimekumiss rafik yangu
Ngoja nije tupange mipango ya weekendinggggggUnazingua ujue π miss u π
Fanya fastaNgoja nije tupange mipango ya weekendingggggg
Usiwe mbishi, Tena Kuna kipindi Huku chuga alikuwa anatengeneza samani za chumaSam ndio nani tena? Mbona hakumtaja jana kwenye kipindi? Ujue nyie mnatuchanganya....tufuate ya nani sasa....Ya NAKAAYA aliyesema mzazi mwenzake anaitwa MARIOO? Au Yako ...kwamba mzazi mwenzake anaitwa SAM? Aaah sio kweli bhana!!!
Sahihi kabisaMtoto wa nakaaya kai ana miaka 10, amezaa na Sam
Alafu usiniulize sana maswali sipo humu kuweka wazi maisha ya watu naowafahamu
Hello darlinNgoja nije tupange mipango ya weekendingggggg
Unaishi kijiji gani? Maana naona hakuna unachoelewaSam ndio nani tena? Mbona hakumtaja jana kwenye kipindi? Ujue nyie mnatuchanganya....tufuate ya nani sasa....Ya NAKAAYA aliyesema mzazi mwenzake anaitwa MARIOO? Au Yako ...kwamba mzazi mwenzake anaitwa SAM? Aaah sio kweli bhana!!!